Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Ah Kulwa Jilala imekuwaje tena kwa unavyoona ccm hakuna mwingine wa calibre ya Magu? ccm ina hazina au sio akina Polepole, Sabaya, Makonda, Mpina, Msiba, Bashiru ah Kulwa
 
Haya majinga ni mavyeti feki yaliyotumbuliwa yanahasira kila wakiona jina la Magufuli yanaropoka Shetani
Hebu thibitisha hapa kuwa kila asiyekubaliana na lile shetani lenu la Chato ni vyeti fake
 
Kutofautiana Kwa magufuli JPM na Lisu

Ilikuwa kwenye democrasia tu
 
Kwa post hii kama akili zako ziko sawa ni uthibitisho kuwa Tundu Lissu hana siasa za maji taka za kusingizia watu habari za uongo kwa vile hawapendi au anataka kutia nguvu hoja zake zingine.
Hakuna mtu alitegemea kuwa Lissu anaweza kumtetea JPM kwenye mambo haya mazito ya mikataba ya hovyo.
Sasa hii inatupa picha kuwa kwa vile Lissu ni mkweli basi yale ya JPM kujihusisha na kushiriki kupanga mauaji ya wapinzani wake ni KWELI TUPU maana aliyasema hayo hata alipokuwa hai na mwenyewe hakukanusha.
 
Hayo mwambie Lisu
 
Kwani ulishamsikia akimshutumu ufisadi ? Magufuli alikuwa mpinga democracy na visasi na brutality habits tu!
 
Taitapata wapi rais Kama magu jmn

Mugu tuletee rais fedhuli kuliko magu
 
Anaimba wimbo wa Magufuli sasa.
 
Akatubu?? Are you serious??
Mfanyabiashara mmoja ambaye akaunti zake za benki zilifungwa na pesa zake zote kuporwa, nilipokutana naye baada ya kukumbwa na mkasa huo, kwenye maongezi yetu aliniambia kuwa"bwana yule" alikuwa Shetani, na siyo alikuwa shetani wa kawaida tu hapana, Bali alikuwa "Shatani Jini Makata Mtoa Roho za Watu".
Nilishituka sana alipotamka hivyo.
 
Yakuambiwa changanya na zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…