Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

narudia tena,
there is nothing, mercenaries and puppets can do in this country against very able and united Tanzanians Patriots πŸ’
Mkuu naamini ndo umeanza kujifunza kiingereza. Inaonekana unakipenda bahati mbaya chenyewe kinakukataa.
 
Nikumbushe: ccm inaungwa mkono zaidi na ......
Wapinzani (Chadema) wanaungwa mkono zaidi na .....
 
there is no where mercenaries and puppets can be given a chance to represent their masters in our land Mama Tanzania.

no way πŸ’
Mamluki unaowasema ndo hao waliopo madarakani wanaoza Hadi malango ya nchi kama vile bandari na yaweza kuwa unatete huu upumbav kisa shemeji Yako ni katibu tarafa wa ccm huko Ikwingwifu
 
Mamluki unaowasema ndo hao waliopo madarakani wanaoza Hadi malango ya nchi kama vile bandari na yaweza kuwa unatete huu upumbav kisa shemeji Yako ni katibu tarafa wa ccm huko Ikwingwifu
mihemko ni hatari kwa afya ya akili na moyo wako,
kua muungwana tu kwenye mambo haya utaelewa na kuyafahamu vizuri πŸ’

mtanzania yeyote ana haki ya kutoa maoni na mtazamo dhidi mambo mbalimbali kadiri anavyoona inafaa....

lakini mtanzania yeyote mwenye sifa na vigezo stahiki anastahili kua kiongozi iwe wa kata, kijiji ama vinginevyo bila kujali chama chake cha kisiasa πŸ’

na kwahivyo,
nikuhakikishie tu kwamba,
mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ambao umeungana nao, wanadhibitika kirahisi sana kama vile kudhibiti kundi kubwa sana la nyumbu, bila tashwishwi yoyote πŸ’
 
Katiba ni Sheria na kama Sheria hata zilizopo zinapindishwa basi ndio hivyo.... utawapeleka Mahakamani lakini mwisho wa siku ndio hivyo....

Kinachohitajika ni utamaduni wa wananchi kuchukia wizi na kuona ufisadi sio jambo jema as of now mtu akiiba ukishangaa jamii inakuona una wivu...., Siasa imekuwa ni sehemu ya kuchuma, wezi / wizi ndio ujanja wakati zamani ilikuwa ni aibu...
 
wakweli huwa wanapigwa sana vita Duniani !
Sijui ni kwanini !!!!

tangu zama na zama iko vile πŸ™„πŸ˜±πŸ™„
 
Duh πŸ™„ !
Hatar sana πŸ™πŸ™ !
 
Ndio maana CCM wanamuogopa sana Tundu Lissu.

Hawangependa kabisa kumuona anasimama kugombea kiti cha Rais na mtu wao yeyote watakayemweka.

Na wakirogwa wamweke huyu mama, atachanwachanwa mpaka watamhurumia!
hizo ni ndoto za mchana huwezi kushindana na mtu anayeshika dola hata awe anapendwa kaisi gani mama anamchana mchana kweupeee watu wanarudi ikulu anabaki analalama tu huko kama mtu aliyefumaniwa akioga nje lisu hana lolote ni maneno matupu
 
Huyu jamaa ni akili kubwa.......hawa ndio tunawaita visionary leader ambao taifa letu linawahitaji kwa udi na uvumba.
 
Umemjibu kwa ufasaha na ustadi mkubwa sana......kazi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…