Kwa uungwana mkubwa raisi wetu aliruhusu mikutano ya hadhara na maandamano kwa vyama vya siasa nchini ili viweze kujijenga.
Unajiita "Dr" lakini hoja zako ni ujinga mtupu.
Hivi mikutano au shughuli za kisiasa za vyama vya kisiasa halali kisheria zinatolewa kwa ridhaa na huruma ya Rais au ni takwa na haki ya kikatiba?
Nani ni superior kwa mwezake? Rais au katiba ya nchi?
Wewe ni "doctor" gani usiweza kuelewa kitu rahisi kama hiki?
Kumbe ni kweli ukiwa CCM hata akili huwa mnakabidhi kwenye viuno vya bwana zenu!!
Lakini masharti ya ruhusa hiyo ilikuwa vyama hivyo vikafanye siasa za kiustaarabu. Hili alilisisitiza sana mheshimiwa raisi. Lakini kwa masikitiko makubwa Tundu Lissu amelipuuza agizo hili muhimu la raisi na kuendelea na siasa zake za uchochezi, ubaguzi, maudhi, matusi etc.
Anachokisema Tundu Lissu kwenye Video clip hiyo kiko very loud and clear. Hivi kwa akili zako finyu wewe "dokta maandazi", Ni kipi hapo kilichosemwa ambacho ni ubaguzi, uchochezi, maudhi, na matusi? Unaweza ku -justify haya au umeandika tu pssipo hata kusikiliza kuelewa logic ya kinachosemwa hapo?
Hivi kweli ma - Rais wetu sio wezi? Wewe kweli wewe "Doctor" mzima hujui kuwa Hayati Rais Benjamin Mkapa amekiri mwenyewe katika kitabu cha maisha yake kuwa akiwa Rais wa nchi hii kwa kutumia madaraka yake ya u - Rais amekiri kuwa aliiba fedha zaidi ya bilion 100 toka Benki Kuu (BoT) kwa ajili ya kuisaidia CCM kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015?
Je hujui kuwa Rais Kikwete naye kwa kutumia madaraka na mamlaka yake ya Urais amewahi kuiba fedha toka Benki Kuu (BoT) katika kashfa maarufu inayojulikana kama "Tegeta Escrow Account?"
Kama unaelewa haya kashfa au matusi hapo yako wapi? Mwizi anayeiba akiitwa mwizi kwa kitendo chake hicho ni vipi iwe ni tusi au kashfa au uchochezi au ubaguzi?
Uko sawasawa kweli
Dr Akili kichwani mwako? Umeupataje huo udokta wako kama huwezi kuelewa mambo rahisi kama haya?
Sasa kipi kifanyike kumunyoosha Tundu Lisu kumrudisha kwenye mstali sahihi?
ACHENI WIZI!!
Hicho ndicho kinachoweza kufanyika literary. Kama wewe sio mwizi, nani atahangaika na wewe?
Lakini ni ngumu kweli mwizi kuacha tabia yake ya wizi kama hakuna enforcement.
Tundu Lissu kwenye hotuba yake amekuwa so specific akitoa na suluhu ya kuzuia ma - Rais wezi kuingia ikulu.
Njia permanent ya kuzuia hili
ni kuwa mfumo thabiti wa kikatiba na kisheria isiyompa kinga Rais kutoshitakiwa mara afanyapo makosa ya jinai anapokuwa madarakani
Akiachwa hivyo ataivuruga nchi na kuleta machafuko kama yale ya Sudani na kwingineko tunayoyaona. Demokrasia haina maana hiyo.
Wewe kweli ni dokta mjinga kwelikweli!!!
Hivi tangu lini mpinga uovu na mabaya ya yanayoratibiwa kimfumo akawa chanzo cha machafuko??
Yaani wewe badala ujiunge na wapinga mabaya na uovu hapa nchini na kushauri au kuelekeza namna sahihi ya kwenda mbele in harmony kinyume chake wewe unawaona hawa ni waleta machafuko!!??? Really
Dr Akili?
Hivi huu udaktari wako ni wa kwenda shule kweli au ni wa kujipachikwa baada ya kulamba viatu vya bwana zako?
I completely doubt you because a real educated doctor can't be stupid and low minded as you are..!!