Nakubaliana na wewe na kauli ya Lissu.
Kauli ya Lissu kuwa husamehewa aliyekosea ni sahihi kabisa katika hali yoyote ya maisha katika jamii. Mbowe ni mtuhumiwa hivyo kama hana hatia kesi ifutwe. La isubiriwe hukumu ya kumtia hatiani ndio asamehewe.
Kwa sababu hiyo kauli ya jana ya Rais SSH inasikitisha kama imetoka moyoni mwake la amedanganyika, kama ulivyoandika.
View attachment 2045090
Ikumbukwe kuwa niliwahi kuandika humu JF kwamba maamuzi ya mwanamke yeyote duniani (wanawake humu JF mnisamehe) huwa siyo ya kwake kutoka moyoni bali hugubikwa na mazingira aliyomo. Kwa kiongozi mkuu wa Serikali ni hatari sana kama ataishi katika ujinsi wake katika maamuzi.