Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

Hoja yako ni dhaifu sana , unazungumzia coca na pepsi wanaobadili model na bei kila wiki ! kwanini wasitangaze ?
Kwa akili kama hizi za kwako huwa nawaza kwanini siasa wameachiwa watu kama nyie ambao ndio "think tank" kwenye vyama vingi hasa upinzani...umesema pepsi wanabadiri model, je kwanini CCM wamebadili slogan kutoka hapa kazi tu iliyotumiwa 2015 kwenda tumetekeleza kwa shishindo blah blah?..
 
Kwa akili kama hizi za kwako huwa nawaza kwanini siasa wameachiwa watu kama nyie ambao ndio "think tank" kwenye vyama vingi hasa upinzani...umesema pepsi wanabadiri model, je kwanini CCM wamebadili slogan kutoka hapa kazi tu iliyotumiwa 2015 kwenda tumetekeleza kwa shishindo blah blah?..
Slogan si kitu ambacho wananchi wanaangalia , wala hata ilani ya ccm haiangaliwi , hii ni kwa vile ilani hiyo imekanyagwa vibaya sana na Magufuli , watu wanamuangalia Magufuli mwenyewe kauli zake na kejeli zake na matendo yake
 
Tutawashinda CCM bila pesa, bila jeshi, tutawashinda CCM mabarabani na chini ya miti.
 
Ndugu, kuna shida maana hatuna watu walio andaliwa na committed kulinda ushindi wetu kwa gharama yeyote. Mawakala wengi huwa wananunulika kirahis sana, tena kwa pesa ya maandazi.
Hapo naona kuna tatizo
 
Mkuu nilikuwa nakuona umevuka ile tabia ya kujiliwaza na kuogopa kuface "reality" hata kama inaumiza.....hebu toka kwenye comfort zone! kuna kipi kipya kwenye huu uchaguzi?
Inawezekana ukawa unaishi kwa sababu ya ccm , lakini ukweli ni kwamba ccm haina ushawishi popote kwenye nchi hii , njia yao ya ushindi ni polisi tu , hivi ninavyoandika kambi ya Twalipo imejaza askari kutoka mikoa yote kwa ajili ya uchaguzi huu , ndio maana akitokea mtu wa kudhibiti hali hii kama alivyoletwa Lissu na Mungu mwenyewe tunajiamini kwamba hakuna wizi wala ubabe wa kibwege tena .

CCM hii ya Magufuli haitakiwi na kila mwenye akili timamu
 
Huo mtandao waujenge sasa hivi muda uko wapi..? Hapa ndipo ninapo madharau Mbowe na Mnyika.

Mawakala wa kuunga unga watapewa rushwa kwisha kazi.
Mkuu hizo ni silaha za CCM, sasa hutakiwi kuzitoa mapema ili wabuni 'mbinu' mpya.

Hakuna cha mtandao wa kujenga hapo, ni elimu ya siku 3 tu kwa mawakala wanaiva.

Mawakala wapo kibao na kuna mbinu kadha wa kadha za kudhibiti wakala asinunuliwe sema hapo Lissu hawezi kuweka wazi ni siri hiyo. Lissu kwa mfano amekuwa akitumia mawakala ambao ni std 7 tu lakini CCM hawajawahi muibia hata kura moja.

Sio jambo kubwa au gumu kulitekeleza, na kila mgombea ubunge wa CHADEMA na viongozi wanaelewa cha kufanya sio kwamba Lissu ndio ataenda nchi nzima. Kwa hiyo muda bado unatosha sana.
 
Huo mtandao waujenge sasa hivi muda uko wapi..? Hapa ndipo ninapo madharau Mbowe na Mnyika.

Mawakala wa kuunga unga watapewa rushwa kwisha kazi.
Tema mate chini , Chadema inaendeshwa kwa kanda mkuu , usijisahau
 
MCHEZO MZURI IPO SIKU WOTE NI WATATATIFU MTAWASOMA KWA KJUTUMIA MWILI, MANENO NA MATENDO YAO
 
Hao CCM wenyewe wanapumulia mashine..wagombea wake wanalia ukata

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kuna kosa moja la kiufundi ambalo ccm wanalifanya na naamini bado hawalijui hata sasa tena kwa ccm hii ya Meko asiyejua 'mbinu za ushindi' za CCM na kawatupa 'wakongwe' ndiyo kabisa.

Hii mbinu Lissu anaijua vema na aliitumia tangu 2010 kudhibiti mawakala kununuliwa, pale ndio nilijua Lissu ni mafia, yaani anatumia mbinu zao wenyewe kuwaangamiza.
 
Mkuu hizo ni silaha za ccm, sasa hutakiwi kuzitoa mapema ili wabuni 'mbinu' mpya.

Hakuna cha mtandao wa kujenga hapo, ni elimu ya siku 3 tu kwa mawakala wanaiva.

Mawakala wapo kibao na kuna mbinu kadha wa kadha za kudhibiti wakala asinunuliwe sema hapo Lissu hawezi kuweka wazi ni siri hiyo. Lissu kwa mfano amekuwa akitumia mawakala ambao ni std vii tu lakini ccm hawajawahi muibia hata kura moja.

Sio jambo kubwa au gumu kulitekeleza, na kila mgombea ubunge wa Chadema na viongozi wanaelewa cha kufanya sio kwamba Lissu ndio ataenda nchi nzima. Kwa hiyo muda bado unatosha sana.
Hahahah..! Huwajui vizuri CCM rafiki yangu..! Ni maharamia kuliko unavyoweza KUDHANI. Ata wale waangalizi wanapewa pesa kukaa kimya.

2010 zanzibar wanaangalizi wa ndani walipewa pesa nyingi mno wakaachana na kutoa taarifa kwa walio watuma.
 
Nani asiyeijua Coca Cola au Pepsi, kwanini kila ujao wanachapicha mabango na matangazo ya TV, radio kila kona....Uliza watu wa marketing kuwa kwanini kuna kujitangaza hata kama unafahamika kama CCM?
Marketing effect ya brand ya biashara Coca and Pepsi in particular, ina tofauti sana na issue ya politics.

Ndio maana Meko kajitangaza miaka mitano na kajaza mabango nchi mzima ila imemchukua Lissu wiki kadhaa tu kumfutilia mbali.
 
Back
Top Bottom