Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaelewa tu.Namfuatilia kwa karibu sana Lissu, kwa hoja zake, hulka zake, na matamshi yake. Huwa namfuatilia kwenye YouTube Lissu kabla na baada ya kupata misukosuko nawaona ni watu wawili tofauti sana.
Yule wa mwanzo alikuwa mwenye subira na mtulivu na aliyeweza kujenga hoja za kushawishi na si mwepesi wa kupanic na kupoteza focus.
Huyu wa sasa amepata tabia za kuropoka na kukosa subira, na asiyekuwa makini katika kuhakikisha havunji sheria kwa makusudi.
Nafahamu majanga makubwa yaliyompata ndugu yetu, na nampa pole sana na tunamshukuru Mungu kwa kumuokoa ndugu yetu Lissu.
Wasiwasi wangu. Je mgombea wetu Lissu ana utimamu wa akili baada ya kupitia hii misukosuko? Maana hili ni takwa la kikatiba...
Wajumbe oyee
Usiruhusu wewe ni nani ?Kitambi chake kama kimemshinda hivi lakini nchi anadai ataiweza...hatutaruhusu.
Wewe mwenyewe ndio umejaa chuki dhidi ya Lissu. Kwanza wewe ni muongo sana.Huyu jamaa sidhani hata kama atapata muda wa kunadi ilani ya chama,maaana yeye kila kitu kilichoko nchi mwetu ni kibaya,sasa kama kufanya nini ,si angegombea urais huko ubeligiji amabako hakuna madhaifu
Huyu mtu hafai na watanzania inabidi waambuwe ukweli kuwa hili ni garasa,halifai hata kwa bure,mtu amejaa chuki na ubinafsi wa kutupwa ,
Huyu mtu
Nakuhakikishia Magufuli haondoki madarakani leo wala kesho wala keshokutwa.Mkuu huzi propaganda tulishazichoka kwasasa.
Tunachokita kwasasa ni kuhakikisha Magufulia anaondoka Madarakani kwanza
Membe; Nipeni kura Mimi CCM wamenikata.
Lisu : Nipeni kura Mimi nimepigwa risasi.
Mkuu Hawa jamaa mzee marehemu Mkapa aliwaita malofa na wapumbavu kwani alikosea hapana hakukosea hawa kweli ni malofa haswaa.Eti Kenya leo ndiyo ina uhuru...
Mmesahau wengi mlivyokuwa mnaitukana Miguna alivyosakamwa kuingizwa kwenye ndege.
Magufuli ni mzalendo hata kwa kumskiliza...sijapata kuguswa na mgombea mwingine zaidi yake na mzee Hashimu Rungwe.
Na Pascal Mayalla
Sitawatukana, ila tunasahau mambo haraka saana.Mkuu Hawa jamaa mzee marehemu Mkapa aliwaita malofa na wapumbavu kwani alikosea hapana hakukosea hawa kweli ni malofa haswaa.
Kama we hujafa kwa corona basi haipo nchiniMsema kweli ni mpenzi wa Mungu. Kuukimbia ukweli hakutatusaidia:
Watanzania, Kuukimbia ukweli hakutatusaidia
Heko Lissu hauko peke yako kwenye hili.
Mchana ni mchana haijalishi ni wapumbavu wangapi wangependa kwa kiasi gani kujidanganya kuwa ni usiku.
Koleo na liitwe kwa jina lake kwani koleo siyo kijiko!
Anajimwagia Moto na ujinga utakomfanya Watanzania wamdharau na kumuona hamnazoWanafiki mtapata tabu sana. Lissu halembi, lembi lugha anamagwa ukweli tu. Narudia wanafiki mtapata tabu sana.