Nawasalimu Kwa Jina Mungu,Muumba wa Mbingu na NNCHI,Tunaweza kuitikia Kwa kusema ''Uzalendo Uendelee''
Karibu unabii unatimia Kama alivyosema Tutamkumbuka. Maadui zake wamekuwa wa kwanza kumkumbuka Tena kwa Mazuri Sio Mabaya,ukuu wa MUNGU ulionekana Baada kusikiia kauli ya utetezi kwa Magufuli kutoka kwa Tundu Lisu.
Kejeli dhihaka ulizofanya Kwa Magufuli ni hekima kuomba Radhi,Muaji hatembelewi Dikteta naye hatembelewi magufuli anajulikana uzalendo wake kwa NCHI yake,Omba Radhi Watanzania wanahuruma Watakusamehe na kusahau, hatari ni kubwa kufanya Hija bila Kuomba Msamaha.
Bora kufa ukiwa na Imani kuliko kuishi katika dhambi..
Pumzika kwa amani JOHN Joseph Pombe Magufuli.
Amen.