Tundu Lissu: Wakati mnajadili kujiuzulu kwa Spika Ndugai, mwenzenu He's laughing all the way to the Bank. Anaondoka akiwa tajiri

Hii siyo concern ya Tundu Lissu wala ya yeyote anayejadili sheria hii kwamba Ndugai au hao wanasiasa waliojitungia sheria hiyo ya kujinufaisha "tunataka wawe maskini"...
Ndugu yangu utahangaika bure na watu hawa wavivu wa kufikiri.
 
Nafikiri analipwa yule aliyejiuzuru kwa hiari yake mwenyewe au aliyemaliza muda wake, yule anayefukuzwa nafasi hiyo kama mawaziri hawapati chochote.
... nini maana ya kufukuzwa kwa waziri/NW Mkuu? Rais anapofanya mabadiliko wanaoachwa wamefukuzwa? Wanaohamishwa wizara wanaanza upya au haki zao ni extension ya nafasi zao za awali?

Mfano, mabadiliko ya juzi, Prof. Ndalichako kapelekwa wizara nyingine, haki zake za uwaziri ni toka akiwa Elimu au anaanza upya? Kuna mambo mengi (apart from national security-related) wananchi tunalipia kodi lakini tumefichwa; wanajitumbulia tu! Dah!
 
Naam ninamkubali, ninamheshimu but lugha yake ni kali mno
 
Mjinga ni yule alieandika and iko hilo,hili and iko linaumizanwatu wanaokosa haki kwa misingi inayofanana na sheria mbovu na.mgwanyi mbaya wa mishahara katika nchi hii
 
Sisi akina 'kajamba nani' tunaendeleza mijadala, matusi, kebehi, sifa na chuki za kichadema, ccm, sukuma gang au msoga gang.

Hapo wengi wetu hatuna ajira rasmi, achilia mbali kipato cha kueleweka, tukiishi kwa shemeji, shangazi au wazazi. Maisha haya hayapo fair so tusihangaike kucheza fair.
 
Simkubali TL lakini alichezea risasi ana kila sababu ya kukasirika na kuongea hivyo. Watu wanaibiwa mguu mmoja wa kiwanja chao wanataka kuuana sembuse risasi.
 
Literally Lissu yuko sahihi, ikiwa mtu mwenye akili timamu anaamua kutotumia akili zake, anaburuzwa kushoto kulia huyo si ni sawa na ng'ombe au mbuzi tuu?
 
Nina maana mtu kama Lugora!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…