Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Anataka tamko thabiti la Mhe.Rais, na hilo ni muhimu kwa sababu litatuma ujumbe mzito kwa wasioujulikana kwamba hili suala linachukuliwa kwa uzito na ofisi namba moja.
Anataka tamko thabiti la Mhe.Rais, na hilo ni muhimu kwa sababu litatuma ujumbe mzito kwa wasioujulikana kwamba hili suala linachukuliwa kwa na ofisi namba moja.
Mkuu Rais sio Mungu atamke asitamke kama kuna mabaya yatakupata haizuii kitu! Mara ngapi Rais anasisitiza Kuhusu amani na bado watu wanauana? Rais ni mwanadamu na mamlaka yake hayawezi kuwa kila pahala mda wote!
Lisu anaharibu sana anapotaka lake hataki kuwapa watu mda wafanyie kazi mambo yake! Hii ni tabia mbaya ndo maana kwa sisi wakristo kuna aya inatuasa TUISHI KWA AMANI NA WATU WOTE! Lakini mwenzetu Lisu hataki kuishi kwaamani na Serkali!
Magufuli hayupo tena nini kimamfanya asije? Yeye mwenyewe ni mwanasheria nguli kwa nini asije ili kutoa ushahidi ili watu anaodhani walihusika Katika kushambuliwa kwake wakamatwe na kushitakiwa haki ipatikane!
 
Hii issue nikiitafakari inahuzunisha sana, yani hao wanaoitwa deep state wanakuwa na uhusiano wa moja kwa moja na CCM halafu wanakuwa tayari kufanya jambo lolote ili kulinda maslahi ya serikali ya CCM, huku kiongozi wa upinzani ndani ya nchi hiyo hiyo akionekana ndie adui wa taifa, this is insanity.
 
Umeelewa ila umekaza tu shingo.
 
Hapa ndipo ile hoja ya Ngurumo kwamba huyu mama kuna watu wanamuongoza inapopata nguvu.

Mostly washauri wengi waliokuwa wa mwendazake naona wamekuwa retained na Samia, kuanzia ile kesi ya kubambika ya Mbowe ni mfano tu.
 
Nyoka akikuuma ukiguswa na jani unaruka
Sasa ile dhana tuliominishwa na wengine kuwa Chama chake ndio kilihusika hiyo kauli tuifute au tuendelea na movie jinsi linavyoenda

Hivi huko anaishi kama political Asylum au ?
Kama ni hivyo aendelee kula disability benefits tu
 
Aliporudi awali nani alimhakikishia? Rais aliyepo kamhakikishia na kaonana naye mara 2. Aidha, utawala anaoulaumu wa awamu ya 5 haupo kwa sasa akiwemo JPM!

Alirudi kama ambavyo wengi labda mngetaka arudi tena. Kwani nini kilifuatia?

"Ikabidi kukimbilia ubalozi wa ujerumani. Akakamatiwa mlangoni. Maofisa wa ubalozi wa ujerumani wakakomaa na wakamnusuru tokea mikononi mwa waliokuwa wamedhamiria kumdhuru."

Hata kuondoka ikabidi kusindikizwa na beberu hadi kwenye ndege udenda wa kumtamani ukiwatoka wajuba wale.

Au haikuwa hivyo ndugu?
 
Waliopotea walikuwa wengi. Kina Hanga wako wapi? Tafadhali usifukuwe makaburi. Kama huyajuwi ni bora ukae kimya tu.

Msome Ludovich Utuoh, google tu utampata.

Kukaa kimya kisa?. Mimi sijamuongelea hanga. Nimemuonglea Hans Poppe maana Ni wa bara, namfahamu. Huyo hanga Ni wa Zanzibar huko.

Tena Kuna kipindi Lissu alileta hiloja kuhusu makaburi yao ya kina Hanga na wenzake yalipo, CCM wakampinga.
 
unajua simu ya ben saa nane ilikuw a traced hadi buguruni to mwenge baada ya hapo hakuna ushirikiano uliotolewa tena? yaani mbowe amuue ben saa nane na ushahidi uwepo wasitumie hiyo chance kummaliza wakaenda kuandaa mshataka ya kudhamini ugaidi kwa laki sita? embu kuwa
 
Lisu hana jipya tena hakuna mtanzania anahangaika nae!
Yeye arudi aje amalizie maisha yake na aishi kwa amani na familia yake!
Huwezi kushindana na wenye mamlaka kuna aya Katika biblia inasema! Tuwaheshimu wenye mamlaka!
Lisu huwa hana heshima kwa wenye mamlaka tokea kipindi namjua Lisu ni mtu wa kukosoa tu na kujifanya anajua kila kitu kisa kasoma sheria na ajue maisha sio kujua sheria tu haitoshi!
Kuna kipindi alikuwa anamzungumzia Mwl Nyerere ukimsikiliza utagundua huyu ni kichaa na mtu wa kujihesabia haki na ukamirifu wenzake wote hawapo Sawa yeye ndo yuko Sawa siku zote!
 

Jifanye hayakuhusu na dharau zako. Kuna yule mama Mtwara alifikilie wanaopigwa risasi Ni kina Lissu pekee, ila ameshangaa mwanae ameuawa na polisi amelia mpaka serikali ikaunda Tume. Hujafa hujaumbika!!
 
Lisu ni kenge tu, sasa mpaka hapo anataka SSH amfanyie nini?? atulize matako yake huko atulie au akitaka arudi lakini sio kuanzisha mijadala kichaa hii. Afunge hilo domo lake sasa. talking too much wtf!!

Hadi sasa hujui? Ujuzwe vipi sasa?

Mtu kutaarifu anapo hofia maisha yake ni kwa mujibu wa katiba.

Unakwazika wewe vipi ndugu kama wewe haumo kwenye task force ya Kipilimba?
 

Unazungumza kwa niaba ya watanzania? Kwani wewe nani ndugu?
 

Kama Lissu Ni kichaa na Yuko vile Hadi Rais anamfuata kumbembeleza arudi, wewe utakuwaje?
 
Yaliyompata Lissu ni makubwa bila kujali yalifanywa na nani.
Lakini bado naamini tuhuma zake ni za jumla sana. Kajumlisha matukio yote na kunasibisha na wateai wake.
Tuhuma hizo ni nzito na zinataka ushahidi usioacha shaka.
Nnadhani hana ushahidi zaidi ya assumptions..vinginevyo angeuweka hadharani.

Kuna kila dalili huyu bwana risasi hazilumuacha salama.
Dishi litakuwa limeyumba sio bure
 
Au na wewe Ni mtu assiyejulikana
Ndio Hao Hao na wako wengi Sana humu. We angalia comments zao tu utawajua. Sidhani kama walisha wahi chomwa kisu ktk miili yako na kujua uchungu wa kutobolewa na kitu chenye ncha kali. Ole wenu mnaoshangilia binadamu mwenzio kupiga risasi zaidi ya 15 na mna shadadia, hakika siku ya hukumu yenu yaja na sio kitambo nanyi mtalipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…