Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia

Hatutaki raisi mwenye Mawazo ya kimasikini/kijamaa au kicommunist, Kama huyu tuliye naye.
Tunataka raisi ambaye akiambiwa kwa mfano.CEO wa bandari au ATCL au Nhc analipwa 50mil. Iwe kitu Cha kawaida kwake ikiwa atapewa target ya kuingizifa faida ya tril kadhaa kwa meezi
 
Meko anatakiwa apelekwe putaaa, na mwenye uwezo wa kumpeleka putaaa ni lissu pekee! Mamaaaeeee meko asubiriii mziki mnene!
Mkuu kuna mahitaji ya watu na mahitaji ya chama

Jiulize je kama chama hakija mpa ridhaa ya kugombea itakuwaje
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Mkuu Mahanju, ungalikuwa ktk uwanja wa soka basi kwa hoja hii umebeba nafasi ya washambuliaji wa kariba ya Ronaldo ama Messi, kwa kuwa umeweza kuingia ktk eneo hatari la mabeki wa upinzani na hata kuweza kufunga goli murua ama kusababisha penati.
 
Kubeza miundombinu imara inayowekwa na Rais Magufuli ndipo umeharibu. Hizi ni nyenzo imara za maendeleo ya uchumi jamii na kila kitu. Hapa ndipo wananchi watakavyomwona ni mtu asiyefaa zaidi ya kuvuruga tu. Umeandika mahitaji ya kimatokeo ambayo hata Rais Magufuli anajua itakuwa rahwisi kwake kuyafanya kama atakuwa na uchumi imara. Uchumi imara hauwezi kuja bila kuwa na miundo mbinu sahihi ya uchumi ikiwemo elimu bora, afya, usafirishaji, uzaliuhaji, mifumo sahihi ya ukusaanyaji na matumizi ya mapato n.k. Usidhani kwamba hajui kwamba haya ni matatizo, lakini approach yake ya kuanzia kwenye miundombinu, ndiyo msingi imara wa maboresho ya huduma zote ulizoandika kwamba Lisu aziseme.

Anapata wapi fedha za kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu, malipo ya mikupuo ya hifadhi za mifuko zajamii na wastaffu, n.k ikiwa serikali haina fedha? Serikali inapata wapi fedha ikiwa uzalishaji uko chini na gharama ziko juu? Nani analipa kodi kutoka nini? Tija katika uzalishaji inatoka wapi ikiwa hakuna miundombinu sanifu na yenye tija?

Ninadhani ni vyema kutenda haki. Magufuli anafanya kazi kubwa sana ya kuanzisha misingi imara. Kiongozi atakayetaka wanachi wamsikilize, ni yule atakayekuwa mkweli wa kutambua Juhudi na usahihi wa misingi anayoijenga Rais Magufuli, ajue umuhimu wake katika maendeleo ya taifa, aseme ataiendeleza namna gani na kwa namna gani atafanya maeneo ambayo raisi Magufuli hajayafanya na namna gani atayatumia kufanikisha ustawi wa raia katika maendeleo ya taifa na maendeleo ya mtu mmoja mmoja.

Itakuwa ni unafiki unaojenga hasira kwa Wananchi wanaopenda kweli kukebehi ama kujaribu kubeza mambo mazuri ambayo raisi wetu anafanya. Mahitaji yote uliyoyataja hapo ni sahihi lakini yanahitaji msingi na ndicho Mheshimiwa rais amefanya kwa miaka hii michache 5.

Nilimsikia TL akihojiwa akisema watafanya kinyume na anachofanya Raisi Magufuli. Hii peke yake inatosha kumwondoa kwenye kura kabla ya saa 4. Tafsiri ya haraka haraka ni kwamba:-

1) Hatajenga miundombinu yoyote ya maana kama usafirishaji, mawasiliano, nishati, afya, elimu n.k.

2) Atapalilia rushwa madawa ya kulevya, na kutokuwajibika wala kuwepo kwa nidhamu mahala pa kazi.

3) Atarejesha mitindo ya wafanyakazi hewa, malipo hewa na udanganyifu wote.

