Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia

Huku msingi ndo tumahitaji wenye degree
Fungeni vyuo vyote vya TTC vinavyotoa certificate za ualimu na diploma. Alafu huko University anzeni kufundidha teaching methods za stadi za kazi, uraia na maadili, hisabati, sayansi na maarifa ya jamii kwa ajili ya kuwaandaa waalimu wenye degree kufundisha shule za msingi. Mana wanachokisoma miaka mi3 ni contents na teaching methods ya Advanced level (form five na six)
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Wewe kweli umechemka unasema Ndege,SGR,Bwawa la Nyerere halina impact? Serikali imeishalipa kiasi kikubwa cha fedha kwenye hiyo miradi kwa hiyo pesa itokomee kama pesa ya katiba mpya?Unachekesha
Lissu akiwa na akili kama zako ataanguka mapema asubuhi.
 
Walimu wenye shahada(degree) waliopelekwa kufundisha shule za msingi pia warudishwe masekondarini. Waajiriwe wenye certificates na diploma waliosomea masomo ya msingi wafundishe huko.
Kuna madudu ya hovyo na kuchekesha yamefanyika awamu hii.
Tena hili zoezi lilifanyika kinafiki sana. Degree zimepelekwa shule za msingi, diploma zimeachwa sekondari kisa mwl anaelewana vizuri na headmaster/mistress. Serikali imedharaulika hii, LISSU njoo tuvushe, tuondolee huu ushamba na ulimbukeni.
 
Naona mnampampisha ROPOROPO wenu naye alivyo juha atadhani haya ndio matakwa ya Watanzania wote!

Ilihali ajenda nyingi tajwa zinagusa makundi machache na ambao si wapiga kura wakubwa.
 
Makato ya benki na makampuni ya simu. Ni uwizi mkubwa.

futa kabisa.Nchi nyingi tu pesa yako benki au kwenye simu haikatwi.
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.

Kubeza miundombinu imara inayowekwa na Rais Magufuli ndipo umeharibu. Hizi ni nyenzo imara za maendeleo ya uchumi jamii na kila kitu. Hapa ndipo wananchi watakavyomwona ni mtu asiyefaa zaidi ya kuvuruga tu. Umeandika mahitaji ya kimatokeo ambayo hata Rais Magufuli anajua itakuwa rahwisi kwake kuyafanya kama atakuwa na uchumi imara. Uchumi imara hauwezi kuja bila kuwa na miundo mbinu sahihi ya uchumi ikiwemo elimu bora, afya, usafirishaji, uzaliuhaji, mifumo sahihi ya ukusaanyaji na matumizi ya mapato n.k. Usidhani kwamba hajui kwamba haya ni matatizo, lakini approach yake ya kuanzia kwenye miundombinu, ndiyo msingi imara wa maboresho ya huduma zote ulizoandika kwamba Lisu aziseme.

Anapata wapi fedha za kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu, malipo ya mikupuo ya hifadhi za mifuko zajamii na wastaffu, n.k ikiwa serikali haina fedha? Serikali inapata wapi fedha ikiwa uzalishaji uko chini na gharama ziko juu? Nani analipa kodi kutoka nini? Tija katika uzalishaji inatoka wapi ikiwa hakuna miundombinu sanifu na yenye tija?

Ninadhani ni vyema kutenda haki. Magufuli anafanya kazi kubwa sana ya kuanzisha misingi imara. Kiongozi atakayetaka wanachi wamsikilize, ni yule atakayekuwa mkweli wa kutambua Juhudi na usahihi wa misingi anayoijenga Rais Magufuli, ajue umuhimu wake katika maendeleo ya taifa, aseme ataiendeleza namna gani na kwa namna gani atafanya maeneo ambayo raisi Magufuli hajayafanya na namna gani atayatumia kufanikisha ustawi wa raia katika maendeleo ya taifa na maendeleo ya mtu mmoja mmoja.

Itakuwa ni unafiki unaojenga hasira kwa Wananchi wanaopenda kweli kukebehi ama kujaribu kubeza mambo mazuri ambayo raisi wetu anafanya. Mahitaji yote uliyoyataja hapo ni sahihi lakini yanahitaji msingi na ndicho Mheshimiwa rais amefanya kwa miaka hii michache 5.

Nilimsikia TL akihojiwa akisema watafanya kinyume na anachofanya Raisi Magufuli. Hii peke yake inatosha kumwondoa kwenye kura kabla ya saa 4. Tafsiri ya haraka haraka ni kwamba:-

1) Hatajenga miundombinu yoyote ya maana kama usafirishaji, mawasiliano, nishati, afya, elimu n.k.

2) Atapalilia rushwa madawa ya kulevya, na kutokuwajibika wala kuwepo kwa nidhamu mahala pa kazi.

