Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Baadhi yenu hata sidhani kama hata maendeleo aliyokuwa anayaimba Jiwe mnayataka kama ambavyo mngetaka kuona anatukuzwa na wote wa Mbingu na nchi.

In the immortal words of Vakill, "it's alright to show the late greats love, but some of y'all are riding d*cks and don't know it like a date rape drug"
 
Kama Tundu Lisu ametubu kwa Magufuli, wewe ni nani hadi upinge?
 
Ninachojua mimi Lissu amesema magufuli hahusiki ktk ufisadi wa bandari, ila tuhuma ya kwamba magufuli anahusika na like tukio Iko palepale.
 
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kama Tundu Lisu ametubu kwa Magufuli, wewe ni nani hadi upinge?
Inawezekana kuwa na akili zako mwenyewe hata akitubu nani. Jaribu itakusaidia.

And while we are on the subject of self improvement, may I also suggest you get off the man's d*ick already?
 
Pumbavu
 
Ili kuonyesha ufuati mkumbo, hebu tupe ushuhuda wa ushetani wa Magufuri, isije kuwa unafuata njia usiyojua inaelekea wapi!.
Haya majinga ni mavyeti feki yaliyotumbuliwa yanahasira kila wakiona jina la Magufuli yanaropoka Shetani
 
Hivi we jamaa kama utani vile lkn yawezekana seriously wamuona Magu ni Mungu wako kabisa. Mana huna unaloweza kufanya bila kwanza kumtaja Magufuli. We lazima utakuwa ni Mshirikina tu...
Haiwezekani kutwa kucha wewe kutajataja maiti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…