Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

Lisu angerudi tu nchini ili awasaidie kazi ya utetezi kina Kibatala.
 
Chadema hatuna cha kufanya hata ukiwapigia magoti Shetani ni shetani hata wema akiamua.

Muhimu taifa na dunia vinajua Anaonewa. Alikuwa na kibri Magufuli kupita wote sasa yuko wapi?
Sasa unasema hivyo upo nyumbani, ila Mbowe yupo magereza, Dunia inajua, imefanyaje Dunia?
Kuna viongozi huko Belaraus, sijui Myanmar, Venezuela n.k wamefungwa kibabe kwa sababu za kiasiasa Dunia inasonga tu, unataka Mbowe yamtokee hivyo?
 
Sasa unasema hivyo upo nyumbani, ila Mbowe yupo magereza, Dunia inajua, imefanyaje Dunia?
Kuna viongozi huko Belaraus, sijui Mynmar, Venezuela n.k wamefungwa kibabe kwa sababu za kiasiasa Dunia inasonga tu, unatala Mbowe yamtokee hivyo?
Kwahiyo wewe hio ndio mifano bora unaona inafaa kuitolea hapa ya Venezuela na Belerusi?
 
Lissu angekaa kimya kwanza, Mbowe atoke, then ndio aanze.
Kulumbana kuanze baada ya Mbowe kutoka
Maana sidhani kama CDM wana leverage yoyote ya kumtoa Mbowe hata kama ni kesi ya mchongo kama inavyoonekana
Ni muda wakawa pragmatic
Unataka watu wapige magoti kuomba haki zao? Never! Hata kama mtu hana uwezo ni bora ufe ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umempigia magoti binadamu mwezako. Kina Mandela wangekuwa waoga na wakata tamaa namna hii Afrika Kusini ubaguzi usingeondoka.
 
Sasa unasema hivyo upo nyumbani, ila Mbowe yupo magereza, Dunia inajua, imefanyaje Dunia?
Kuna viongozi huko Belaraus, sijui Myanmar, Venezuela n.k wamefungwa kibabe kwa sababu za kiasiasa Dunia inasonga tu, unataka Mbowe yamtokee hivyo?
Elimu ya kuunga-unga ndiyo inaimaliza Tanzania. Unajua au umewahi kusoma historia yoyote ya ukombozi? Unadhani kina Nyerere wangekuwa wana mawazo mgando na ya kioga namna hii uhuru ungepatikana?
 
Nakubaliana na wewe na kauli ya Lissu.

Kauli ya Lissu kuwa husamehewa aliyekosea ni sahihi kabisa katika hali yoyote ya maisha katika jamii. Mbowe ni mtuhumiwa hivyo kama hana hatia kesi ifutwe. La isubiriwe hukumu ya kumtia hatiani ndio asamehewe.

Kwa sababu hiyo kauli ya jana ya Rais SSH inasikitisha kama imetoka moyoni mwake la amedanganyika, kama ulivyoandika.
View attachment 2045090
Ikumbukwe kuwa niliwahi kuandika humu JF kwamba maamuzi ya mwanamke yeyote duniani (wanawake humu JF mnisamehe) huwa siyo ya kwake kutoka moyoni bali hugubikwa na mazingira aliyomo. Kwa kiongozi mkuu wa Serikali ni hatari sana kama ataishi katika ujinsi wake katika maamuzi.
umesikia ila sidhani kama umesikiliza- kasikie na kusikiliza vizuri tena
 
umesikia ila sidhani kama umesikiliza- kasikie na kusikiliza vizuri tena
Nimesikia na kusilikiza vizuri. Unganisha doti katika kauli ya msamaha (kusemeheana pia kupo) iliyorudiwa
 
100% true - unamsamehe kwa kosa lipi hasa ? yaani CCM wanataka kutengeneza milleage ya kisiasa kwa maza kwa kumtumia Mh. Mbowe - hilo wamenoa.
 
HAWA NDIYO WANAWEZA KUSABABISHA MAMA ASIMSAMEHE MAANA WANAMSHURUTISHA MBONA ZITTO KAONGEA VIZURI NA HUYU CHIZI ANAONGEA HIVYO KWAKUWA YEYE YUKO NJE MPUMBAVU SANA HUYU
Jinga kabisa amsamehe kwa kosa gani,, amemtuhumu ugaidi amfunge maisha au amnyonge ndo hukumu ya ugaidi
 
Lissu angekaa kimya kwanza, Mbowe atoke, then ndio aanze.
Kulumbana kuanze baada ya Mbowe kutoka
Maana sidhani kama CDM wana leverage yoyote ya kumtoa Mbowe hata kama ni kesi ya mchongo kama inavyoonekana
Ni muda wakawa pragmatic
Haina shida kama ana hatia afungwe lakini sio kuomba ili usamehewe wakati ni issue ya kisheria.
 
Nimesema hivyo sababu najua hawa watu wana kiburi na wanaweza kumfunga Mbowe kwa kumkomoa tu, nadhani unaona kesi inavyoendelea na mwenendo wa Jaji, cha kujiuliza Chadema watafanya nini? Wameweza kufanya nini so far, japo kesi ni ya mchongo kweli?

Kuwa pragmatic mkuu
Wamfunge kwani tunabisha Ila Mbowe hawezi pigia magoti hao jamaa, na ashasema haogopi jera,
 
Sasa unasema hivyo upo nyumbani, ila Mbowe yupo magereza, Dunia inajua, imefanyaje Dunia?
Kuna viongozi huko Belaraus, sijui Myanmar, Venezuela n.k wamefungwa kibabe kwa sababu za kiasiasa Dunia inasonga tu, unataka Mbowe yamtokee hivyo?
Kwi kwi Venezuela iloyopgwa sunctions na US, wananchi wote wameikimbia nchi yao, angalia uko Belarus nchi haitawaliki watu wanakimbia nchi
 
Hujatenda kosa unasamehewa. Ni wenye hekima, busara na maarifa tu wanaelewa haya wengine tusubiri kwanza.
 
"Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL

View attachment 2045044
Haya maneno yangekuwa na meaning kama yangetoka kwa Mbowe mwenyewe na sio walio nje,Na hakika wanafamilia yake watataka mzee wao atoke kwa vyovyote vile.
 
Unataka watu wapige magoti kuomba haki zao? Never! Hata kama mtu hana uwezo ni bora ufe ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umempigia magoti binadamu mwezako. Kina Mandela wangekuwa waoga na wakata tamaa namna hii Afrika Kusini ubaguzi usingeondoka.
Hivi wanachokipigania akina Mbowe ndio alichokuwa anakipigania Mandela,umesoma historia hata kidogo ukajua mateso waliyopitia mamilion ya weusi huko south?.Wakina Mbowe wanapigania kuchukua dola kwa interest zao.
 
Back
Top Bottom