3) Atarejesha mitindo ya wafanyakazi hewa, malipo hewa na udanganyifu wote.

4) Hatadhibiti maliasili zetu ikiwa ni pamoja na kuendeleza mikataba mufilisi kama ujenzi wa bandari ya bagamoyo ya wachina na mikataba ya madini.

5) Hatasikiliza matatizo ya wanyonge wala kuyatafutia tiba.

6) Hatabana matumizi ya fedha za serikali na kuachilia uholela katika sekta ya umma.

JAMANI!. NINAOMBA TUWE MAKINI SANA TUNAYOYAZUNGUMZA. SIYO WAKATI MUAFAKA WA KUDHANI KWAMBA WATANZANIA BADO HAWANA UWEZO WA KUCHAMBUA NA KUELEWA HOJA.

Angalizo la nyongeza. Mh Lisu anasifa nzuri tu kama ata control emotions.

Pili, ni kweli kwamba anamaumivu makali sana ambayo hayamithiliki na kila binadamu anapashwa kutambua hilo na kutamani hali ingekuwa tofauti. Lakini akumbuke kwamba, hapashwi kuomba uongozi akiwa na rangi ya kutaka kulipa visasi. Hii haitajenga mtangamano wowote wa kitaifa na nachelea kusema inawez kujeng ampasuko na instability kwa miongo mingi ijayo. Anapashwa kusamehe kama Nelson mandela na wengine walivyoingia ikulu bila kiu ya visasi na kuwa viongozi wa watu wote.

Nilitamani pia kama angelienda mbele na kuzungumzia namna atafanya katika matumizi ya msingi wa technolojia sahihi katika maendeleo ya taifa, na akiwa mhanga wa usalama ingependeza zaidi kuwa na mkakati wa kuimarisha usalama wa ndani. Lakini pia ninatumaini kwamba suala la maboresho ya katiba ambalo limekuwa kilio cha watu wengi kwa muda mrefu likapewa nafasi, mshikamano wa nchi za africa na uwezeshaji wa secta binafsi katika ushindani katika Africa na dunia.

MIMI NINAHITAJI RAIS MAGUFULI AENDELEE KUONGOZA KWA MIAKA MITANO IJAYO KWA USHIRIKI WA KARIBU WA VYAMA VYA SIASA. LAKINI ATASHIRIKISHAJE WATU AMBAO WANAONEKANA WAMEJAA HILA WASIOTAKA KUTAMBUA HATA MAMBO MEMA NA YA MUHIMU KWA TAIFA? JE HAWATAHUJUMU SERIKALI?

TUKIJUA TUNAJENGA TAIFA TUWE NA NIA SAFI NA KUSHRIKIANA NA WADAU WOTE WA UJENZI WA TAIFA KWA MISINGI YA UZALENDO, JUHUDI, MAARIFA NA UCHA MUNGU.
 
CASE CLOSED Agenda Zimeshib Sana! Wataalamu wa Uchumi wafanye tafiti jinsi ya kutekeleza hizo nadharia.

1. Ajira kwa Vijana na kuimlisha sector binafsi ,Ukiimalisha sector binafsi hakika utatanua ajira kwa vijana ..Sector binfsi zinainuliwaje? Kuweka mazingira mazuri y uwekezji ..... Grace Period /Kodi nafuu na win win situation.

2.Ondoa Zuio la kuchukua mafao ya kuacha kazi ,sio lazima mtu afikishe 55 ,hapa watu wengi watakuwa wanatafuta capital ,wakishapata wanaacha wanachukuo mafao wanaenda kutengeneza ajira kwa kujiajiri halafu nafasi za wazi watu wengine wapya wanakuja kucover lakini ukiweka zuio watu wanazidi kung'ang'ania ajira hivyo zitakuwa finyu.

3.Sector binafsi zikishaimarika na ajira kwa wing hapo hapo mzunguko wa pesa utakuwepo halmashauri zitakusanya pesa na serikali itakusanya pesa hivyo mapato yatajenga mioundombinu.

4.Kupunguza tozo za huduma za jamii eg umeme , maji ,kuondoa tozo za kuvuka kwenye madaraja ,vivuko etc ,Serikali ikiimarisha uchumi , ajira kwa vijana mapato automatic yatakuwa......Kumtoza mwananchi zaidi ya Tsh 350 kwa unit ya umeme au Tsh 1660 kwa unit moja ya maji ni kumyonya sana ,gharama za kuunganisha unamchaji yeye halafu unit unazidi kumuumiza huo ni wizi...Napendekeza Unit wauziwe kama wengine wale wa tarrif ya Tsh 100 kwa unit na maji iwe 500 kwa Unit.

