Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,919
- 2,843
Ww peke yako ebo, ss na Nani!😡Yeye ndio tunamwamini, hao wengine hapana.
Ww peke yako ebo, ss na Nani!😡Yeye ndio tunamwamini, hao wengine hapana.
Nilitaka kusema ulichokisema, ila wewe umekiweka vizuri zaidi.
Wapinzani nchi hii waelewe kuwa sisi huku nje tunajua mbivu na mbichi. Hatutawakataa CCM eti kwa vile wamekaa madarakani muda mrefu au eti tunataka mabadiliko. Taifa lina Developmental Visions zake, Strategic Plans zake na Strategic Programmes zake. Usipokuja na mawazo mbadala ya utekelezaji wa hayo na badala yake unapinga bila shaka tutakupinga wewe sisi kama wananchi na wapiga kura.
Ww peke yako ebo, ss na Nani!😡
AmeeenTundu LISSU the next president of the URT full stop!
Niliwaambia mchague ninae mtaka sasa mnataka Maendeleo wakati mlichagua wapinzani... mwambie Bwege awape MaendeleoLisu abakie huko kwenye kufungua kesi tu, Ila sio presidential material.
Yaani kabla hata hajaanza kampeni ushajua hoja zake, itakua ni marudio ya tukio lake la kupigwa risasi. Pole yake Ila jamaa Hana Cha ziada Cha kuwapa watu ukiachana na tukio Hilo.
Hongera kwa ndoto. Angalia usije kojoa kitandani tu!Ndo mipango wenyewe UNAJUA MKAPA ALIFUTAJE KODI YA KICHWA kaulize karatu ilikuwa hivi hivi
😂🤣😂 Mkeo atakushangaza siku ya kupiga kura, hutaamini!Sisi nikimaanisha mimi na mke wangu.
Duh, aliyesomea chemistry, Physics, Mathematics, Biology, Economics, anafundisha msingi? Huu upuuzi mkubwa alafu wizara inaongozwa na profesa (atakuwa profesa kama Lipumba)Walimu wenye shahada(degree) waliopelekwa kufundisha shule za msingi pia warudishwe masekondarini. Waajiriwe wenye certificates na diploma waliosomea masomo ya msingi wafundishe huko.
Kuna madudu ya hovyo na kuchekesha yamefanyika awamu hii.
Kama mwenyekiti wenu anabagua waziwazi. Nyie mazwazwa kweli.Yule mwenye lugha za kibaguzi ndio presidential material?
Niko macho sana UZURI NILIKWEPOHongera kwa ndoto. Angalia usije kojoa kitandani tu!
Sawa asante kwa jibu je asipo pita kwenye kura za maoni mtamnadi atake pitishwaYeye ndio tunamwamini, hao wengine hapana.
😂🤣😂 Mkeo atakushangaza siku ya kupiga kura, hutaamini!
Sawa asante kwa jibu je asipo pita kwenye kura za maoni mtamnadi atake pitishwa
Au mtaimba wimbo wa tunaiman na lisu?
Hapa nimekwelewa mkuuUamuzi wa kuwa tunamtaka Lisu sio wa kubahatisha, hao wanaopitisha mgombea wakimpitisha mgombea mwingine watakula jeuri yao.
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
1.SEKTA BINAFSI IKO HOI BINI TAABANI NA HASWE KWENYE KAZI ZA UJENZI.Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
hizo ni hoja binafsiWalimu wenye shahada(degree) waliopelekwa kufundisha shule za msingi pia warudishwe masekondarini. Waajiriwe wenye certificates na diploma waliosomea masomo ya msingi wafundishe huko.
Kuna madudu ya hovyo na kuchekesha yamefanyika awamu hii.