Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

Tundu Lissu: Ukiwa na Rais mwizi mnawezaje kuwa salama? Katiba bora ni kuzuia Marais wezi

Kwa uungwana mkubwa raisi wetu aliruhusu mikutano ya hadhara na maandamano kwa vyama vya siasa nchini ili viweze kujijenga.

Lakini masharti ya ruhusa hiyo ilikuwa vyama hivyo vikafanye siasa za kiustaarabu. Hili alilisisitiza sana mheshimiwa raisi. Lakini kwa masikitiko makubwa Tundu Lissu amelipuuza agizo hili muhimu la raisi na kuendelea na siasa zake za uchochezi, ubaguzi, maudhi, matusi etc. Mwenyekiti wake Mh. Mbowe yeye kalizingatia sharti hilo vizuri na anafanya siasa za kistaarabu na za kuheshimiana, akijenga hoja zake kwa ustadi mkubwa bila kuudhi mtu ye yote. ACT wazalendo na CUF nao wanafanya siasa za kistaarabu kwa ustadi mkubwa.

Sasa kipi kifanyike kumunyoosha Tundu Lisu kumrudisha kwenye mstali sahihi? Akiachwa hivyo ataivuruga nchi na kuleta machafuko kama yale ya Sudani na kwingineko tunayoyaona. Demokrasia haina maana hiyo. Tunajua watoto wake wako Amerika (wana uraia wa Marekani) na mke wake yuko Ubeligiji. Akikinukisha hapa yeye haraka atakwenda Amerika au Ubelgiji, sisi atatuacha tukiumizana.
Rubbish
 
wakweli huwa wanapigwa sana vita Duniani !
Sijui ni kwanini !!!!

tangu zama na zama iko vile 🙄😱🙄
Kuna muda unamuangalia na kumsikiliza huyu jamaa unabaki na maswali mengi sana, kwanini watu kama hawa hawapewi nafasi kwenye maswala muhimu kabisa.

Very bright and intelligent, sad mfumo unamchukia sana.
 
relax,
panic and mayhem is not good for your health 🐒
What do you know about "mayhem"? You use words without knowing their proper meaning.
From what I can tell, you have no clue about the effects of "panic and mayhem", and health.
 
Na Taifa hilo hilo halimtaki, inasikitisha sana.
Hii siyo kweli.
Weka uchaguzi ulio huru, watu wawe na uhuru wa kuchagua wenyewe. Mpambanishe huyu na yeyote aliyeko CCM sasa hivi. Wape uwanja huru wa kujieleza kwa wananchi ni dira gani walizonazo kwa taifa hili.
Weka mazingira hayo, halafu tuone hao watu wa "taifa hilo" wasiomtaka ni wapi hao.
 
What do you know about "mayhem"? You use words without knowing their proper meaning.
From what I can tell, you have no clue about the effects of "panic and mayhem", and health.
be careful on it,
i have done my part in helping you to protect your health against rising unnecessary political moods :NoGodNo:
 
According to professor Lumumba of Kenya, in Africa we elect "thieves " to the office.
 
There is no where mercenaries and puppets can be given a chance to represent their masters in our land Mama Tanzania. No way 🐒
The mercenaries have given our ports to their masters Dp World in a broad daylight.
 
siwezi kamwe kujiunga na mercenaries or puppets team, that one can never ever happen to me 🐒

nanufaika na amani na utulivu uliopo nchini, unaosimamiwa na serikali madhubuti sana ya CCM, chini ya kiongozi wetu makini sana Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

I can confirm to to you all, without fear of contradictions kwamba patriotics of this country tupo chonjo, tupo rada mbaya sana, kuwazuia na kuwadhibiti vibaraka na mamluki wa aina yoyote, wanaotumwa kuja kuwahadaa waTanzania, ambao wengi ni waerevu sana, na wameshastukia kamchezo, ka hasa huyu kibaraka mkuu, alietumwa na mabwenyenye, ati kuja kujaribu kutikisa amani na utulivu wa waTanzania, kitu ambacho hakiwezekani kamwe 🐒

waTanzania hawawezi kujiunga na hiyo barabara ya mihemko. mtashindana lakini hamtashinda na hakuna mahali mnaenda humu nchini 🐒
Ninyi ndio wale Mbwa vichaa ambao dawa yao ni risasi TU because they are good for nothing.
 
Kwa uungwana mkubwa raisi wetu aliruhusu mikutano ya hadhara na maandamano kwa vyama vya siasa nchini ili viweze kujijenga.

