Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

kweli ile sio siasa. kugalagala barabarani zee zima eti hatuondoki hapa then baadae linadanganywa kidogo tu linaondoka [emoji1787] ile kweli harakati siasa gani iko vile
Ndivyo mnavyofanywa huko Lumumba?
IMG_20220928_174944.jpg
 
TL Akili mingi anafaa sana. Hana tamaa

Huyo mwingine labda kugangula kunamfaa
 
Salaàm!

Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.

Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?

  • Yupi si muumini wa jino kwa jino?
  • Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
  • Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
  • Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?

Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.

Ngaika Ndenda
Kigoma
Tundu lisu mfananishe na mdini
 
Baada ya vipimo vyao kutoka Miliembe hospital ndo tunaweza kusema nani afaa
 
Salaàm!

Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.

Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?

  • Yupi si muumini wa jino kwa jino?
  • Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
  • Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
  • Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?

Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.

Ngaika Ndenda
Kigoma
Lissu anafaa maana kwanza anayajua matatizo ya Watanzania kindakindaki,amekuwa Mwanaharakati kuwatetea Watanzania wa Kanda ya Ziwa kwenye maeneo ya Madini na sasa Mgogoro wa Loliondo na Ngorongoro anaonekana ana ufahamu mpana wa historia na pia yupo vizuri kwenye masuala ya kimataifa hasa mikataba,eneo ambalo tumekuwa tunapigwa sana.
Lakini pia Lissu sio mnafiki wala mdini kama Zitto.Lissu ni Mkristo lakini ata Kiongozi wa Kikristo akizingua Huwa ananyooka naye kumkosoa lakini Zitto akikaa Ikulu Muislamu mwwnzake wale humuoni kukosoa tofauti na Lissu.
 
Kujua matatizo pekee sio kuwa ndo una suluhu ya hayo matatizo aseme atatau vipi. Mkapa alisema hatuwezi kuondoa matatizo yetu kwakuyaorodhesha bali kwa kutoa majawabu ya hayo matatizo. Lissu i mwanaharakati hakupi suluhu bali anapiga kelele tu ya hapa kuna tatizo hapa kumeharibika tunahitaji mtu ambae ana jawabu ya matatizo. Kusema ni kitu rahisi sana ila kuten ando kazi inapoanzia.
Lissu hana haiba ya kuwa Rais alizima awe na mtu juu yake anaeweza kumfunga spana vinginevyo itakuwa balaa tupu.
 
Salaàm!

Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.

Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?

  • Yupi si muumini wa jino kwa jino?
  • Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
  • Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
  • Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?

Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.

Ngaika Ndenda
Kigoma
Zito Yuko mbele sio tuu ya Lisu Bali saccos nzima ya Chadema.

Toka amejiengua chama kilibakia Cha waropokaji na watu wa matukio na uzushi.

Huwezi sikia hoja yeyote ya Kiuchumi kutoka kwenye saccos ya Mbowe Kwa Sasa.

Huyo Lisu wenu anadhani kazi yake ni kuwa Waziri wa sheria na Katiba tuu kwenye uchumi ni zero brain.
 
Salaàm!

Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.

Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye kukabidhiwa mhuri wa Moto? Tundu Lissu au Zitto Kabwe?

  • Yupi si muumini wa jino kwa jino?
  • Yupi si mfuasi wa lugha za matusi na awezaye kuunganisha watanzania?
  • Yupi awezaye kukaa meza moja na Marais wenzake wastaafu na kuwalinda?
  • Yupi awezaye kuungwa mkono na jumuiya za kitaifa na kimataifa?

Uchaguzi si furahisha watu, mengi huangaliwa ili kuweka mtengamano miongoni mwa watu.

Ngaika Ndenda
Kigoma
Zitto na wewe kura za JF zitakusaidia nn sasa??
 
Kujua matatizo pekee sio kuwa ndo una suluhu ya hayo matatizo aseme atatau vipi. Mkapa alisema hatuwezi kuondoa matatizo yetu kwakuyaorodhesha bali kwa kutoa majawabu ya hayo matatizo. Lissu i mwanaharakati hakupi suluhu bali anapiga kelele tu ya hapa kuna tatizo hapa kumeharibika tunahitaji mtu ambae ana jawabu ya matatizo. Kusema ni kitu rahisi sana ila kuten ando kazi inapoanzia.
Lissu hana haiba ya kuwa Rais alizima awe na mtu juu yake anaeweza kumfunga spana vinginevyo itakuwa balaa tupu.
Acha chuki na lissu wewe mfuatilie vizuri tangu anapigania wahanga wa uwekezaji kanda ya ziwa hadi anapopigwa shaba na mwenda zake kisha uje useme tena katika kelele zake alikua haji na solutions??
 
Lissu hajawahi kuwa kiongozi. Lissu ni mwanaharakati tu.
Huwezi kuwa mwanaharakati kama sio kiongozi. Harakati zinahitaji mbinu na ushawashi mkubwa wa kiuongozi.
 
Kujua matatizo pekee sio kuwa ndo una suluhu ya hayo matatizo aseme atatau vipi. Mkapa alisema hatuwezi kuondoa matatizo yetu kwakuyaorodhesha bali kwa kutoa majawabu ya hayo matatizo. Lissu i mwanaharakati hakupi suluhu bali anapiga kelele tu ya hapa kuna tatizo hapa kumeharibika tunahitaji mtu ambae ana jawabu ya matatizo. Kusema ni kitu rahisi sana ila kuten ando kazi inapoanzia.
Lissu hana haiba ya kuwa Rais alizima awe na mtu juu yake anaeweza kumfunga spana vinginevyo itakuwa balaa tupu.
Mwanaharakati yeyote mzuri lazima awe kiongozi.
 
neno lolote lisilo la kiungwana dhidi ya mwingine ni tusi.

matusi husababisha mafarakano, mapigano hadi maafa pia.

Mfano rahisi kutamka maneno yasiyo ya kiungwana dhidi mama mzazi wa mwingine. kitakachotokea ndio madhara ya tusi.
Vip kuhusu matendo
 
Vip kuhusu matendo
atendewe ubaya, vibaya au uovu ndugu yeyeote wa damu, wa karibu au vinginevyo ni tusi lenye maumivu sana moyoni ambalo pia linaweza kusababisha mtifuano na wakati mwingine maafa. Ni mbaya sana
 
Kisu anaweza kulinganishwa na akina Nyerere ,Kwame Nkuruma,Patrice Lumumba , Kenethi Kaunda, Samora Mashelli, Mandela, Dr. Martin Luthaler King. Jr.

Lisu huwezi kumlinganisha na vibaraka Wa Wageni.
 
atendewe ubaya, vibaya au uovu ndugu yeyeote wa damu, wa karibu au vinginevyo ni tusi lenye maumivu sana moyoni ambalo pia linaweza kusababisha mtifuano na wakati mwingine maafa. Ni mbaya sana
Sasa wenzio wanagawa bandari buree kwa wanaume mpaka kiama. Wamewafukuza wamasai kwao kwaajili ya hela. Nani bora anaetukana au anetupoteza.
 
Back
Top Bottom