Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

Utetezi wa Mbowe
1. jaza wazungu wengi mahakamani na uwape sifa na hadhi ya ubalozi,
2. weka mawakili wengi ambao kazi yao ni kudharirisha watu kwa kufanya hivyo kuchekesha wahudhuriaji
3. Alika wanachama wengi ikiweme na maaskofu na wapikiwe mihogo kama wale waliohudhuria mkutano wa Yesu na kupewa vipande vya mkate na samaki
4. fungua kesi ndogo nyingi ndani ya kesi kuu
5. weka mapingamizi mengi iwezekanavyo
6. jaza mitandao yote ya kijamii kwa #mbowesiyogaidi
Stupid mind, as you are . Nadhani tangu uingie JF hujawahi andika la maana. Jirekebishe
 
sawa ila Mbowe anafungwa kwa:-
1. ushahidi usio na mashaka
2. kwa kuweka mawakili wanaharakati na comedian
Ushahidi wa bastora na risasi tatu kwa ugaidi upi au ugaidi unaufananisha na kuuza gongo pumbafu kweli nyie kolokoloni
 
Sasa unasema hivyo upo nyumbani, ila Mbowe yupo magereza, Dunia inajua, imefanyaje Dunia?
Kuna viongozi huko Belaraus, sijui Myanmar, Venezuela n.k wamefungwa kibabe kwa sababu za kiasiasa Dunia inasonga tu, unataka Mbowe yamtokee hivyo?
Una mawazo mfu kabisa. Watu wanafia haki. Samia hawezi kujua kesho yake itakuwaje!
 
Lissu angekaa kimya kwanza, Mbowe atoke, then ndio aanze.
Kulumbana kuanze baada ya Mbowe kutoka
Maana sidhani kama CDM wana leverage yoyote ya kumtoa Mbowe hata kama ni kesi ya mchongo kama inavyoonekana
Ni muda wakawa pragmatic
Wewe hutaki ukweli udhihirike kupitia mahakama kama Mbowe ni gaidi au la? Rais na IGP walishatuambia kwamba Mbowe ni gaidi, sasa tuisubiri mahakama ituthibitishie na gaidi Mbowe na wenzake wapigwe miaka.
 
Umeisahau kuweka matokeo = baadae inakuwa Nini?
1. WATASEMA HUJUMU YA MBOWE ILISHATAYARISHWA HATA KABLA MBOWE JAZALIWA;
2. KITU PEKEE AMBACHO MBOWE KINAMCHELEWESHA KUWA RAIS NI KUKOSA SIFA YA KUWAHI KUFUNGWA JELA AKIPTA HIYO KAMA MANDELA BASI ANAKUWA RAIS
 
Utetezi wa Mbowe
1. jaza wazungu wengi mahakamani na uwape sifa na hadhi ya ubalozi,
2. weka mawakili wengi ambao kazi yao ni kudharirisha watu kwa kufanya hivyo kuchekesha wahudhuriaji
3. Alika wanachama wengi ikiweme na maaskofu na wapikiwe mihogo kama wale waliohudhuria mkutano wa Yesu na kupewa vipande vya mkate na samaki
4. fungua kesi ndogo nyingi ndani ya kesi kuu
5. weka mapingamizi mengi iwezekanavyo
6. jaza mitandao yote ya kijamii kwa #mbowesiyogaidi
Ndugu!! hivi wakati una andika haya ulikua unashirikisha ubongo kweli.
 
Nafkiri Mzee wa Ubelgiji angetulia watu watafute suluhu, kujifanya kutunisha misuli na mwenye dola na mahakama ataishia kufungwa, na wa ubelgiji ataendelea kula wine na nyama.hii approach ya Zito kwa kushirikiana na viongozi wa chadema ni muhimu sana, ila mkiendelea kusikiliza wapingaji wa kila jambo jema hamtaishia pazuri na mara zote mtakuwa failures.
Screenshot_20211216-081828~2.png
 
Utetezi wa Mbowe
1. jaza wazungu wengi mahakamani na uwape sifa na hadhi ya ubalozi,
2. weka mawakili wengi ambao kazi yao ni kudharirisha watu kwa kufanya hivyo kuchekesha wahudhuriaji
3. Alika wanachama wengi ikiweme na maaskofu na wapikiwe mihogo kama wale waliohudhuria mkutano wa Yesu na kupewa vipande vya mkate na samaki
4. fungua kesi ndogo nyingi ndani ya kesi kuu
5. weka mapingamizi mengi iwezekanavyo
6. jaza mitandao yote ya kijamii kwa #mbowesiyogaidi
Tunajua malinda huna, kupo wazi kama domo lako kwa kuongea nnya tupu
 
Tunajua malinda huna, kupo wazi kama domo lako kwa kuongea nnya tupu
Hili pingamizi nalo halina mshiko
kielelezo kinapokelewa
kesi imehairishwa
shahidi utaendelea kuwepo kesho
watuhumiwa watabaki kuwa ndani kwenye mahabusu ya magereza
 
Hili pingamizi nalo halina mshiko
kielelezo kinapokelewa
kesi imehairishwa
shahidi utaendelea kuwepo kesho
watuhumiwa watabaki kuwa ndani kwenye mahabusu ya magereza
Umeshajiharishia kajitawaze kwanza
 
kama kuheshimu mawazo ya watu hamuwezi hivi mkijakupewa hii nchi si tutakula bakora wananchi? kwakweli mnatutisha sana nyie watu watanzaia tunaendelea kuiona rangi yenu
 
TUNAONGEA SANA KWA KUWA TUKO NJE YA MAHABUSU
Lakini kinachoongelewa ndio ukweli wenyewe. Kwamba ksbb uko mahabusu ndio uwe mnyonge uibebembeleze hata haki yako
 
Utetezi wa Mbowe
1. jaza wazungu wengi mahakamani na uwape sifa na hadhi ya ubalozi,
2. weka mawakili wengi ambao kazi yao ni kudharirisha watu kwa kufanya hivyo kuchekesha wahudhuriaji
3. Alika wanachama wengi ikiweme na maaskofu na wapikiwe mihogo kama wale waliohudhuria mkutano wa Yesu na kupewa vipande vya mkate na samaki
4. fungua kesi ndogo nyingi ndani ya kesi kuu
5. weka mapingamizi mengi iwezekanavyo
6. jaza mitandao yote ya kijamii kwa #mbowesiyogaidi
Wengine tulizeni mabakuli yenu. Unabwabwaja,hujui lolote we mafuta
 
Back
Top Bottom