Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Kwa hiki alichokizungumza sasa hivi tayari ameshajiondolea uwezekano wa kurudi Tanzania, 'mark my words

Unatarajia watamwacha?

Rais anayemtaja kwamba awashughulikie kikosi kazi kilichohusika kumpiga risasi hapo ndipo panaitwa 'DEEP SEA WATER' Je, anaweza kuogelea kuwagusa kwa namna yoyote?

Amemchonganisha, akifanya kitendo chochote kitakachowagusa hao anaodhani ndio walimshambulia kuna nyama itararuliwa hadharani kuthibitisha na yeye aliishirki kikao na kubariki, hapo ndipo vumbi litatimka na kindumbwendumwe kuanza rasmi.
Rais Samia akiamua anaweza. Hakuna cha DEEP STATE kuzidi wale aliowang'oa madarakani kama Bashiru Ally, Humphrey Polepole, Dotto James, Chamuriho, Ndugai na Kalemani.

Akidhamiria HASHINDWI
 
Lissu ni coward leader, poor politician, kuna wakati anatufuta suluhu na kusahau yaliyopita arudi nchini, kuna wakati anataka kesi ziendelee kuna wakati kama anataka kurudi tanzania, kuna wakati kama anatafuta sababu kuendelea kuishi belgium

Tumechoka clips za mtandaoni za huyu jamaa, watu kule vijijini ambao walimpigia kura za urais hawaoni wala kupata hizi clips si watu wote wanamiliki hii mitandao anatakiwa ajipambanue kama ana interest ya kuendeleza siasa Tanzania labda na matumaini ya kushika dola kwa chama chake.

Lakini ni kitu gani hasa kilimsukuma kuongea na mama samia belgium, ni kwa vipi alijenga matumaini ya kufanya maongezi na mtesi wake?? Lissu anakuwa hafahamiki anawaparaganya na wenzake, ilibidi mbowe atoke jela amfate mama Ikulu yote ni yeyee

Tatizo unadefine suala la Lissu Kichama. Lissu kalimwa Risasi halafu kaondolewa kwenye Ubunge.

Wewe jasiri sawa. Kuna mtu jasiiri Kama Lissu? Kalimwa Risasi lakini bado alirudi nchini. Kurudi baada ya matokeo wakataka kummaliza ndio kujificha ubalozini. Usipende kuona shida za wengine hazikuhusu kisa upo CCM . Kuna watu wanalia kuonewa wakati just tu Happ walikuwa juu ya sheria. Acha dharau hujui kesho yako.
 
Kwa hiki alichokizungumza sasa hivi tayari ameshajiondolea uwezekano wa kurudi Tanzania, 'mark my words

Unatarajia watamwacha?

Rais anayemtaja kwamba awashughulikie kikosi kazi kilichohusika kumpiga risasi hapo ndipo panaitwa 'DEEP SEA WATER' Je, anaweza kuogelea kuwagusa kwa namna yoyote?

Amemchonganisha, akifanya kitendo chochote kitakachowagusa hao anaodhani ndio walimshambulia kuna nyama itararuliwa hadharani kuthibitisha na yeye aliishirki kikao na kubariki, hapo ndipo vumbi litatimka na kindumbwendumwe kuanza rasmi.

Wapi ww, hicho kikundi cha mumiani wote nguvu yao ni huyo huyo rais, bila kuwakingia kifua wote ni takataka na hiyo deep sea yao
 
Hivi mnaotaka arudi bila kuhakikishiwa usalama na wenye mamlaka yao mna agenda gani naye ndugu?
Aliporudi awali nani alimhakikishia? Rais aliyepo kamhakikishia na kaonana naye mara 2. Aidha, utawala anaoulaumu wa awamu ya 5 haupo kwa sasa akiwemo JPM!
 
Rais alishamtembelea wakati akiwa mgonjwa , na baadae rais ameenda Belgium kikazi lakini akatenga muda wake ili aongee nae hilo tu lingemuonesha kua usalama wake ni kipaumbele kwa serikali hii. Mama angeweza kumpotezea tu hata asionane nae huko Belgium kwani Tundu Lisu ni nani??? Ulinzi gani anaoutaka kwa sasa ??? au anataka walinzi toka Scotland Yard na FBI??? Huyu jamaa mie namuona siasa imeshamshinda sasa hivi anataka kupigania tumbo lake na familia yake basi .

