Huyu mhanga ndio yeye yule aliepanda daladala kwenda kununua nyanya kariakoo kipindi kile cha uchaguzi?Ni jambo la kawaida kwa kila raia mwenye mashaka na usalama wake kutoa taarifa na kuhakikishiwa ulinzi kwa mujibu wa sheria.
Kuna ugumu gani kwa Mama Samia kama mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kumhakikishia mhanga huyu usalama wake kwa mujibu wa sheria?
Tena alipanda daladala kwenda kununua nyanya kariakooAlafu unaweza hisi tangia apigwe risasi akuwai kurudi Tanzania,kumbe alirudi na akatembea nchi nzima kufanya kampeni tena huku akuchimba mikwara.
Sasa mtu asidai haki yake kwa nini ? Waafrika tuna rohor mbaya Kiasi hiki.Yaani lissu ni mtu mbinafsi na mlaku kupindukia. Yaani yeye itikadi yake ni kuhusu maslahi yake tu. Pumbafu sana. Yaani ni bonge la 'reactionary' mpinga maendeleo. Halafu anajiamini kupindukia bure tu.
Kimsingi kuna kitu hakiko sawa risasi zote na bado zikampata mmoja tu kati ya wawili waliokuwemo.Umeandika kama yaliyomkuta Lissu ni mchezo wa kuigiza. Acha maskhara ndugu:
View attachment 2162073
Palikuwa na mtu humo na mtuhumiwa ni serikali.
Kwani akipokuja akawa anazunguka kariako alihakikishiwa usalama na nani?Kasema ahakikishiwe usalama wake.
Nenda TISS ukaulize[emoji1787]Kapilima alikuwa na cheo gani ili niweze kuelewa hii comment yako? Na kwa mtu yeyote aliye critical thinker atajiuliza hivi kila mfungwa ni mfungwa?
Jamaa ameshanogewa na amsterdamHadi lissu kufikia hatua hii ya kuwataja watering wetu hadharani itakuwa mama yetu mpendwa Rais SSH Samia kamruhusu
Hata mimi kama nawaona vile mishipa ya shingoni inavyowatoka.....Naona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.
Alipokuja Tz kwa nini wasimhoji?Kimsingi kuna kitu hakiko sawa risasi zote na bado zikampata mmoja tu kati ya wawili waliokuwemo.
Hata huyo mmoja hajafa kwani hakupigwa maeneo nyeti.
Dereva amekimbizwa asihojiwe mpaka leo
Lissu alifuatwa nairobi hospital akagoma kuhojiwa
Leo ana kuja na madai ya jumlajumla.
Anyway.. This is Bongo akili mukichwa
View attachment 2162079
Hayajakufika wewe
NamibiaHuyu mtajwa kama mratibu mkuu yungali balozi wetu mahali?
Kipindi kile cha kampeni mpaka anaenda kariakoo kununua nyanya alihakikishiwa ulinzi na nani?Anata apate kauli thabiti kwamba atakuwa salama akirejea nchini.
Haya tueleze Rais alimkatalia nini maana Inaonyesha ulivyo mpambe wa ndani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya rais kumtolea nje ndio kaja na gia hii?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Aliitwa polisi hakwenda akaja na hoja maisha yake yako hatarini akiwa na tiketi ya go and return baada ya kampeni akatimua zakeAlipokuja Tz kwa nini wasimhoji?
Nenda TISS ukaulize[emoji1787]
Wahusika wa hilo shambulio inabidi wafikishwe mahakamani kwa uovu huo, haijalishi huo utawala upo au haupo.Aliporudi awali nani alimhakikishia? Rais aliyepo kamhakikishia na kaonana naye mara 2. Aidha, utawala anaoulaumu wa awamu ya 5 haupo kwa sasa akiwemo JPM!
Mbulula ni wewe nyankundoMdomo wa mwewe utumike kukupigia makonzi kichwani ama kucha zake zikuparuee, mbulaa[emoji24]
Hata kama ni magaidi? Tusieleze kama vile kila mtu amfanyiwa mabaya kwa bahati mbaya. Mfano, wale wa Kibiti, wengi waliyatakaTaifa lenye kujielewa haliwekezi kuua Raia wake, bali huwalinda kwa kila namna pasipo kujali tofauti zao.
Sasa Rais kinachomfanya ashindwe kumpa guarantee ya usalama wake ni nini kama kweli hawana nia ovu?
Kingai, MahitaMwenye orodha ya kikosi kazi aweke humu
Kwa sheria ipi?Wahusika wa hilo shambulio inabidi wafikishwe mahakamani kwa uovu huo, haijalishi huo utawala upo au haupo.