Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Yaani hata makamanda waliokuwa wanapiga mayowe na vifijo sasa wanaanza kuona aibu. Bomu la Lisu limewalipukia mikononi mwao.Upinzani huhitaji akili pia Lisu Yeye naona ni mjinga Fulani hivi hatumii akili hata kiwango kidogo
Chadema ukweli kumuweka Ugombea wamechemka .
umepewa kazi na Musiba , yeye ameshaanza kuchoka???Ukweli Lisu naona Kama kaehuka
Lisu kwa uongo Hadi wazungu wanamshangaa asema Tanzania Kuna corona halafu yeye havai barakoa Wala ku keep distance
video zote toka mapokezi Hadi mikutano yote ya chadema Hakuna alipovaa barakoa Wala ku keep distance!!!
sasa Kama abaamini Corona ipo mbona hajilindi kwa kuvaa barakoa au ki keep distance na kutopeana mikono na Watu?
anachosema mdomoni kingine anachotenda kingine
Wenzetu deeds speak louder than words
Ukweli Lisu naona Kama kaehuka

Na bado, mtafanya drama za kiwango cha chini kuliko hata zile za Pwagu na pwaguziMwaka huu Lissu anaweka historia ya kuwa mgombea wa hovyo kuliko yoyote tokea mfumo wa vyama vingi uanze
Lissu anajipiga sana resi,mropokaji asie na kumbukumbu
Tangu lini jpm analitakia mema taifa hili mkuu?Lissu hajawahi kulitakia mema hii Taifa la Tanzania na Watanzania wake. Yupo tayari Watanzania wote tufe abaki yeye na wenzake Wachache ili awambie mabeberu kuwa Watanzania wamekufa.
Lissu Kama kweli Corona ipo kwanini hujakataa kugombea je hizo kampen zako utaziendesha je au ndo zitafanyika online. Akili zingine zimekaa kijinga Sana.
Kwani alipotoka Ubeligiji hakuja na barakoa za kutosha? Je! Kukeep distance? Lissu ni kichaa, madawa ya maumivu bado yapo mukichwa! Si bure! Anahitaji kupumzika - kufikia October 28, atakuwa amelipuka akili wasipo mpunguza speed.Hizo barakoa zinazotengenezwa na mafundi cherehani zinafanya kinyume cha lengo refer hoja ya Mh Ndungulile aliyekuwa naibu waziri wa afya comment zake kuhusu hizi barakoa mpaka akatumbuliwa.
Mnatoa maoni kiupenzi zaidi, subulini sindano iwaingie
Ukweli Lisu naona Kama kaehuka
Lisu kwa uongo Hadi wazungu wanamshangaa asema Tanzania Kuna corona halafu yeye havai barakoa Wala ku keep social distance!!!
video zote toka mapokezi Hadi mikutano yote ya chadema Hakuna alipovaa barakoa Wala ku keep social distance!!!
Sasa Kama anaamini Corona ipo mbona hajilindi kwa kuvaa barakoa au ki keep social distance na kutopeana mikono na kukumbatiana na Watu?
Anachosema mdomoni kingine anachotenda kingine
Wenzetu deeds speak louder than words
Aulizwe huenda ana majibuUkweli Lisu naona Kama kaehuka
Lisu kwa uongo Hadi wazungu wanamshangaa asema Tanzania Kuna corona halafu yeye havai barakoa Wala ku keep social distance!!!
video zote toka mapokezi Hadi mikutano yote ya chadema Hakuna alipovaa barakoa Wala ku keep social distance!!!
Sasa Kama anaamini Corona ipo mbona hajilindi kwa kuvaa barakoa au ki keep social distance na kutopeana mikono na kukumbatiana na Watu?
Anachosema mdomoni kingine anachotenda kingine
Wenzetu deeds speak louder than words
Asingekuwa analitakia mema hili Taifa ungeweza kuchaji kwa umeme hicho kitecno chako na kuja kuandika Upuuzi hapa?Tangu lini jpm analitakia mema taifa hili mkuu?
Asingekuwa analitakia mema hili Taifa ungeweza kuchaji kwa umeme hicho kitecno chako na kuja kuandika Upuuzi hapa?
Mtoto/Watoto wako wanasoma international School?
Familia ako wakiugua huwa unawapeleka kwa kina sangoma kutibiwa?
Kama asingekuwa Magufuli kulitakia mema hili Taifa ungekuwa unatembea kifua mbele kwenye kipindi hiki Cha Corona?
Ujue muda mwingine uwe unajarb kuficha ujinga na upumbavu wako mbele ya watu wenye macho na akili zao.
Kwahiyo kumbe wewe unataka vya bure Basi nenda Pemba au Mombasa ndo panakufaa.Hacha kuandika ujumbe km mjinga wewe, vyote ulivyotaja kwan anavipata bure?? Shwaini wewe