900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
mkono wa Mungu unanguvu kumuuokoa kuliko haoHili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀😂😂😂
Hayo Ni maamuzi yake binafsi. Wewe utakubali kupangiwa mshahara wako na mtu Baki?
mwambieni arudi nyumbani, kuna harufu ya vita huko ulaya.
Kwani Viongozi wangu wanao muujiza mkuu wa kushuhudia/wa hadharani kama TL? Muambie TL asifanye watu wote ni wajinga anaweza kupewa walinzi na wenyenia wakamaliza naye kama nia ya kumalizana naye bado iko. Dereva wake alienda akagesha gari 'target' akaingia chini ya uvungu wa gari akimucha TL ndani. Risasi tunambiwa zaidi ya 30 hakuna iliyokosea njia ikaenda uvunguni mwa gari aliko dereva. Muujiza mkubwa sana huu kwa TL na dereva wake.
Roho inakuuma kwanini Lissu yupo hai pamoja na risasi zote zile. Halafu kubwa la maadui ndio akafa. Hujiulizi Lissu akiwa nje ya nchi alikuwa na taarifa zote za Hali ya mwendazake. Kwanini leo hushuku taarifa yake.
KIKOSI KAZI KIMEVAMIA UZI KINAMTUKANA MHANGA WA RISASI NA KUWEKA EMOJI ZA KUCHEKA WAKIDHANI ETI INAONYESHA FURAHA YAO
Si aambiwe n Utawala kuwa tunakuhakikishia usalama wako au vipi?Vagina umerudi kivingine?
Haya ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo..Arudi home aongelee akiwa hapo, asitake watoto wa watu wavunjwe miguu wakati yeye na familia yake wanakula bata na pesa za ukimbizi. Walifanya haya huko nyuma hadi akina Mange ila waliangukia pua kwa aibu. Watanzania wa sasa hawadanganyiki kirahisi hivyo.Habari ya mjini ni katiba mpya:
View attachment 2161971
Lissu, Mbowe, Chadema, NCCR na wazalendo wote kwenye hilo ni mtu yule yule.
Kipilimba avuliwe ubalozi akamatweMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Kipilimba ajiuzuru ubaloziMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Atakuwa tapeli maana aliomba/aliombewa asaidiwe kwani ameshindwa kupata stahiki zake. Wako wenye uhitaji wakati huu ambapo yeye hahitaji tena kufanyiwa upasuaji/ matibab. Kwa nini hizo fedha za matibabu azichukue tena yeye asisaidie wenye uhitaji kama alivyosaidiwa?
Haya ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo..Arudi home aongelee akiwa hapo, asitake watoto wa watu wavunjwe miguu wakati yeye na familia yake wanakula bata na pesa za ukimbizi. Walifanya haya huko nyuma hadi akina Mange ila waliangukia pua kwa aibu. Watanzania wa sasa hawadanganyiki kirahisi hivyo.
Tunafahamu hata kambi iliyotumika kuua wahanga wa Kibiti , maiti zao ziichukuliwa hadi baharini na kutiwa kwenye boti na kupelekwa deep sea, kambi hiyo iko TemekeMwenye orodha ya kikosi kazi aweke humu
Waliotekeleza mauaji wanafugika Sana!Tundu ni kunguru,hafugiki
Huoni jinsi hizo taarifa alizokuwa akipewa TL zinavyotumika leo kwa faida ya waliompa?
Unatia aibu sana !Hajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.
Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Tundu Lissu aweke mezani ulinzi anaoutaka tuuelewe. Maana this is too much demanding.Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Yaan mtu apigwe risasi lukuki, na kunusurika kwa kudra za mwenyezi Mungu afu ujidai unamfuga, unafiki mtupu!Tundu ni kunguru,hafugiki
Lissu anatafuta legitimacy ya kuendelea kuishi ubelgiji na hakuna lingine hapo.
Kila siku story ya risasi, watu tulikwisha achana na huo ukurasa.
Kuna wengi walidhurika na wapo wanasonga na maisha yao bila hofu.
Hapa tatizo liko kwa kina Maria Sarungi na Fyatu karume wanao host hiyo the space na kumfanya mwenyekiti kila siku.
Mnatuchosha bhana!
Lissu na Lema ni kama nyuki daima sio wa kukumbatiwa.
Sijajua sana nini kilitokea maana alikuja, alipokelewa kishujaa, akagombea urais kwa kufanya kampeni nchi nzima bila tatizo! Kitu gani tena kilimfanya aondoke?!Hajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.
Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.