Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

kwenye maeneo ya chama tawala kimoja huwa waangalizi wa kimataifa hwaendi kutizama uchaguzi unaendaje

Nchi zenye vyama vingi ndio huenda Sasa Lisu kawaambia Tanzania Kuna Corona hawatakuja kabisa kawafukuza
Dadeeeki mnaombea wasije? Hata wasipo kuja Lissu mwenyewe anatosha tu
 
Reactions: PNC
Lisu tuwe kweli siasa za public haziwezi anakuzwa kuliko uwezo alionao.Ana uwezo mdogo ila ana kelele nyingi ila uwezo hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…