Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
Kwa hiyo Lissu alitaka Ndugai awe masikini,sijui kwa nini waafrica wanaona kuwa masikini ni sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wote,ila huko CCM wapo wengi.Tusitarajie mabadiliko yoyote chanya chini ya himaya yao.Waaafrika ni wapumbavu sana
Maneno ya maskiniUzuri kifo hakiangalii cheo.
Mkuu unajua kuna kitu humpa faraja ama moyo kama kuna process zinazofanyika kiuchunguz pale unapopata masaiba, pia huyo ambae hayupo is not a logical, maan kuna waliotenda!I know this, but kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama na kwa future plan za chama sioni sababu kwake kuendelea na kauli za aina hiyo...
cc😡Tumaini MakeneMatumizi ya lugha ya Lissu yanaongeza hatred miongoni mwa wanasiasa wa Tanzania, kwa mtazamo wangu hata kama alifanyiwa ubaya lakini akiendeleza ubaya huo hata kama kwa kiwango kidogo kuliko alichofanyiwa yeye matokeo yake ni yapi?
Napenda kumuona Lissu akijiweka zaidi kwenye personality ya kiongozi wa Chadema, aache matumizi ya maneno kama "lin'gombe" kwa binadamu wengine haya yanakishushia hadhi chama, achague maneno.
Anayo brain ya kutengeneza hoja zenye ushawishi, na anajua namna ya kufikisha ujumbe wake kwa walengwa kwa mpangilio mzuri wa maandiko yake na matumizi ya alama, vyote vikiongezwa na elimu yake, aitumie hii silaha kubwa zaidi na nzuri zaidi.
Maneno haya ya hovyo atuachie mashabiki huku mitaani na mitandaoni, lakini kwa level yake sipendelei, kesho akiwa mwenyekiti akaendeleza hii tabia atakifanya chama kionekane cha waropokaji.
Lakini ni Bora ufe ukiwa tajiri.Kifo wanakufa maskini na matajiri wote.
Wote hao ni watumishi wa serikali kwa nafasi za kisiasa...... hadi mawaziri na NW wanalipwa mafao hayo? Hawa wanaobadilishwa kila siku si watafilisi nchi? I don't think kama nao wanalipwa to that extent.
Wote waliofukuzwa na kustaafu iwe kwa hiari au kwa kulazimishwa kama NdugaiHayo mafao kwa aliyelazimishwa kustaafu tu au hata wale wanaostaafu kwa mujibu wa sheria???
Vipi na wale wanaotumbuliwa na wanyewe wanapata mafao kama hayo??
Uko sahihi kabisa...Kama hizo ndiyo stahili za viongozi wa kisiasa,kwa nini mnatarajia kuwa CCM wakubali mabadiliko ya aidha Katiba...
Hii siyo concern ya Tundu Lissu wala ya yeyote anayejadili sheria hii kwamba Ndugai au hao wanasiasa waliojitungia sheria hiyo ya kujinufaisha "tunataka wawe maskini"..Kwa hiyo Lissu alitaka Ndugai awe masikini,sijui kwa nini waafrica wanaona kuwa masikini ni sifa
Ni baada ya Ronald Regan kudai hawezi kusaidia super power wa Africa. Kisa Tanzania kujihusisha na vita karibu vyote vya ukombozi kusini mwa Africa.Mkuu mbona kama unateseka bure!
Lissu ndivyo alivyo amekuwa na maneno makali hata kabla ya kupigwa risasi, fuatilia matamshi yake utaona maneno kama Dikteta uchwara n.k...
Kabisa, utajiri wa halali.Lakini ni Bora ufe ukiwa tajiri.
Nafikiri analipwa yule aliyejiuzuru kwa hiari yake mwenyewe au aliyemaliza muda wake, yule anayefukuzwa nafasi hiyo kama mawaziri hawapati chochote.... hadi mawaziri na NW wanalipwa mafao hayo? Hawa wanaobadilishwa kila siku si watafilisi nchi? I don't think kama nao wanalipwa to that extent.
Wewe lideno unatakaje sasaMatumizi ya lugha ya Lissu yanaongeza hatred miongoni mwa wanasiasa wa Tanzania, kwa mtazamo wangu hata kama alifanyiwa ubaya lakini akiendeleza ubaya huo hata kama kwa kiwango kidogo kuliko alichofanyiwa yeye matokeo yake ni yapi....
Mwalimu Nyerere sio dictionary ya siasa zetu, huwezi kubeba kila jambo kisa mwalimu Nyerere alifanya, huu uzito wa kukubali vitu vidogo kama hivi ndio tatizo naloliona kwa wengi.Mkuu mbona kama unateseka bure!
Lissu ndivyo alivyo amekuwa na maneno makali hata kabla ya kupigwa risasi, fuatilia matamshi yake utaona maneno kama Dikteta uchwara n.k...