4) Hatadhibiti maliasili zetu ikiwa ni pamoja na kuendeleza mikataba mufilisi kama ujenzi wa bandari ya bagamoyo ya wachina na mikataba ya madini.

5) Hatasikiliza matatizo ya wanyonge wala kuyatafutia tiba.

6) Hatabana matumizi ya fedha za serikali na kuachilia uholela katika sekta ya umma.

JAMANI!. NINAOMBA TUWE MAKINI SANA TUNAYOYAZUNGUMZA. SIYO WAKATI MUAFAKA WA KUDHANI KWAMBA WATANZANIA BADO HAWANA UWEZO WA KUCHAMBUA NA KUELEWA HOJA.

Angalizo la nyongeza. Mh Lisu anasifa nzuri tu kama ata control emotions.

Pili, ni kweli kwamba anamaumivu makali sana ambayo hayamithiliki na kila binadamu anapashwa kutambua hilo na kutamani hali ingekuwa tofauti. Lakini akumbuke kwamba, hapashwi kuomba uongozi akiwa na rangi ya kutaka kulipa visasi. Hii haitajenga mtangamano wowote wa kitaifa na nachelea kusema inawez kujeng ampasuko na instability kwa miongo mingi ijayo. Anapashwa kusamehe kama Nelson mandela na wengine walivyoingia ikulu bila kiu ya visasi na kuwa viongozi wa watu wote.

Nilitamani pia kama angelienda mbele na kuzungumzia namna atafanya katika matumizi ya msingi wa technolojia sahihi katika maendeleo ya taifa, na akiwa mhanga wa usalama ingependeza zaidi kuwa na mkakati wa kuimarisha usalama wa ndani. Lakini pia ninatumaini kwamba suala la maboresho ya katiba ambalo limekuwa kilio cha watu wengi kwa muda mrefu likapewa nafasi, mshikamano wa nchi za africa na uwezeshaji wa secta binafsi katika ushindani katika Africa na dunia.

MIMI NINAHITAJI RAIS MAGUFULI AENDELEE KUONGOZA KWA MIAKA MITANO IJAYO KWA USHIRIKI WA KARIBU WA VYAMA VYA SIASA. LAKINI ATASHIRIKISHAJE WATU AMBAO WANAONEKANA WAMEJAA HILA WASIOTAKA KUTAMBUA HATA MAMBO MEMA NA YA MUHIMU KWA TAIFA? JE HAWATAHUJUMU SERIKALI?

TUKIJUA TUNAJENGA TAIFA TUWE NA NIA SAFI NA KUSHRIKIANA NA WADAU WOTE WA UJENZI WA TAIFA KWA MISINGI YA UZALENDO, JUHUDI, MAARIFA NA UCHA MUNGU.
Nilitaka kusema ulichokisema, ila wewe umekiweka vizuri zaidi.

Wapinzani nchi hii waelewe kuwa sisi huku nje tunajua mbivu na mbichi. Hatutawakataa CCM eti kwa vile wamekaa madarakani muda mrefu au eti tunataka mabadiliko. Taifa lina Developmental Visions zake, Strategic Plans zake na Strategic Programmes zake. Usipokuja na mawazo mbadala ya utekelezaji wa hayo na badala yake unapinga bila shaka tutakupinga wewe sisi kama wananchi na wapiga kura.
 
Pia vyombo vya dola vitumike kwa usawa, kula chama kipewe nafasi ya Kuuza Sera zake kwa usawa.
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
MAKATO MAKUBWA BODI YA MIKOPO INATUFANYA TUWE NA MAISHA MAGUMU
 
Naona mnampampisha ROPOROPO wenu naye alivyo juha atadhani haya ndio matakwa ya Watanzania wote!

