Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,096
Reaction score
8,234
"Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL

 
YALE YALE
 
Ile kesi ni show tuu hawawezi kumfunga Mbowe na wanajua hilo, wale mabeberu pale mahakamani kila siku ni message tosha kwa Hangaya
Utetezi wa Mbowe
1. jaza wazungu wengi mahakamani na uwape sifa na hadhi ya ubalozi,
2. weka mawakili wengi ambao kazi yao ni kudharirisha watu kwa kufanya hivyo kuchekesha wahudhuriaji
3. Alika wanachama wengi ikiweme na maaskofu na wapikiwe mihogo kama wale waliohudhuria mkutano wa Yesu na kupewa vipande vya mkate na samaki
4. fungua kesi ndogo nyingi ndani ya kesi kuu
5. weka mapingamizi mengi iwezekanavyo
6. jaza mitandao yote ya kijamii kwa #mbowesiyogaidi
 
A.k.a Viroboto😅😅
 
Umeandika hii ukiwa nchi gani
 
Sasa mbona wanatumia ukumbi wa nje?

Si wangeenda tu pale.
 
Chadema hatuna cha kufanya hata ukiwapigia magoti Shetani ni shetani hata wema akiamua.

Muhimu taifa na dunia vinajua Anaonewa. Alikuwa na kibri Magufuli kupita wote sasa yuko wapi?
 
My lovely president did a very big mistake. I think she was misled
Nakubaliana na wewe na kauli ya Lissu.

Kauli ya Lissu kuwa husamehewa aliyekosea ni sahihi kabisa katika hali yoyote ya maisha katika jamii. Mbowe ni mtuhumiwa hivyo kama hana hatia kesi ifutwe. La isubiriwe hukumu ya kumtia hatiani ndio asamehewe.

Kwa sababu hiyo kauli ya jana ya Rais SSH inasikitisha kama imetoka moyoni mwake la amedanganyika, kama ulivyoandika.
Your browser is not able to display this video.

Ikumbukwe kuwa niliwahi kuandika humu JF kwamba maamuzi ya mwanamke yeyote duniani (wanawake humu JF mnisamehe) huwa siyo ya kwake kutoka moyoni bali hugubikwa na mazingira aliyomo. Kwa kiongozi mkuu wa Serikali ni hatari sana kama ataishi katika ujinsi wake katika maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…