Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Wewe buana, MTU akisema wewe ni mpumbavu kuliko Fulani, does it mean wewe sio mpumbavu? Lissu was addressing wizi na ujinga wa CCM Kwa kipimo Cha Marehemu wako.
 
Tatizo lako wewe mpuuzi humjui Mh. Tundu Antiphas Lissu na hata kama umewahi kumsikia huna akili za kuweza kuelewa anachosema...siyo juzi, jana, leo wala kesho!
Sawa kabisa kiongozi..Akili ya Lissu sio kwa watu wa wenye shida ya ufahamu..
 
Nawasalimu Kwa Jina Mungu,Muumba wa Mbingu na NNCHI,Tunaweza kuitikia Kwa kusema ''Uzalendo Uendelee''

Karibu unabii unatimia Kama alivyosema Tutamkumbuka. Maadui zake wamekuwa wa kwanza kumkumbuka Tena kwa Mazuri Sio Mabaya,ukuu wa MUNGU ulionekana Baada kusikiia kauli ya utetezi kwa Magufuli kutoka kwa Tundu Lisu.

Kejeli dhihaka ulizofanya Kwa Magufuli ni hekima kuomba Radhi,Muaji hatembelewi Dikteta naye hatembelewi magufuli anajulikana uzalendo wake kwa NCHI yake,Omba Radhi Watanzania wanahuruma Watakusamehe na kusahau, hatari ni kubwa kufanya Hija bila Kuomba Msamaha.

Bora kufa ukiwa na Imani kuliko kuishi katika dhambi..
Pumzika kwa amani JOHN Joseph Pombe Magufuli.
Amen.
 
Mwache Aende tu....!

Kwa Haya Anayotufanyia huyu Mama..! yameshatufika hapaa... (kwenye koromeo)!!

Acha aende,Acha aende, nasema hiviii Acha aendeeeeee...
 
Sahau. Labda rais wa nyumbani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…