Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Hili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀😂😂😂
mkono wa Mungu unanguvu kumuuokoa kuliko hao
 
Hayo Ni maamuzi yake binafsi. Wewe utakubali kupangiwa mshahara wako na mtu Baki?

Atakuwa tapeli maana aliomba/aliombewa asaidiwe kwani ameshindwa kupata stahiki zake. Wako wenye uhitaji wakati huu ambapo yeye hahitaji tena kufanyiwa upasuaji/ matibabu. Kwa nini hizo fedha za matibabu azichukue tena yeye asisaidie wenye uhitaji kama alivyosaidiwa?
 
mwambieni arudi nyumbani, kuna harufu ya vita huko ulaya.

Vita ya ulaya inayosababisha bei ya mafuta na unga wa ngano kupanda Bei Tanzania.

Kwani Viongozi wangu wanao muujiza mkuu wa kushuhudia/wa hadharani kama TL? Muambie TL asifanye watu wote ni wajinga anaweza kupewa walinzi na wenyenia wakamaliza naye kama nia ya kumalizana naye bado iko. Dereva wake alienda akagesha gari 'target' akaingia chini ya uvungu wa gari akimucha TL ndani. Risasi tunambiwa zaidi ya 30 hakuna iliyokosea njia ikaenda uvunguni mwa gari aliko dereva. Muujiza mkubwa sana huu kwa TL na dereva wake.

Endelea na dhihaka hayajakufikia. Subiria siku yakikufika ndio utajua ukweli upoje. Hata Sabaya leo analia kuwa Polisi walimshambulia walipomkamata kule dar.
 
Roho inakuuma kwanini Lissu yupo hai pamoja na risasi zote zile. Halafu kubwa la maadui ndio akafa. Hujiulizi Lissu akiwa nje ya nchi alikuwa na taarifa zote za Hali ya mwendazake. Kwanini leo hushuku taarifa yake.

Huoni jinsi hizo taarifa alizokuwa akipewa TL zinavyotumika leo kwa faida ya waliompa?
 
KIKOSI KAZI KIMEVAMIA UZI KINAMTUKANA MHANGA WA RISASI NA KUWEKA EMOJI ZA KUCHEKA WAKIDHANI ETI INAONYESHA FURAHA YAO

Hawa Ni chawa wasiojuwa lolote. Nadhani kikosi kazi wengine waliuliwa na wengine kujiua kutokana na mission failed.
 
Si aambiwe n Utawala kuwa tunakuhakikishia usalama wako au vipi?Vagina umerudi kivingine?

Mzee Vagina umerudi kivingine? Huyo jamaa kuna wakati anaboa kishenzi. Watu tumechoka kusiikia malalamiko yake binafsi kuhusu maslahi yake yeye kama yeye kila kukicha. Ifike mahali afahamu yeye ni raia wa kawaida tu kama raia mwingine yeyote, asijiweke juu ya raia wengine, na yaliyopita si ndwele. Kama ana ishu zake binafsi afuate taratibu kupigania haki zake siyo kulalamika kila mara akihojiwa kuhusu mishahara na mambo yake mengine yasiyotuhusu. JPM siyo Rais wa Tz na Ndugai siyo Spika wa bunge.
 
Habari ya mjini ni katiba mpya:

View attachment 2161971

Lissu, Mbowe, Chadema, NCCR na wazalendo wote kwenye hilo ni mtu yule yule.
Haya ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo..Arudi home aongelee akiwa hapo, asitake watoto wa watu wavunjwe miguu wakati yeye na familia yake wanakula bata na pesa za ukimbizi. Walifanya haya huko nyuma hadi akina Mange ila waliangukia pua kwa aibu. Watanzania wa sasa hawadanganyiki kirahisi hivyo.
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Kipilimba avuliwe ubalozi akamatwe
 
Kipilimba ajiuzuru ubalozi
 
Atakuwa tapeli maana aliomba/aliombewa asaidiwe kwani ameshindwa kupata stahiki zake. Wako wenye uhitaji wakati huu ambapo yeye hahitaji tena kufanyiwa upasuaji/ matibab. Kwa nini hizo fedha za matibabu azichukue tena yeye asisaidie wenye uhitaji kama alivyosaidiwa?

Mkuu, msaada ni tofauti na Deni. Ukisaidiwa wakati wa shida siyo lazima urudishe msaada wore. Sema tu atakuwa na moral obligation kuwasaidia watu baadhi.
 
Haya ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo..Arudi home aongelee akiwa hapo, asitake watoto wa watu wavunjwe miguu wakati yeye na familia yake wanakula bata na pesa za ukimbizi. Walifanya haya huko nyuma hadi akina Mange ila waliangukia pua kwa aibu. Watanzania wa sasa hawadanganyiki kirahisi hivyo.

Mwambieni Mama Samia tunamheshimu sana ila mpende, msipende tunataka katiba mpya.

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Hajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.

Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
Unatia aibu sana !
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Msaka kiki huyo. Msiwe na shaka, singo yake ikiisha utamu itachuja tu.
 
Tundu Lissu aweke mezani ulinzi anaoutaka tuuelewe. Maana this is too much demanding.

Labda anataka awe protected kama Marais wastaafu maana apart of protection ya Rais na viongozi wengine wakuu, Watanzania wengine hatulindwi
 
Lissu anatafuta legitimacy ya kuendelea kuishi ubelgiji na hakuna lingine hapo.

Kila siku story ya risasi, watu tulikwisha achana na huo ukurasa.

Kuna wengi walidhurika na wapo wanasonga na maisha yao bila hofu.

Hapa tatizo liko kwa kina Maria Sarungi na Fyatu karume wanao host hiyo the space na kumfanya mwenyekiti kila siku.

Mnatuchosha bhana!

Lissu na Lema ni kama nyuki daima sio wa kukumbatiwa.

Unaongea kwa dharau kisa ni mwanachadema kashambuliwa. Hata Makonda alikuwa na kauli Kama zako. Leo analia kuwa Polisi wanashirikiana na matajiri kumuibia kiwanja. Hujafa hujaumbika.
 
Hajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.

Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
Sijajua sana nini kilitokea maana alikuja, alipokelewa kishujaa, akagombea urais kwa kufanya kampeni nchi nzima bila tatizo! Kitu gani tena kilimfanya aondoke?!

Hakupigwa tena risasi, aliondoka salama kupitia ubalozi wa Ujerumani, arudi tena kama alivyorudi awali kugombea urais.
 
Back
Top Bottom