Lakini masharti ya ruhusa hiyo ilikuwa vyama hivyo vikafanye siasa za kiustaarabu. Hili alilisisitiza sana mheshimiwa raisi. Lakini kwa masikitiko makubwa Tundu Lissu amelipuuza agizo hili muhimu la raisi na kuendelea na siasa zake za uchochezi, ubaguzi, maudhi, matusi etc. Mwenyekiti wake Mh. Mbowe yeye kalizingatia sharti hilo vizuri na anafanya siasa za kistaarabu na za kuheshimiana, akijenga hoja zake kwa ustadi mkubwa bila kuudhi mtu ye yote. ACT wazalendo na CUF nao wanafanya siasa za kistaarabu kwa ustadi mkubwa.

Sasa kipi kifanyike kumunyoosha Tundu Lisu kumrudisha kwenye mstali sahihi? Akiachwa hivyo ataivuruga nchi na kuleta machafuko kama yale ya Sudani na kwingineko tunayoyaona. Demokrasia haina maana hiyo. Tunajua watoto wake wako Amerika (wana uraia wa Marekani) na mke wake yuko Ubeligiji. Akikinukisha hapa yeye haraka atakwenda Amerika au Ubelgiji, sisi atatuacha tukiumizana.
Kama tutaumizana kwa kuwaponda ponda hao Mbwa Wa ccm itakuwa sawa TU..
 
Hovyo kabisa. Ondoa hiyo 'title' ya Dr. kwa sababu huna hadhi nayo.

Andiko lote hata mfano mmoja tu hujatoa kuonyesha hayo maudhi unayomhusisha nayo Tundu Lissu.

Nchi hii hatuwezi wote kuwa 'chawa' wa kuishi kwa uchafu wa mnayemtegemea nyinyi. Sifa hiyo pekee ni maudhi makubwa kwa taifa hili

Mnatumia misamiati: kistaarabu, staha, uungwana, n.k., kulaza akili za watu huku matendo yenu yakiwa maovu, yasiyokuwa na staha wala ustaarabu wowote. Msifikiri ulaghai wenu huu wa kutumia lugha kuwapumbaza watu utafanikiwa.
Na kwa bahati mbaya sana kwenu, Tundu Lissu sasa anaeleweka zaidi na watu wanaomsikiliza kuliko wakati mwingine wowote.
Tundu Lissu mmoja anaweza simama na wezi wote wa ccm na hakuna hata mmoja anayemuweza kwa hoja
 
Ninyi ndio wale Mbwa vichaa ambao dawa yao ni risasi TU because they are good for nothing.
wewe taja na kuita wengine majina yoyote yale but there is no place to hide or escape roots for mercenaries and puppets kutamalaki within mama Tanzania :pedroP:
 
Ndio maana CCM wanamuogopa sana Tundu Lissu.

Hawangependa kabisa kumuona anasimama kugombea kiti cha Rais na mtu wao yeyote watakayemweka.

Na wakirogwa wamweke huyu mama, atachanwachanwa mpaka watamhurumia!

Silaha yao ya mwisho ni kuiba uchanguzi wala siyo kuiba kura.
 
Kwa uungwana mkubwa raisi wetu aliruhusu mikutano ya hadhara na maandamano kwa vyama vya siasa nchini ili viweze kujijenga.

Lakini masharti ya ruhusa hiyo ilikuwa vyama hivyo vikafanye siasa za kiustaarabu. Hili alilisisitiza sana mheshimiwa raisi. Lakini kwa masikitiko makubwa Tundu Lissu amelipuuza agizo hili muhimu la raisi na kuendelea na siasa zake za uchochezi, ubaguzi, maudhi, matusi etc. Mwenyekiti wake Mh. Mbowe yeye kalizingatia sharti hilo vizuri na anafanya siasa za kistaarabu na za kuheshimiana, akijenga hoja zake kwa ustadi mkubwa bila kuudhi mtu ye yote. ACT wazalendo na CUF nao wanafanya siasa za kistaarabu kwa ustadi mkubwa.

Sasa kipi kifanyike kumunyoosha Tundu Lisu kumrudisha kwenye mstali sahihi? Akiachwa hivyo ataivuruga nchi na kuleta machafuko kama yale ya Sudani na kwingineko tunayoyaona. Demokrasia haina maana hiyo. Tunajua watoto wake wako Amerika (wana uraia wa Marekani) na mke wake yuko Ubeligiji. Akikinukisha hapa yeye haraka atakwenda Amerika au Ubelgiji, sisi atatuacha tukiumizana.
Tundu Lissu anaeleweka sana. Kwanza anayasema hadharani yale yote ambayo wengine mnayasemea uvunguni tena kinyonge mmejificha. Tuendele kumsikiliza na tubadilike. Basi rudisheni mali za watanganyika ili hoja zake zipungue. Hata Nape anamkubali amejificha akija hadharani anaendeleza uchawa.
 
