Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

Huyu jamaa anaomba mwenyekiti wake aozee mahabusu au afungwe! Maana ndo anavyopata umaarufu wake..kiufupi hataki Mbowe awe huru - iwe kwa kushinda kesi au kusamehewa! Hataki.
 
Ile kesi ni show tuu hawawezi kumfunga Mbowe na wanajua hilo, wale mabeberu pale mahakamani kila siku ni message tosha kwa Hangaya
Una Akili Sana Mkuu umeona jambo ambalo wengi hawajaliona.
Mabeberu Wana lao jambo.
Wanajua kabisa Mwamba anaonewa.
 
Lissu angekaa kimya kwanza, Mbowe atoke, then ndio aanze.
Kulumbana kuanze baada ya Mbowe kutoka
Maana sidhani kama CDM wana leverage yoyote ya kumtoa Mbowe hata kama ni kesi ya mchongo kama inavyoonekana
Ni muda wakawa pragmatic
lissu angekuja yeye kukaa ukonga alafu ndio aongee upumbavu wake, hili jitu ni pathetic idiot
 
Lissu angekaa kimya kwanza, Mbowe atoke, then ndio aanze.
Kulumbana kuanze baada ya Mbowe kutoka
Maana sidhani kama CDM wana leverage yoyote ya kumtoa Mbowe hata kama ni kesi ya mchongo kama inavyoonekana
Ni muda wakawa pragmatic
Mimi naona wengi mnamwombea Msamaha Mbowe kwa Samia. kwani Mbowe alimkosea nini huyu mnayemwombea msamaha? Nafikiri wengi hutujui Mbowe alimkosea nini Mama? Mtujuzeni jamani
 
lissu angekuja yeye kukaa ukonga alafu ndio aongee upumbavu wake, hili jitu ni pathetic idiot
Kwani wewe mwenzetu unataka Mbowe asamehewe, kwani kamkosea nini Mama hadi tumwombee huo msamaha? Ina maana kumbe Mbowe yupo Mahabusu kwa amri ya Samia?
 
Kwa
Kwa hiyo mama ameshahitimisha kwamba Mbowe Kavunja sheria. Kwani hukumu tayari? Sasa hapo yule jaji ana kazi gani? Uhuru wa Mahakama hapo ukoje?
 
Lissu mlopokaji
anadandia basi kwa mbele
ajifunze kuwa na utulivu wa akili itamsaidia
Huku ni kutokumwelewa Lisu, amesema vizuri, mtu hajahukumiwa na kutiwa hatiani kwa kuvunja sheria, Rais anamsamehe nini? hebu jiulize. Rais anachoweza kufanya ni kuifuta hii kesi sio kusamehe kwani kosa halijadhibitika period.
 
Watoto wa Maalim wapo UK na Canada!!ila Lissu akiwa abroad for the same safety reasons anakua coward??
Kumbuka maalim aliishi zanzibar maisha yake yote pamoja na vitisho vyote alivyofanyiwa kwenye siasa na alikufa akiwa Tanzania na kuzikwa kwao mtambwe nyali pemba.,
 
Alipigwa risasi kama Lisu?
Kuuliwa ni kuuliwa tu iwe kwa risasi ama kuwekewa sumu ndani ya chakula.,

shida ni kwamba nyinyi wabongo miaka yote viongozi wa upinzani huko unyamwezini walikuwa hajawahi kupata misuko suko yoyote ndio mana Lissu ukimtajia Tz hutamani kuishi kokote lakini sio Tanzania., Uoga ni jambo linalowagarimu sana huko bara na mnasema muna wanachama milioni 8 ni aibu kubwa., mlitangaza maandamano hakutoka hata kuku
 
Wewe hutaki ukweli udhihirike kupitia mahakama kama Mbowe ni gaidi au la? Rais na IGP walishatuambia kwamba Mbowe ni gaidi, sasa tuisubiri mahakama ituthibitishie na gaidi Mbowe na wenzake wapigwe miaka.
Mahakama ipi? Ya Juma? Laana na iwe juu yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…