Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Huyu mhanga ndio yeye yule aliepanda daladala kwenda kununua nyanya kariakoo kipindi kile cha uchaguzi?Ni jambo la kawaida kwa kila raia mwenye mashaka na usalama wake kutoa taarifa na kuhakikishiwa ulinzi kwa mujibu wa sheria.
Kuna ugumu gani kwa Mama Samia kama mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kumhakikishia mhanga huyu usalama wake kwa mujibu wa sheria?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app