Nimeshukuru kukutana na busara kali humu. Ubarikiwe sana. Na huenda unamfahamu TL kuliko watu wengi.Matumizi ya lugha ya Lissu yanaongeza hatred miongoni mwa wanasiasa wa Tanzania, kwa mtazamo wangu hata kama alifanyiwa ubaya lakini akiendeleza ubaya huo hata kama kwa kiwango kidogo kuliko alichofanyiwa yeye matokeo yake ni yapi?
Napenda kumuona Lissu akijiweka zaidi kwenye personality ya kiongozi wa Chadema, aache matumizi ya maneno kama "lin'gombe" kwa binadamu wengine haya yanakishushia hadhi chama, achague maneno.
Anayo brain ya kutengeneza hoja zenye ushawishi, na anajua namna ya kufikisha ujumbe wake kwa walengwa kwa mpangilio mzuri wa maandiko yake na matumizi ya alama, vyote vikiongezwa na elimu yake, aitumie hii silaha kubwa zaidi na nzuri zaidi.
Maneno haya ya hovyo atuachie mashabiki huku mitaani na mitandaoni, lakini kwa level yake sipendelei, ikitokea kesho akiwa mwenyekiti akaendeleza hii tabia atakifanya chama kionekane cha waropokaji.
Kwa bahti mbaya au nzr, watu wamekuwa wakihukumiana kutokana na matamshi-kwamba anenayo mtu ndo yaloijaza roho yake. Km mtu anampenda kwa dhati mkewe/mumewe halafu kamfumania, au km kwa TL kamiminiwa marisasi yote yale na juu yake kanyimwa stahiki flani ambazo anaamini alistahili. Vp, huko rohoni nini kitajaa. Je, ikiwa mtu anaamini fulani na fulani wanahusika na masahibu yanayomsibu, busara na hekima zinaanzia wp ikiwa anawaona wabaya wake wanastarehe kwa staili ya kumkejeli, tena kila siku? Na huku hana la kufanya!? A case of extreme provocation... etc. Nionavyo mm, ingekuwa wahusika wangekamatwa na haki kutendeka, hata mimi ningekuunga mkono.
Na kwa kuwa ni vigumu kuingia rohoni kwake, tusimhukumu. Tujiulize, ingekuwa ni wewe ungekuwa na mahasira kiasi gani? Lini yangisha? Nini kingeyamaliza?
Mwacheni TL wa watu. Hatujui yanayomsibu kutokana na lile tukio.
Ni mawazo yangu
Matumizi ya lugha ya Lissu yanaongeza hatred miongoni mwa wanasiasa wa Tanzania, kwa mtazamo wangu hata kama alifanyiwa ubaya lakini akiendeleza ubaya huo hata kama kwa kiwango kidogo kuliko alichofanyiwa yeye matokeo yake ni yapi?