Kwa akili kama hizi za kwako huwa nawaza kwanini siasa wameachiwa watu kama nyie ambao ndio "think tank" kwenye vyama vingi hasa upinzani...umesema pepsi wanabadiri model, je kwanini CCM wamebadili slogan kutoka hapa kazi tu iliyotumiwa 2015 kwenda tumetekeleza kwa shishindo blah blah?..Hoja yako ni dhaifu sana , unazungumzia coca na pepsi wanaobadili model na bei kila wiki ! kwanini wasitangaze ?
Mkuu nilikuwa nakuona umevuka ile tabia ya kujiliwaza na kuogopa kuface "reality" hata kama inaumiza.....hebu toka kwenye comfort zone! kuna kipi kipya kwenye huu uchaguzi?
Na kwenye majimbo ambayo wapinzani huzingatia haya na kuyafanyia kazi wameibuka washindi ikiwemo jimboni kwake mwenyewe.Jamaaa anaakili mara 1000000 kumzidi magu aseee. Yani alivyodadavua kama kweli vikatekelezwa, magufuli ajiandaye kufungasha virago na kwenda kwao ( nje ya Tanzania)
Slogan si kitu ambacho wananchi wanaangalia , wala hata ilani ya ccm haiangaliwi , hii ni kwa vile ilani hiyo imekanyagwa vibaya sana na Magufuli , watu wanamuangalia Magufuli mwenyewe kauli zake na kejeli zake na matendo yakeKwa akili kama hizi za kwako huwa nawaza kwanini siasa wameachiwa watu kama nyie ambao ndio "think tank" kwenye vyama vingi hasa upinzani...umesema pepsi wanabadiri model, je kwanini CCM wamebadili slogan kutoka hapa kazi tu iliyotumiwa 2015 kwenda tumetekeleza kwa shishindo blah blah?..
Polepole + Bashiru + Jiwe < Lissu.Polepole + Bashiru + Jiwe = Lissu
Hapo naona kuna tatizoNdugu, kuna shida maana hatuna watu walio andaliwa na committed kulinda ushindi wetu kwa gharama yeyote. Mawakala wengi huwa wananunulika kirahis sana, tena kwa pesa ya maandazi.
Inawezekana ukawa unaishi kwa sababu ya ccm , lakini ukweli ni kwamba ccm haina ushawishi popote kwenye nchi hii , njia yao ya ushindi ni polisi tu , hivi ninavyoandika kambi ya Twalipo imejaza askari kutoka mikoa yote kwa ajili ya uchaguzi huu , ndio maana akitokea mtu wa kudhibiti hali hii kama alivyoletwa Lissu na Mungu mwenyewe tunajiamini kwamba hakuna wizi wala ubabe wa kibwege tena .Mkuu nilikuwa nakuona umevuka ile tabia ya kujiliwaza na kuogopa kuface "reality" hata kama inaumiza.....hebu toka kwenye comfort zone! kuna kipi kipya kwenye huu uchaguzi?
Mkuu hizo ni silaha za CCM, sasa hutakiwi kuzitoa mapema ili wabuni 'mbinu' mpya.Huo mtandao waujenge sasa hivi muda uko wapi..? Hapa ndipo ninapo madharau Mbowe na Mnyika.
Mawakala wa kuunga unga watapewa rushwa kwisha kazi.
Tema mate chini , Chadema inaendeshwa kwa kanda mkuu , usijisahauHuo mtandao waujenge sasa hivi muda uko wapi..? Hapa ndipo ninapo madharau Mbowe na Mnyika.
Mawakala wa kuunga unga watapewa rushwa kwisha kazi.
Lipo tena kubwa sana, Mbowe hapa ndipo huwa nasema aachie madaraka siyo strategist ata chembe, walitakiwa kuwa wamejenga mtandao wa mawakala nchi nzima na kuwapa mafunzo ya kiitikadi.Hapo naona kuna tatizo
Unajidanganya bwasheeee! atawazidi TISS?Jamaaa anaakili mara 1000000 kumzidi magu aseee. Yani alivyodadavua kama kweli vikatekelezwa, magufuli ajiandaye kufungasha virago na kwenda kwao ( nje ya Tanzania)
Pia kuna kosa moja la kiufundi ambalo ccm wanalifanya na naamini bado hawalijui hata sasa tena kwa ccm hii ya Meko asiyejua 'mbinu za ushindi' za CCM na kawatupa 'wakongwe' ndiyo kabisa.
Hahahah..! Huwajui vizuri CCM rafiki yangu..! Ni maharamia kuliko unavyoweza KUDHANI. Ata wale waangalizi wanapewa pesa kukaa kimya.Mkuu hizo ni silaha za ccm, sasa hutakiwi kuzitoa mapema ili wabuni 'mbinu' mpya.
Hakuna cha mtandao wa kujenga hapo, ni elimu ya siku 3 tu kwa mawakala wanaiva.
Mawakala wapo kibao na kuna mbinu kadha wa kadha za kudhibiti wakala asinunuliwe sema hapo Lissu hawezi kuweka wazi ni siri hiyo. Lissu kwa mfano amekuwa akitumia mawakala ambao ni std vii tu lakini ccm hawajawahi muibia hata kura moja.
Sio jambo kubwa au gumu kulitekeleza, na kila mgombea ubunge wa Chadema na viongozi wanaelewa cha kufanya sio kwamba Lissu ndio ataenda nchi nzima. Kwa hiyo muda bado unatosha sana.
Marketing effect ya brand ya biashara Coca and Pepsi in particular, ina tofauti sana na issue ya politics.Nani asiyeijua Coca Cola au Pepsi, kwanini kila ujao wanachapicha mabango na matangazo ya TV, radio kila kona....Uliza watu wa marketing kuwa kwanini kuna kujitangaza hata kama unafahamika kama CCM?