Hivi hujui balozi wa Ujerumani alichukuwa wapi kabla ? Au wote wakikimbizana Na kivuli cha Lissu?alikua anaogopa kivuli chake tu.
Mahakama itasemaThen
Rais Samia akiamua anaweza. Hakuna cha DEEP STATE kuzidi wale aliowang'oa madarakani kama Bashiru Ally, Humphrey Polepole, Dotto James, Chamuriho, Ndugai na Kalemani.Kwa hiki alichokizungumza sasa hivi tayari ameshajiondolea uwezekano wa kurudi Tanzania, 'mark my words
Unatarajia watamwacha?
Rais anayemtaja kwamba awashughulikie kikosi kazi kilichohusika kumpiga risasi hapo ndipo panaitwa 'DEEP SEA WATER' Je, anaweza kuogelea kuwagusa kwa namna yoyote?
Amemchonganisha, akifanya kitendo chochote kitakachowagusa hao anaodhani ndio walimshambulia kuna nyama itararuliwa hadharani kuthibitisha na yeye aliishirki kikao na kubariki, hapo ndipo vumbi litatimka na kindumbwendumwe kuanza rasmi.
Lissu ni coward leader, poor politician, kuna wakati anatufuta suluhu na kusahau yaliyopita arudi nchini, kuna wakati anataka kesi ziendelee kuna wakati kama anataka kurudi tanzania, kuna wakati kama anatafuta sababu kuendelea kuishi belgium
Tumechoka clips za mtandaoni za huyu jamaa, watu kule vijijini ambao walimpigia kura za urais hawaoni wala kupata hizi clips si watu wote wanamiliki hii mitandao anatakiwa ajipambanue kama ana interest ya kuendeleza siasa Tanzania labda na matumaini ya kushika dola kwa chama chake.
Lakini ni kitu gani hasa kilimsukuma kuongea na mama samia belgium, ni kwa vipi alijenga matumaini ya kufanya maongezi na mtesi wake?? Lissu anakuwa hafahamiki anawaparaganya na wenzake, ilibidi mbowe atoke jela amfate mama Ikulu yote ni yeyee
but sadly nothing will happen.Wazungu wanaita serious allegations.
Kwa hiki alichokizungumza sasa hivi tayari ameshajiondolea uwezekano wa kurudi Tanzania, 'mark my words
Unatarajia watamwacha?
Rais anayemtaja kwamba awashughulikie kikosi kazi kilichohusika kumpiga risasi hapo ndipo panaitwa 'DEEP SEA WATER' Je, anaweza kuogelea kuwagusa kwa namna yoyote?
Amemchonganisha, akifanya kitendo chochote kitakachowagusa hao anaodhani ndio walimshambulia kuna nyama itararuliwa hadharani kuthibitisha na yeye aliishirki kikao na kubariki, hapo ndipo vumbi litatimka na kindumbwendumwe kuanza rasmi.
Ulishawahi kunihusia kuwa mwenye busara hatumii lugha chafuWewe uliwahi kupigwa risasi? Usiongee kama unakunya.!
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Aliporudi awali nani alimhakikishia? Rais aliyepo kamhakikishia na kaonana naye mara 2. Aidha, utawala anaoulaumu wa awamu ya 5 haupo kwa sasa akiwemo JPM!Hivi mnaotaka arudi bila kuhakikishiwa usalama na wenye mamlaka yao mna agenda gani naye ndugu?
Rais alishamtembelea wakati akiwa mgonjwa , na baadae rais ameenda Belgium kikazi lakini akatenga muda wake ili aongee nae hilo tu lingemuonesha kua usalama wake ni kipaumbele kwa serikali hii. Mama angeweza kumpotezea tu hata asionane nae huko Belgium kwani Tundu Lisu ni nani??? Ulinzi gani anaoutaka kwa sasa ??? au anataka walinzi toka Scotland Yard na FBI??? Huyu jamaa mie namuona siasa imeshamshinda sasa hivi anataka kupigania tumbo lake na familia yake basi .
Hajui kitu huyo, anabwabwaja tuMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Kumbe Tundu Lissu hana taarifa na ukubwa wake wa haiba kisiasa?Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
anakamatwa kwa mfumo huu wa hii nchi uliopo?,unaongea tu wewe.No, Kipilimba akamatwe.
Wameishajulikana tayari Pole sana wote mlikutwa na majanga enz za awam ya 5Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Dreamliner ya Magufuli !!! kweli?Lisu anatukanaaaa alafu akimaliza anaenda kupanda Dreamliner ya Magufuli.
Shame upon him na mme wake amsterdam
Kwa upande wa pili, na yeye anaona ugumu gani kama sehemu ya nia yake njema kusema wazi na mchana kweupe kuwa;Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.
Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.
Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Waliopotea walikuwa wengi. Kina Hanga wako wapi? Tafadhali usifukuwe makaburi. Kama huyajuwi ni bora ukae kimya tu.Lissu aendelee mpaka Kipilimba akamatwe. Hakuna la dhamani Kama raia wa nchi. Hakuna execute ya kuua raia wa nchi. Kama amefanya kosa apelekwe mahakamani. Mbona akina Hans Poppe walitaka kupindua serikali kipindi Cha Nyerer ila hawakuuawa?. Tuache kuruhusiwa mauaji nchini kwa kumlinda CCM .
Kipilimba akamatwe.
Watanzania tungekosea sana mpa urais mtu kama huyu, amepigwa risas 2017, 2020 kaja nchini kwenye kampen za uchaguz mkuu, kazunguka nchi nzima, baada ya kushindwa kakimbia nchi kwa madai kuwa usalama wake uko hatarin, kama kweli alikuwa anawindwa yeye kwann hakumalizwa wakat wa kampein? Siasa unazofanya lisu ztabak mtandaon hatokuja kuwa na nguvu kama alioipata lowasa au dr Slaaa
Tueleze Sasa list ya wale wote waliohusika kumimina risasi mwilini mwake na sababu ya kutopatikana /fahamika hadi Leo. Wewe na Lisu Nani anatafuta Kiki? [emoji2368][emoji2368]Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
wewe kubali tuu kuchukua nafasi ya bwege,Bwege alikua mbunge tena mpambanaji kwelikweli akiwa Bungeni.