Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Yaani hata makamanda waliokuwa wanapiga mayowe na vifijo sasa wanaanza kuona aibu. Bomu la Lisu limewalipukia mikononi mwao.Upinzani huhitaji akili pia Lisu Yeye naona ni mjinga Fulani hivi hatumii akili hata kiwango kidogo
Chadema ukweli kumuweka Ugombea wamechemka .