Tatizo hayajakutokea ndio maana unaona sio issue kubwa. Watu wanauana kisa kutapeli a milioni moja, halafu unaona Ni ujinga Lissu kupigania haki yake?. Kisa tu yupo CHADEMA.

Lissu aendelee na mapambano mpaka Kipilimba apande mahakamani.
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Hajui kitu huyo, anabwabwaja tu
 
Lisu ni kenge tu, sasa mpaka hapo anataka SSH amfanyie nini?? atulize matako yake huko atulie au akitaka arudi lakini sio kuanzisha mijadala kichaa hii. Afunge hilo domo lake sasa. talking too much wtf!!
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Kumbe Tundu Lissu hana taarifa na ukubwa wake wa haiba kisiasa?
Anachanganya issue yake na issue ya MKIRU kweli?
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Wameishajulikana tayari Pole sana wote mlikutwa na majanga enz za awam ya 5
 
Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.

Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.

Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Kwa upande wa pili, na yeye anaona ugumu gani kama sehemu ya nia yake njema kusema wazi na mchana kweupe kuwa;

"...nchi ni salama, na wote walioko nje ya nchi wenye mashaka na usalama wao waje tuendelee na kazi ya kujenga nchi yetu...??"

Si lazima amtaje Tundu Lissu kama hiyo ni ishu sana

Mimi nadhani serikali ya CCM bado inamwogopa Tundu Lissu. Na wanadhani akija hapa nchini akisaidiana na wenzake, atasumbua sana

Lakini kama wanafikiri hivyo, basi mimi sioni shida kuwaita kuwa ni wajinga na wapumbavu. Kwa sababu kama hawa wapinzani wataamua kufanyia harakati zao nje ya nchi ni mbaya na hatari zaidi kuliko wangekuwa wanaendesha harakati zao hapa hapa nchini

Roho iliyokuwa inamsumbua Mwendazake iko kwa Rais Samia pia. Na washauri wake wa mambo ya usalama na siasa wanamshauri vibaya...!
 
Lissu aendelee mpaka Kipilimba akamatwe. Hakuna la dhamani Kama raia wa nchi. Hakuna execute ya kuua raia wa nchi. Kama amefanya kosa apelekwe mahakamani. Mbona akina Hans Poppe walitaka kupindua serikali kipindi Cha Nyerer ila hawakuuawa?. Tuache kuruhusiwa mauaji nchini kwa kumlinda CCM .

Kipilimba akamatwe.
Waliopotea walikuwa wengi. Kina Hanga wako wapi? Tafadhali usifukuwe makaburi. Kama huyajuwi ni bora ukae kimya tu.

Msome Ludovich Utuoh, google tu utampata.
 
Watanzania tungekosea sana mpa urais mtu kama huyu, amepigwa risas 2017, 2020 kaja nchini kwenye kampen za uchaguz mkuu, kazunguka nchi nzima, baada ya kushindwa kakimbia nchi kwa madai kuwa usalama wake uko hatarin, kama kweli alikuwa anawindwa yeye kwann hakumalizwa wakat wa kampein? Siasa unazofanya lisu ztabak mtandaon hatokuja kuwa na nguvu kama alioipata lowasa au dr Slaaa

Mbona mitandao ya internet ilizimwa kwenye uchaguzi mkuu 2020?. Kama alikuwa Hana nguvu kwanini mzime internet? Kwa Mara ya kwanza mtandao ulizimwa kwa wiki tatu. Watu wakaanza kutumia VPN. Nguvu hupimwa na reaction ya mpinzani wako.
 
Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!

Samahani lakini makamanda.
Tueleze Sasa list ya wale wote waliohusika kumimina risasi mwilini mwake na sababu ya kutopatikana /fahamika hadi Leo. Wewe na Lisu Nani anatafuta Kiki? [emoji2368][emoji2368]
 
Back
Top Bottom