Tundu Lissu: Wakati mnajadili kujiuzulu kwa Spika Ndugai, mwenzenu He's laughing all the way to the Bank. Anaondoka akiwa tajiri

Nimeshukuru kukutana na busara kali humu. Ubarikiwe sana. Na huenda unamfahamu TL kuliko watu wengi.
Kwa bahti mbaya au nzr, watu wamekuwa wakihukumiana kutokana na matamshi-kwamba anenayo mtu ndo yaloijaza roho yake. Km mtu anampenda kwa dhati mkewe/mumewe halafu kamfumania, au km kwa TL kamiminiwa marisasi yote yale na juu yake kanyimwa stahiki flani ambazo anaamini alistahili. Vp, huko rohoni nini kitajaa. Je, ikiwa mtu anaamini fulani na fulani wanahusika na masahibu yanayomsibu, busara na hekima zinaanzia wp ikiwa anawaona wabaya wake wanastarehe kwa staili ya kumkejeli, tena kila siku? Na huku hana la kufanya!? A case of extreme provocation... etc. Nionavyo mm, ingekuwa wahusika wangekamatwa na haki kutendeka, hata mimi ningekuunga mkono.
Na kwa kuwa ni vigumu kuingia rohoni kwake, tusimhukumu. Tujiulize, ingekuwa ni wewe ungekuwa na mahasira kiasi gani? Lini yangisha? Nini kingeyamaliza?
Mwacheni TL wa watu. Hatujui yanayomsibu kutokana na lile tukio.
Ni mawazo yangu
 
Maandiko yanasema samehe saba mara sabini, inawezekana lile shambulio na yaliyofuatia baadae kama kunyimwa stahiki zake ni majaribu kwake na anatakiwa kuyashinda.

Amepewa tena zawadi ya uhai, hii ikiwa kubwa zaidi ya hizo stahiki anazodai naamini Mungu ana kusudi lake. Kwanini sasa asimshukuru yule aliempa hii zawadi kubwa kuliko zote kwa kuyasema yanayompendeza badala ya kuendeleza hizi lugha mbaya?

Au mnavyosema "aachwe tu" kwasababu ya yale aliyopitia mnamaanisha amekuwa chizi? kama ndivyo naamini hili litakuwa tatizo la kiakili, basi bora apelekwe kwa wataalamu.
 
Usiuaminishe umma kuwa ana tatizo la kisaikolojia kupitia tatizo hilo na kuwa akili yake imeathirika. No Nooo huyu ni mgombea Urais, itakuwaje awe hana utimamu wa akili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…