Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Yaani lisu akiwekwa na chadema tena kugombea urais. Chadema itakufa na kuzikwa kabisa
 
Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu.

Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli, kitendo cha Lissu kusema Hayati Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo ya nchi yetu imeonyesha anamkubali linapokuja swala la uzalendo usiotia shaka katika kulinda rasilimali za nchi.

Tundu Lissu amebakiza kwenda Chato kulia kwenye kaburi la Magufuli na watanzania watamwamini na kumfanya awe Rais wao wa awamu ya 7.
Niliwambia CDM kitambo,

Huwezi ukasimama jukwaani Nchi hii ukamtukana Nabii Magu na ukabaki na umaarufu wako mbele ya umma.

Lazima wamkubali Magu MZALENDO, ndo JAMII iwaelewe,

Lissu aliwahi ulizwa Jambo TV kuwa, kwako hakuna zuri lolote alifanya Magu?

Alijibu: Hakuna.

Leo anatamka wazi kuwa utawala wa Magu mikataba ya kihainin haikuwepo.

Malipo ni hapa hapa Duniani.

Tanzania ni Moja sasa, HAKI isimame, udhalimu udondoshwe.

Amen
 
Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu.

Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli, kitendo cha Lissu kusema Hayati Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo ya nchi yetu imeonyesha anamkubali linapokuja swala la uzalendo usiotia shaka katika kulinda rasilimali za nchi.

Tundu Lissu amebakiza kwenda Chato kulia kwenye kaburi la Magufuli na watanzania watamwamini na kumfanya awe Rais wao wa awamu ya 7.
Utawala wa Magu unatuhumiwa kutaka kumuua Lisu,Hilo halita futika kamwe
 
........mnakuwa rahisi sana kuamini unafiki wa wanasiasa. Wataanza kumsifia Mwendazake.
 
Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu.

Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli, kitendo cha Lissu kusema Hayati Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo ya nchi yetu imeonyesha anamkubali linapokuja swala la uzalendo usiotia shaka katika kulinda rasilimali za nchi.

Tundu Lissu amebakiza kwenda Chato kulia kwenye kaburi la Magufuli na watanzania watamwamini na kumfanya awe Rais wao wa awamu ya 7.
Kulwa Jilala wew ni nabii .....ulingosha Sana nkoi
 
Anaimba wimbo wa Magufuli sasa.
Sio kweli, anajaribu kuwaeleza watanganyika kwamba licha ya kasoro nyingi za Mwendazake ILA hili asingewakubalia wanaCCM wenzake...kisiasa Lissu yupo SAHIHI mno..anawachanganya watu wa chama chakavu..kikubwa msije tu mkamdhuru ..na tunamuelewa sana tu kwa HOJA zake..tena kwa lugha rahisi kabisa
 
Back
Top Bottom