Ilihali ajenda nyingi tajwa zinagusa makundi machache na ambao si wapiga kura wakubwa.
Ndo mipango wenyewe UNAJUA MKAPA ALIFUTAJE KODI YA KICHWA kaulize karatu ilikuwa hivi hivi
 
Mna mvimbisha kichwa naye anajiona anakubalika nchi nzima....uchaghuzi wa mwaka huu ni rahisi mno maana Magufuli ataisoma ilani ya CCM ya 2015-2020 na utejelezaji wake unefanyika kwa kiasi gani kwa wananchi na ana anza kunadi ilani ya 2020-2025 atakavyo itekeleza kama atapewa tena ridhaa ya kuiongoza Tanzania kwa kipindi kingine cha miaka 5... biashara inaisha mapema na anasubiria kuapishwa
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Mkitaka kuchukua dola Jomba muulizeni kwanza Said Kubenea aliyewakimbia hivi majuzi kwenda ACT, JE ni kwa nini amewakimbia dakika za lala salama....na awape tathmini je mkipewa dola mtaweza au itawatokea puani? ??
 
Haya hapa chini ni maneno yako.

"Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe."

Bila kupinga maelezo yako ya mazuri, suala la ww kuibiwa kura halipo maana dunia itaona, na itasimama na ww. Je haya maneno yako yana ukweli kiasi gani ukirejea kilichotokea uchaguzi wa Zanzibar? Chaguzi zote za marudio toka awamu hii iingie madarakani, na uchaguzi wa SM? Je unadhani mkuu haya mambo hatuyaoni yakifanyika. Kama kweli Magufuli ni mzuri wa kiwango ulichosema pale juu? Imekuwaje chama chake kifanye uchaguzi wa rushwa za wazi bila mtu yoyote wa chama chake kufikishwa mahakamani. Au hao wananchi wanaopiga kura hawajali viongozi watoa rushwa?
 
Mna mvimbisha kichwa naye anajiona anakubalika nchi nzima....uchaghuzi wa mwaka huu ni rahisi mno maana Magufuli ataisoma ilani ya CCM ya 2015-2020 na utejelezaji wake unefanyika kwa kiasi gani kwa wananchi na ana anza kunadi ilani ya 2020-2025 atakavyo itekeleza kama atapewa tena ridhaa ya kuiongoza Tanzania kwa kipindi kingine cha miaka 5... biashara inaisha mapema na anasubiria kuapishwa

Kama ilani ndio inaibeba ccm, kwanini uchaguzi wa SM ulinajisiwa? Hiyo ilani ya ccm atakayoihubiri Magufuli itataja na mapambano ya rushwa, ambayo wagombea wa chama chake wameonyesha wazi kuwa bila rushwa huwezi kuwa kiongozi?
 
20200731_211109.jpg
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Hii dunia yaani wafuasi wapo wa Kila aina, hata ukianzisha chama Cha majuha utampata wafuasi tu!
Urais sio wa kufanyiwa majaribio! Tz kwa Sasa tunawatendaji ndio wanatuongoza kwa vitendo zaidi! Cheap politics Kama hizo zifanyeni tu Ila mwaka huu kuangukia pia hata tukiufanya uchaguzi wa kuhesabia kula kwa wagombea kuhesabia kura wenyewe mtashangaa mpaka wake zenu watampigia Magufuli, mkose nafasi na ndoa pia! Ushindi wa Mwaka huu kwa Magu ni zaidi ya 90%. Tuombe uzima tu!
 
Ongezea

Kuteka watu

Kuuwa wanasiasa

Kujenga chuki

Bodi ya mikopo

Maslahi watumishi

Kuminya Uhuru

Ubaguzi wa kiitikadi

Vitisho kwa wakosoaji
 
Hii dunia yaani wafuasi wapo wa Kila aina, hata ukianzisha chama Cha majuha utampata wafuasi tu!
Urais sio wa kufanyiwa majaribio! Tz kwa Sasa tunawatendaji ndio wanatuongoza kwa vitendo zaidi! Cheap politics Kama hizo zifanyeni tu Ila mwaka huu kuangukia pia hata tukiufanya uchaguzi wa kuhesabia kula kwa wagombea kuhesabia kura wenyewe mtashangaa mpaka wake zenu watampigia Magufuli, mkose nafasi na ndoa pia! Ushindi wa Mwaka huu kwa Magu ni zaidi ya 90%. Tuombe uzima tu!
Magu Nate alifanya majaribio tena amekiri mwenyeweGERI LISU YUKO SEROUS
 
Back
Top Bottom