Kwa uungwana mkubwa raisi wetu aliruhusu mikutano ya hadhara na maandamano kwa vyama vya siasa nchini ili viweze kujijenga.
Unajiita "Dr" lakini hoja zako ni ujinga mtupu.

Hivi mikutano au shughuli za kisiasa za vyama vya kisiasa halali kisheria zinatolewa kwa ridhaa na huruma ya Rais au ni takwa na haki ya kikatiba?

Nani ni superior kwa mwezake? Rais au katiba ya nchi?

Wewe ni "doctor" gani usiweza kuelewa kitu rahisi kama hiki?

Kumbe ni kweli ukiwa CCM hata akili huwa mnakabidhi kwenye viuno vya bwana zenu!!
Lakini masharti ya ruhusa hiyo ilikuwa vyama hivyo vikafanye siasa za kiustaarabu. Hili alilisisitiza sana mheshimiwa raisi. Lakini kwa masikitiko makubwa Tundu Lissu amelipuuza agizo hili muhimu la raisi na kuendelea na siasa zake za uchochezi, ubaguzi, maudhi, matusi etc.
Anachokisema Tundu Lissu kwenye Video clip hiyo kiko very loud and clear. Hivi kwa akili zako finyu wewe "dokta maandazi", Ni kipi hapo kilichosemwa ambacho ni ubaguzi, uchochezi, maudhi, na matusi? Unaweza ku -justify haya au umeandika tu pssipo hata kusikiliza kuelewa logic ya kinachosemwa hapo?

Hivi kweli ma - Rais wetu sio wezi? Wewe kweli wewe "Doctor" mzima hujui kuwa Hayati Rais Benjamin Mkapa amekiri mwenyewe katika kitabu cha maisha yake kuwa akiwa Rais wa nchi hii kwa kutumia madaraka yake ya u - Rais amekiri kuwa aliiba fedha zaidi ya bilion 100 toka Benki Kuu (BoT) kwa ajili ya kuisaidia CCM kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015?

Je hujui kuwa Rais Kikwete naye kwa kutumia madaraka na mamlaka yake ya Urais amewahi kuiba fedha toka Benki Kuu (BoT) katika kashfa maarufu inayojulikana kama "Tegeta Escrow Account?"

Kama unaelewa haya kashfa au matusi hapo yako wapi? Mwizi anayeiba akiitwa mwizi kwa kitendo chake hicho ni vipi iwe ni tusi au kashfa au uchochezi au ubaguzi?

Uko sawasawa kweli Dr Akili kichwani mwako? Umeupataje huo udokta wako kama huwezi kuelewa mambo rahisi kama haya?
Sasa kipi kifanyike kumunyoosha Tundu Lisu kumrudisha kwenye mstali sahihi?
ACHENI WIZI!!

Hicho ndicho kinachoweza kufanyika literary. Kama wewe sio mwizi, nani atahangaika na wewe?

Lakini ni ngumu kweli mwizi kuacha tabia yake ya wizi kama hakuna enforcement.

Tundu Lissu kwenye hotuba yake amekuwa so specific akitoa na suluhu ya kuzuia ma - Rais wezi kuingia ikulu.

Njia permanent ya kuzuia hili ni kuwa mfumo thabiti wa kikatiba na kisheria isiyompa kinga Rais kutoshitakiwa mara afanyapo makosa ya jinai anapokuwa madarakani
Akiachwa hivyo ataivuruga nchi na kuleta machafuko kama yale ya Sudani na kwingineko tunayoyaona. Demokrasia haina maana hiyo.
Wewe kweli ni dokta mjinga kwelikweli!!!

Hivi tangu lini mpinga uovu na mabaya ya yanayoratibiwa kimfumo akawa chanzo cha machafuko??

Yaani wewe badala ujiunge na wapinga mabaya na uovu hapa nchini na kushauri au kuelekeza namna sahihi ya kwenda mbele in harmony kinyume chake wewe unawaona hawa ni waleta machafuko!!??? Really Dr Akili?

Hivi huu udaktari wako ni wa kwenda shule kweli au ni wa kujipachikwa baada ya kulamba viatu vya bwana zako?

I completely doubt you because a real educated doctor can't be stupid and low minded as you are..!!
 
siwezi kamwe kujiunga na mercenaries or puppets team, that one can never ever happen to me 🐒
By just being a CCM member, you're already a mercenary and a puppet of imperialism and imperialists, Dude..!!

You're writing something which is out of your good imagination and understanding Mr Puppet a.k.a Mr Mercenary..!
 
you mercenaries and puppets are well known by Patriots, you have no place to hide, no room to escape and ofcoz nothing to do, no where to go

you are under full control 🐒
 
Back
Top Bottom