Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%
images-25.jpeg
images-25.jpeg

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa rais

Apunguze mshahara wa Rais/mawaziri.
 
Umemaliza kazi! Mwanahabari Huru
 
Lisu ataishia hapo hapo Ufipa kwa Nyalandu!
 
Apunguze na makato ya Bodi ya Mikopo

Jambo lingine:aidi kuendeleza ujenzi wa miundombinu kwa kushirikisha sekta binafsi ili kuipunguzia serikali mzigo na pia ili kuepuka mzigo wa madeni na hivyo kuiongezea serikali uwezo wa kuajiri,kuboresha masilahi ya wafanyakazi,kununua madawa,n.k
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Umesahau watu wasiojulikana ambao hawatakiwi wajulikane .2.kuto ongoza kwa matamko ya majukwaani ambayo yanazalisha sera za majukwaani ambazo hazina tija zinakuwa ni sera ambazo hazitabiriki 'uncertainty policies' you can not plan for business growth with policy uncertainty
 
Walimu wenye shahada(degree) waliopelekwa kufundisha shule za msingi pia warudishwe masekondarini. Waajiriwe wenye certificates na diploma waliosomea masomo ya msingi wafundishe huko.
Kuna madudu ya hovyo na kuchekesha yamefanyika awamu hii.
Huku msingi ndo tumahitaji wenye degree
 
Lisu abakie huko kwenye kufungua kesi tu, Ila sio presidential material.

Yaani kabla hata hajaanza kampeni ushajua hoja zake, itakua ni marudio ya tukio lake la kupigwa risasi. Pole yake Ila jamaa Hana Cha ziada Cha kuwapa watu ukiachana na tukio Hilo.
 
Yule mwenye lugha za kibaguzi ndio presidential material?
 
Back
Top Bottom