Tungejadiliana nao hoja sio majibu ya kihuni. Ndio maana sisi wanaccm wenye kuipenda nchi tumeona sasa sio wakati muafaka kumpa kura mgombea wa CCM.Lisu ataishia hapo hapo Ufipa kwa Nyalandu!
yani ikiwezekana uwe mdogo sana mana wengine ni wazeee awana hata majukumu mazito katika familia zao ila misharaa ni mikubwa kama nini.Apunguze mshahara wa Rais/mawaziri.
Ya kesho anayajua Mungu!Lisu ataishia hapo hapo Ufipa kwa Nyalandu!
Ngoja tuone!Ya kesho anayajua Mungu!
Maneno yamenyooka!Tungejadiliana nao hoja sio majibu ya kihuni. Ndio maana sisi wanaccm wenye kuipenda nchi tumeona sasa sio wakati muafaka kumpa kura mgombea wa CCM.
Mgombea wetu wa CCM akipata Urais halafu nchi inazidi kuangamia namkomoa nani kama sio watoto wangu na watoto wa watoto wangu?
Kamwe pamoja na UCCM wangu ambao bado naupenda siwezi kumpa tena kura Magufuli.
Sera zetu ni nzuri, lakini kaziweka pembeni na kufanya yake atakayo mwenyewe. Nchi inaingia kwenye madeni makubwa, maisha ya watumishi, wakulima, wafanyabiashara nk yanazidi kuwa duni na ya mashaka.
Kumpa kura tena ni ukichaa ambao Mimi sina. Na naamini wengi hawana na hawatampa.
Jiwe hakuna na wazo kama atakuwa Rais! Mkapa hakuna aliyetegemea atakufa!Ngoja tuone!
hao wa kubwa wanakula sana hii nchi na walakula vizuri mpaka wanasahau kuwa kuna binadamu wengine katika hii nchi. Hizo allowance zifutwe kwa hao mawaziri yani zinabowa.Apunguze matumizi yasiyo ya lazima serikalini kama ununuzi wa V8, sherehe za mwenge, za uhuru n.k. Sherehe za Uhuru zinaweza kufanyika ikulu na waalikwa wachache tu. Sisi wananchi tutafanya street parties kwa gharama zetu wenyewe. Na kila allowance wakubwa wanapata na wadogo wapate pia japokuwa kwa rate ya chini. Kwa mfano, housing, transport, clothing etc. Ikiwa waziri/mbunge anapata 300,000 ya clothing kwa mwezi basi mfanyakazi wa kawaida apate japo 30,000. Transport ipigwe 2,000x siku 22 za kazi. Housing average 200,000 kwa mwezi. After all we are all equal but differnt!
Walimu wenye shahada(degree) waliopelekwa kufundisha shule za msingi pia warudishwe masekondarini. Waajiriwe wenye certificates na diploma waliosomea masomo ya msingi wafundishe huko.
Kuna madudu ya hovyo na kuchekesha yamefanyika awamu hii.
Unataka tukudanganye wewe !!Lisu mnamdanganya sana!
Siku nyingi sana, siyo vizuri [emoji120]."Aliye Juu ndiye anayemiliki katika ufalme wa wanadamu, naye humpa yeye amtakaye awaye yote."Daniel 4:25
Hoja nzuri, njema na za maana sana hizi Mkuu..Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Shida ya CCM watacopy hizi strategy
Meko anatakiwa apelekwe putaaa, na mwenye uwezo wa kumpeleka putaaa ni lissu pekee! Mamaaaeeee meko asubiriii mziki mnene!Tundulisu kapita kula za maoni mbona tumekuwa tunampendelea mmoja sijaona
Mnapo jaribu wanadi wengine
Hapa ulipaswa uandike chadema iende na ajenda hizi hii ingeleta maana zaidi kuliko kumpigia debe mmoja je akikosa kwenye kura za maoni itakuwaje
Hujui lolote mkuu,Nani alikupatia mamlaka ya 'kumiliki kipimo cha preidential materia'? BTW hicho kipimio ni fake ndio maana kinamwona 'presidential material asiye apresidentila material"
No hapo ataanza kufikiri kimasikini, oaengeze pato la wananchi likaribie la mawaziri siyo kupunguzaApunguze mshahara wa Rais/mawaziri.