Anataka tamko thabiti la Mhe.Rais, na hilo ni muhimu kwa sababu litatuma ujumbe mzito kwa wasioujulikana kwamba hili suala linachukuliwa kwa uzito na ofisi namba moja.
Mkuu Rais sio Mungu atamke asitamke kama kuna mabaya yatakupata haizuii kitu! Mara ngapi Rais anasisitiza Kuhusu amani na bado watu wanauana? Rais ni mwanadamu na mamlaka yake hayawezi kuwa kila pahala mda wote!Anataka tamko thabiti la Mhe.Rais, na hilo ni muhimu kwa sababu litatuma ujumbe mzito kwa wasioujulikana kwamba hili suala linachukuliwa kwa na ofisi namba moja.
Lisu anaharibu sana anapotaka lake hataki kuwapa watu mda wafanyie kazi mambo yake! Hii ni tabia mbaya ndo maana kwa sisi wakristo kuna aya inatuasa TUISHI KWA AMANI NA WATU WOTE! Lakini mwenzetu Lisu hataki kuishi kwaamani na Serkali!
Magufuli hayupo tena nini kimamfanya asije? Yeye mwenyewe ni mwanasheria nguli kwa nini asije ili kutoa ushahidi ili watu anaodhani walihusika Katika kushambuliwa kwake wakamatwe na kushitakiwa haki ipatikane!