Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia

Kwani wakiingia wapinzani watagawa sururu na nyundo ili wananchi waharibu miundombinu? Wataingia wengine nao wataleta maendeleo bila kuleta unyanyasaji kwa wenye mitazamo tofauti.
Sasa kwa nini statements kutoka upinzani zinaonesha kila alichokifanya Magufuli hakikuwa sahihi?
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
7 Kikokotoo kibaki kile kile cha zamani kwa wastaafu.
 
Asitusahau pia watu wa online transactions. Ahakikishe BOT wanaruhusu kupokea pesa kwa PAYPAL.
 
Kenya, Uganda wanaruhusu kuingia na pesa zozote Nchini mwao isipokuwa uzitumie hapo kwao zitumike usitoke nazo zote, lakini Tanzania ukija na pesa nyingi wanakunyang’anya kwa kisingizio cha utakatishaji pesa, kisingizio kisicho na Tija kwa maendeleo ya Nchi inakosa pesa za kigeni kwa hofu ya watanzania kutuma pesa zao ama kuja nazo cash
 
Mali za ccm ziakikiwe upya na zenye mashaka zirudishwe serikalini, mfano viwanja vya mpira nk
Mali za CCM zigawanywe kwa wapinzani kwani walizimili kipindi cha mfumo wa chama kimoja na sasa ni vyama vingi hivyo yafaa wagawane majumba viwanja na mali zingine zote
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Thanks you very much. Mkuu wewe ndio umegusia moja kwa moja maslagi ya Wanyonge. Naunga mkono hoja.
 
Lisu abakie huko kwenye kufungua kesi tu, Ila sio presidential material.

Yaani kabla hata hajaanza kampeni ushajua hoja zake, itakua ni marudio ya tukio lake la kupigwa risasi. Pole yake Ila jamaa Hana Cha ziada Cha kuwapa watu ukiachana na tukio Hilo.
Kukiwa na mdahalo kati ya lissu na mwenyekiti wenu halafu kila mtu ataje na aeleze Sera zake, unaonaje halo?
 
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Nimekubaliana nawe toka huko juu hadi nilipofika kwenye mstari huu na nusu yake. Nikajiuliza..., hivi itawezekana kweli kwa mshindi yeyote kuitelekeza kabisa miradi hiyo ya SGR na Dimbwi la umeme na kuisahau kabisa kama haikuwahi kuwepo?

Hiyo itakuwa serikali ya ajabu kabisa kuwahi kutokea!
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Ingekuwa Nchi inachukuliwa kwa kuandika tu, hata Mimi ningeichukua! Wananchi wa siku hizi wanalinganisha maneno na matendo ya mhusika, chama na wamzungukao, unayemsema si mgeni amekuwepo siku nyingi wananchi wanamfahamu. Hayo maneno kila mtu anaweza kuyasema lakini wachache sana wanaweza kuyatekeleza.
 
Apunguze na makato ya Bodi ya Mikopo

Jambo lingine:aidi kuendeleza ujenzi wa miundombinu kwa kushirikisha sekta binafsi ili kuipunguzia serikali mzigo na pia ili kuepuka mzigo wa madeni na hivyo kuiongezea serikali uwezo wa kuajiri,kuboresha masilahi ya wafanyakazi,kununua madawa,n.k
Bodi ya mikopo tulikuwa tunalipa 8% meko alipoingia akazidisha karibu mara mbili (15%). Tukadhani wataongezeka wanaokopeshwa lakini bado tu wadogo zetu wanakosa mikopo.
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Ukiwa mshauri wake, utamuangusha. Yaani kwa akili yako unaona hayo yanapimika kwa mwananchi mpiga kura?
-Imarisha sekta binfasi; Ki vipi?
-Ajira kwa vijana; Yale yale ya Lowasa wa CHADEMA
-Kodi na masrahi ya watumishi wa umma; Yale yale ya kuamini ajira yako ina thamani kuliko kilimo cha mjomba wangu kijijini.
-Boresha biashara; Ki vipi?

Ukijibu maswali hayo ndo utamsaidia kueleza wanayotaka kusikia wapiga kura. Sentensi za jumla hatuzitaki. Lakini, pia nina wasi wasi wa mtu wako huyu. Hana jingine analojua zaidi ya haki za binadamu na vifungu vya sheria; Zinasema hivi au vile. Nchi inataka Sayansi na Teknolojia, haya ndo yamewatoa nchi zingine. Hayo uliyoyaandika hata hayana maana ktk maendeleo ya nchi.
 
Apunguze mshahara wa Rais/mawaziri.
Tatizo munaamini Lissu ana akili timamu. Mmesahau ndiye aliyemuingiza dada yake Bunge la Katiba. Munasahau ndo anawatoza milioni 20 wana CDM wenzake kusimamia kesi zao. Yaani awe rais aache ubinafsi ahangaikie mshahara wake kuukata! Hicho ni kichwa kiko tenge!!
 
Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana

2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726

3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo

4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55

5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais

6.Imarisha sekta binafsi

6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana

Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.

Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Mbona uliyoyasema si hoja tena katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015 - 2020.

Labda nikuulize ukitaka ajira zipi kwa vijana..? Ulitaka mikopo ipi ya wanafunzi wa elimu ya juu..? Ulitaka sekta binafsi zipi ziimarishwe..? Ulitaka maslahi yapi ya watumishi wa umma..?

Ndugu unapojitokeza hadharani kusema mambo ya makubwa ya kitaifa, jitenge na ubinfsi kwanza kisha ndio useme. Tatizo la waafrika wengi na hasa watanzania baadhi ni ubinafsi!

Lazima tufahamu kuwa Tanzania haijajitenga na Dunia, ni sehemu ya Dunia. Unapozungumza maendeleo ya nchi katika karne ya 21, fahamu wazi kuwa unaihusainisha Tanzania na nchi zingine Duniani. Ukiangalia hali halisi ya uchumi wa Dunia kwa sasa, Tanzania chini ya serikali ya CCM imefanya kazi nzuri na imeoiga hatua kwa kadiri ya uwezo wake. Na hii imekuwa tofauti na nchi zingine kwa Afrika.

Wenzetu hawa waliotuzunguka (yaani wazungu) ni wamoja na wanajua ni ni hitaji lao kwa maslahi ya Taifa lao. Lakini sisi tunakalia umbeya na ukitonga mchana hata usiku huku tukitafuta mtu ambaye atakuja kutuongoza kwa mahitaji yetu ya ubinafsi na sio kama Taifa. Tubadilike, ni lazima tukubali kupongeza kwa uzuri mazuri yanayofanywa na serikali.
 
Lissu aache kuongelea haki za binadamu na katiba, kweli? Ataweza kweli ku-focus kwenye uchumi?
 
Makato ya benki na makampuni ya simu. Ni uwizi mkubwa.

futa kabisa.Nchi nyingi tu pesa yako benki au kwenye simu haikatwi.
Samahani mkuu naomba kujua, wapunguze au vifutwe kabisa halafu watajiendesha vipi ikiwa hayo makato ni moja ya vyanzo vyao vya mapato?
 
Back
Top Bottom