5.Nyongeza ya mishahara na kupunguza PAYE.

Wagombea wa Upinzani wa Urais wajikite sana kwenye hizo hoja juu wakifanya hivyo watamuangusha JIWE Mchana kweupe.
 
Makato ya benki na makampuni ya simu. Ni uwizi mkubwa.

futa kabisa.Nchi nyingi tu pesa yako benki au kwenye simu haikatwi.
Kweli Mkuu ni wizi mkubwa sana wahindi wanatupiga sana yaani kutoa elfu 10 inabidi nikatwe 1500??? Ni wizi ,Mabenk kutoa hela yangu nakatwa Buku kwa kila muhamala yaani ni wizi mkubwa sana!! Monthly charges benki nyingine hadi elfu 12.
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
The real defn of GT

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Safi sana mleta mada.

Lissu inabidi atafute timu imuandalie data na takwimu na aandae majibu ya maana kwelikweli juu ya hizo ishu.

Ishu za Demokrasia na haki za binadamu well ni nzuri lakini wananchi wako interested zaidi na Ugali wao mezani, hivyo ndo anatakiwa aweke msisitizo zaidi.

Wewe Lissu najua unasona hizi comment!

Unapaswa uzungumzie zaidi
1. Ajira kwa vijana
2. Maslahi ya watumishi wa umma
3. Mazingira mazuri ya biashara ndogondogo na wafanyabiashara wa kati
4. Maslahi ya wakulima, i. e korosho, mbaazi, nafaka, mbaazi, kahawa n. k
5. Kuhusu deni la bodi ya mikopo, upunguze makato yake kwa mwezi iwe ni 5% kwa mwezi na upunguze retention fee hadi 3%

6. Kisha uzungumzie utakavyosaidia wavuvi na wafugaji.

7. Kisha uje na maelezo mazuri ya kuendelea na miradi mkakati ya huyu jamaa, wananchi hawatokukubalia kuacha kujenga SGR au bwawa la umeme, inabidi uwaeleze kuwa utadd value namna gani katika kukamilisha hiyo miradi, msisitizo uwe ni kuwa kwa sasa pesa nyingi zinakwenda nje badala ya kunufaisha wananchi humu ndani, kwa hiyo uwaambie wananchi hilo utalisolve vipi.

Nafurahishwa sana na Membe, kwenye speech na intwrview zake anaonekana anatambua vizuri sana kuwa meseji inayoresonate na wananchi zaidi ni ugali mezani.

ACT wameonyesha kuwa vizuri zaidi kwenye kuarticulate ishu za uchumi wetu!
 
Kubeza miundombinu imara inayowekwa na Rais Magufuli ndipo umeharibu. Hizi ni nyenzo imara za maendeleo ya uchumi jamii na kila kitu. Hapa ndipo wananchi watakavyomwona ni mtu asiyefaa zaidi ya kuvuruga tu. Umeandika mahitaji ya kimatokeo ambayo hata Rais Magufuli anajua itakuwa rahwisi kwake kuyafanya kama atakuwa na uchumi imara. Uchumi imara hauwezi kuja bila kuwa na miundo mbinu sahihi ya uchumi ikiwemo elimu bora, afya, usafirishaji, uzaliuhaji, mifumo sahihi ya ukusaanyaji na matumizi ya mapato n.k. Usidhani kwamba hajui kwamba haya ni matatizo, lakini approach yake ya kuanzia kwenye miundombinu, ndiyo msingi imara wa maboresho ya huduma zote ulizoandika kwamba Lisu aziseme.

Anapata wapi fedha za kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu, malipo ya mikupuo ya hifadhi za mifuko zajamii na wastaffu, n.k ikiwa serikali haina fedha? Serikali inapata wapi fedha ikiwa uzalishaji uko chini na gharama ziko juu? Nani analipa kodi kutoka nini? Tija katika uzalishaji inatoka wapi ikiwa hakuna miundombinu sanifu na yenye tija?

Ninadhani ni vyema kutenda haki. Magufuli anafanya kazi kubwa sana ya kuanzisha misingi imara. Kiongozi atakayetaka wanachi wamsikilize, ni yule atakayekuwa mkweli wa kutambua Juhudi na usahihi wa misingi anayoijenga Rais Magufuli, ajue umuhimu wake katika maendeleo ya taifa, aseme ataiendeleza namna gani na kwa namna gani atafanya maeneo ambayo raisi Magufuli hajayafanya na namna gani atayatumia kufanikisha ustawi wa raia katika maendeleo ya taifa na maendeleo ya mtu mmoja mmoja.

Itakuwa ni unafiki unaojenga hasira kwa Wananchi wanaopenda kweli kukebehi ama kujaribu kubeza mambo mazuri ambayo raisi wetu anafanya. Mahitaji yote uliyoyataja hapo ni sahihi lakini yanahitaji msingi na ndicho Mheshimiwa rais amefanya kwa miaka hii michache 5.

