Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

Mwaka huu Umelima nini mkuu?
Chakula chake na chafamilia yake anakuja kugongea kwako? Chadema bhana kwaio uliposikia kulima na wewe ukaitafsiri Kama ilivo? No wonder lissu anasema atawaingiza barabarani maana amewaona hamjitambui
 
Kenya ni nchi huru kujaribu kuiingiza kwenye hili ni ujinga mwingine uliopitiliza:

Tanzania, Kenya kama mataifa huru ya kongole kwenu
Acha utoto wewe, kama wewe na bavicha wenzio mnaamini kwamba huu ugonjwa upo yeyote mwenye akili angetegemea muwe wa kwanza kuchukua tahadhari kitu ambacho sijakiona toka Lissu aingie ni mapokezi na mikutano isiyo na tahadhari yoyote. Kwa scenario kama hizo nadhani mjinga utakuwa wewe na nyote mnaokomalia upuuzi
 
Kumbe anasikia hajathibitisha ila huyu wakili sijawahi kumuelewa
 
Kama CORONA ipo ataje ndugu zake wanaougua au kufariki
 

Anayewafanya watu kuto hadhari siyo anayetangaza hadharani kuwa ugonjwa haupo?

Unaowalaumu watajua vipi ukubwa wa hatari? Tatizo ni ile ya nyani kutokuona la kwake.
 
Kaka punguza Hasira uandike tena . Hujaeleweka kabisa,. Swali rahisi Kwani Lisu kaongea nini ambacho sio kweli?
Mkuu haya mambo makubwa sana kwako,waache wenye kuelewa watayafanyia kazi maoni yangu.
 
Huyo mwandishi au mtangazaji wa Kenya ni mbu mbu wa darasa la sita hivi hakumuona Tundu Lisu hajavaa barakoa sasa kama kuna corona kibao TZ mbona Lisu toka arudi anazurura bila barakoa si angemuuliza kama kweli ni mwandishi au mtangazaji makini?
 
Kama CORONA ipo ataje ndugu zake wanaougua au kufariki
hiyo ni easy, wale wote walioudhuria maandamano na mikutano ya cdm waende hosp wakalazimishe kuwa wanaugua covid 19 πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.
 
Binadamu akikuchukia "unaweza cheza kwenye matope akalalamika kwamba unamtimulia vumbi"

Tundu Lissu anasema;
1. Akiibiwa kura ataruhusu wananchi waingie barabarani.

2. Kaiambia KTN kwamba anasilia wapo watanzania wanakufa kwa corona Ila Serikali inaficha.

Na mtangazaji alivyo zezeta au anatumika kufitinisha nchi na Jumuia za Kimataifa hamuulizi;

- Mbona pale airport ulikua unapeana Mikono na kukumbatiana na watu?

- Mbona pale Makao makuu ulipoenda kuhutubia hukuzingatia social distance?

- Mbona mkutano Mkuu wa CHADEMA haukuwa na barakoa wala social distance?

- mbona ulipoalikwa kwenye mkutano wa ACT WAZALENDO umeonekana ukinyanyua mkono juu na kwa kushikana na Zitto na Maalim Seif.
 
Mbona bungeni mlikimbia bila kuambiwa? So tulitegemea hata na hili nalo mngechukua hatua bila kuambiwa.
Anayewafanya watu kuto hadhari siyo anayetangaza hadharani kuwa ugonjwa haupo?

Unaowalaumu watajua vipi ukubwa wa hatari? Tatizo ni ile ya nyani kutokuona la kwake.
 
Hizo barakoa zinazotengenezwa na mafundi cherehani zinafanya kinyume cha lengo refer hoja ya Mh Ndungulile aliyekuwa naibu waziri wa afya comment zake kuhusu hizi barakoa mpaka akatumbuliwa.

Mnatoa maoni kiupenzi zaidi, subulini sindano iwaingie
 
LISU HANA SIFA ZA KUWA RAISI HATA KIDOGO HATA CHEMBE AISEE

MAKONDA NA LISU WANASIFA ZINAZOENDANA KWA KIWANGO KIKUBWA LAKINI KIUKWELI MIMI NIKIWEKEWA LISU NA MAKONDA NI BORA MAKONDA AISEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…