Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Yes kipilimba ndio alikuwa mpange magenge ya mauwaji.

Kuhusu kibiti walikuwa jwtz peke Yao na Ile ilikuwa operation kama operation zingine
Hujui kitu kuhusu MKIRU.
JeiWii walifanya kazi yao vyema sana, tatizo ilikuwa ni "joint operation". Hao wengine ndio ya "wasiojulikana na yasiyojulikana".
 
Halafu kapilimba akijifanya eti mchungaji huwezi ukamtumikia shetani huku ukijifanya upo kwa Mungu utaumbuka tu.

Uliiza kwenye Biblia Majasusi yako. Kalebu kwa mfano. Babeli Mungu anaita kuhani wake wa kumtao kafara Israel ili aende utumwani.
 
Yaam tayari yuko kama used spare !
Lisu akija leo hata akawa anatembea usku wa manane pekeake hakuna kitu atafanywa maana hana madhara

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Huyu mpuuzi anadhani akitaja watu 400 watu watatoka nje kuandamana Samia atoke madarakani! Kwa akili ya kawaida tu watu 400 wauawe hata kama wanasema utawala wa Magufuli alikuwa unazuia habari inawezekana vipi tusiwe na taarifa?
Ni kama Zito kipindi kile anaropoka eti wafugaji wa kisukuma wapatao mamia kadhaa wameuawa kwenye mapigano na jeshi la polisi mkoani kigoma!
Ukishafirisika kisiasaunaanza kuwa mchawi unatisha watu ili waogope!
Wa ujumla huyu abaki tu kusubiria karma kama mimi na wewe na yule!
huyu mpuuzi watu 400 Tanzania hii wameuwawa kweli kabisa au anazungumzia nchi gani
 
Kwa jinsi utawala uliopita ulivyokua nauhakika hata Mama Samia Suluhu hakifahamu hicho "kikosi kazi" aka "wasiojulikana".

AlhamduliLlah tumeondokana na utawala mgumu sana, wa "roho mkononi".
Hahaaa!
Ndio maana ulituliaga mpaka Magu alipoaga Dunia?
Magu alikuwa katili lakini kupambana na magaidi nampa tano
 
Baba mzima anapodeka deka kama mtoto wa chekechea
 
Kwani kutulia ndiyo kufanya je? Sasa hivi tunajua Kipilimba ni mshukiwa namba 1 kwenye kadhia ile.

Tunahitaji katiba iliyo wazi kwa watumishi wa umma watuhumiwa kama Kipilimba na wafuasi wake.
Sasa mbona alikuwa anasema jeshi la polisi liwatafute wakati kumbe yeye mwenyewe anawafahamu!
 
Kuna watu hamjaelewa hitaji lake. Kwani waliotaka kumuua mchana kuepo walishindwa nini kumkamata na kumpeleka mahakamani instead wakaamua watekeleze Unyama ule?..kwanini hawajakamatwa mpaka leo,kwanin Pamoja na haya yote bado hawakuona huruma Spika akamua kunyongelea mbali ubunge wake na stahkki zake? Kuna watu wenye mbongo ndogo hawataki kufikiri hata kidgo. Wanadhani watu ni wajinga!
 
Mmmmmm yaani ndugu yangu ujuaji kwenye mambo ya mamlaka hauna faida! Saizi ni mlemavu na bado anaugulia maumivu miaka yote!
Mungu amhurumie pia ampe moyo wa kusamehe!
Baba mzima anapodeka deka kama mtoto wa chekechea
 
Umenena ukweli wenyewe haswa

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…