Nilimsikia TL akihojiwa akisema watafanya kinyume na anachofanya Raisi Magufuli. Hii peke yake inatosha kumwondoa kwenye kura kabla ya saa 4. Tafsiri ya haraka haraka ni kwamba:-

1) Hatajenga miundombinu yoyote ya maana kama usafirishaji, mawasiliano, nishati, afya, elimu n.k.

2) Atapalilia rushwa madawa ya kulevya, na kutokuwajibika wala kuwepo kwa nidhamu mahala pa kazi.

3) Atarejesha mitindo ya wafanyakazi hewa, malipo hewa na udanganyifu wote.

4) Hatadhibiti maliasili zetu ikiwa ni pamoja na kuendeleza mikataba mufilisi kama ujenzi wa bandari ya bagamoyo ya wachina na mikataba ya madini.

5) Hatasikiliza matatizo ya wanyonge wala kuyatafutia tiba.

6) Hatabana matumizi ya fedha za serikali na kuachilia uholela katika sekta ya umma.

JAMANI!. NINAOMBA TUWE MAKINI SANA TUNAYOYAZUNGUMZA. SIYO WAKATI MUAFAKA WA KUDHANI KWAMBA WATANZANIA BADO HAWANA UWEZO WA KUCHAMBUA NA KUELEWA HOJA.

Angalizo la nyongeza. Mh Lisu anasifa nzuri tu kama ata control emotions.

Pili, ni kweli kwamba anamaumivu makali sana ambayo hayamithiliki na kila binadamu anapashwa kutambua hilo na kutamani hali ingekuwa tofauti. Lakini akumbuke kwamba, hapashwi kuomba uongozi akiwa na rangi ya kutaka kulipa visasi. Hii haitajenga mtangamano wowote wa kitaifa na nachelea kusema inawez kujeng ampasuko na instability kwa miongo mingi ijayo. Anapashwa kusamehe kama Nelson mandela na wengine walivyoingia ikulu bila kiu ya visasi na kuwa viongozi wa watu wote.

Nilitamani pia kama angelienda mbele na kuzungumzia namna atafanya katika matumizi ya msingi wa technolojia sahihi katika maendeleo ya taifa, na akiwa mhanga wa usalama ingependeza zaidi kuwa na mkakati wa kuimarisha usalama wa ndani. Lakini pia ninatumaini kwamba suala la maboresho ya katiba ambalo limekuwa kilio cha watu wengi kwa muda mrefu likapewa nafasi, mshikamano wa nchi za africa na uwezeshaji wa secta binafsi katika ushindani katika Africa na dunia.

MIMI NINAHITAJI RAIS MAGUFULI AENDELEE KUONGOZA KWA MIAKA MITANO IJAYO KWA USHIRIKI WA KARIBU WA VYAMA VYA SIASA. LAKINI ATASHIRIKISHAJE WATU AMBAO WANAONEKANA WAMEJAA HILA WASIOTAKA KUTAMBUA HATA MAMBO MEMA NA YA MUHIMU KWA TAIFA? JE HAWATAHUJUMU SERIKALI?

TUKIJUA TUNAJENGA TAIFA TUWE NA NIA SAFI NA KUSHRIKIANA NA WADAU WOTE WA UJENZI WA TAIFA KWA MISINGI YA UZALENDO, JUHUDI, MAARIFA NA UCHA MUNGU.
Sikiliza nikuambie kitu, hiyo miradi ya SGR na STIGLERS Lisu atamalizia kwa kuwapa hata sekta binafsi wakamalizia kwa kuweka mikataba yenye maslahi na taifa. Wala sijabeza miradi hiyo mie
 
Shida ya CCM watacopy hizi strategy
 
Sikiliza nikuambie kitu, hiyo miradi ya SGR na STIGLERS Lisu atamalizia kwa kuwapa hata sekta binafsi wakamalizia kwa kuweka mikataba yenye maslahi na taifa. Wala sijabeza miradi hiyo mie

Haya hapa chini ni maneno yako.

"Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe."
 
Lisu abakie huko kwenye kufungua kesi tu, Ila sio presidential material.

Yaani kabla hata hajaanza kampeni ushajua hoja zake, itakua ni marudio ya tukio lake la kupigwa risasi. Pole yake Ila jamaa Hana Cha ziada Cha kuwapa watu ukiachana na tukio Hilo.
Nani alikupatia mamlaka ya 'kumiliki kipimo cha preidential materia'? BTW hicho kipimio ni fake ndio maana kinamwona 'presidential material asiye apresidentila material"
 
Back
Top Bottom