Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Kuna watu hamjaelewa hitaji lake. Kwani waliotaka kumuua mchana kuepo walishindwa nini kumkamata na kumpeleka mahakamani instead wakaamua watekeleze Unyama ule?..kwanini hawajakamatwa mpaka leo,kwanin Pamoja na haya yote bado hawakuona huruma Spika akamua kunyongelea mbali ubunge wake na stahkki zake? Kuna watu wenye mbongo ndogo hawataki kufikiri hata kidgo. Wanadhani watu ni wajinga!

Vitani si kila adui hukamatwa na kufanya prisoner of war? Tusijitoe akili mambo haya yalianzia kilichoitwa vita ya kiuchumi. Mbinu na silaha hutegemea na adui alivyo jipanga.

Lissu mwenye anakiri huu kweli hatuna jinsi. Kiongoxi akiye shika nyazifa mbalimbali za chama chake na Bungeni kama ni Mzalendo kweli. Tujiulize ilikuwa kuwaje akaangukia upande wa adui kwenye vita hii ya kiuchumi ya Taifa la kependwa?
 
Mmmmmm yaani ndugu yangu ujuaji kwenye mambo ya mamlaka hauna faida! Saizi ni mlemavu na bado anaugulia maumivu miaka yote!
Mungu amhurumie pia ampe moyo wa kusamehe!

Kwani yule mkuu wao kabisa yule mwenyewe kwenye hii kadhia yeye yuko wapi?

Mbona kujisahau hivyo wandugu?
 
Njaa tu embu apeleke hizo risiti za matibabu serikalini na bank statement kuonyesha alilipia mwenyewe gharama za uuguzi wake walau huko serikalini wafikirie kumlipa; yaani anataka apewe hela bila ya ushahidi.

Risasi mara kapigwa na Makonda, mara Sirro na sasa hivi Kipilimba.

Madhira yaliyomkuta sio ya kumuombea mtu yeyote na watu wachache duniani kama sio yeye pekee ndio alieweza survive risasi 17 so naweza elewa psychological trauma anayoishi nayo na hasira kwa administration iliyopita na ana haki hiyo hakuna anaepinga.

Ila badala ya kuendekeza hizi post traumatic zake za life event aliyopitia it’s time watu wakaribu kumshauri aende counselling ili akubali matokeo ngumu kusahau lakini muhimu kukubali madhira yenyewe na kuishi nayo kwa amani by letting go.

Vinginevyo leo keshaanza kumshutumu Samia kesho atasema na J.K pia ndio anazuia maana ndio mshauri wa raisi kwa sasa inavyoonekana.
 
Kwani yule mkuu wao kabisa yule mwenyewe kwenye hii kadhia yeye yuko wapi?

Mbona kujisahau hivyo wandugu?
Issue sio kufa! Ukishakuwa mfu kitabu chako kimefungwa na haujui chechote! Huyu yeye yuko hai na anajua kinachoendelea na mateso makali mpaka mwisho wa maisha yake! Alimtukana sana Mwl Nyerere huyu mdekaji!
 
Naona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.
Lakini Mama yako aliwahi kusema kuwa Askari wa serikali yao hawakuhusika.

Alisema "Askari wa CCM akikupiga risasi 3 akakukosa basi hana kazi" au wewe ulikuwa bado unanyonya??
 
Issue sio kufa! Ukishakuwa mfu kitabu chako kimefungwa na haujui chechote! Huyu yeye yuko hai na anajua kinachoendelea na mateso makali mpaka mwisho wa maisha yake! Alimtukana sana Mwl Nyerere huyu mdekaji!

Misahafu inasema heri ya mbwa anayeishi kuliko Simba aliyekufa. Unadhani walikosea?
 
Taifa lenye kujielewa haliwekezi kuua Raia wake, bali huwalinda kwa kila namna pasipo kujali tofauti zao.

Sasa Rais kinachomfanya ashindwe kumpa guarantee ya usalama wake ni nini kama kweli hawana nia ovu?
Kwa hizi hoja mnazokunya humu, siku yoyote ile Lissu akifa basi atakuwa ameuliwa na CCM.

Mnataka apewe guarantee ya kutokufa??😂
 
Msitutake kumuonea huruma special Lisu nyie ndo lile kundi mlishangilia kifo cha Magufuli! Pambane na Lisu wenu nawaambia huwezi kupanda mahindi ukavuna choroko huyo anaishi matokeo ya maisha yake ya dharau na ujuaji!
Msihangaike na mtu ambaye ana kiburi na maneno ya kejeri kwa viongozi wamamlaka hasa alipodiriki kumpa kashfa Mwl Nyerere nikaona huyu mpuuzi anajiona yeye anajua sana! Haya sasa apambane na hali yake! Dunia mwana haramu!
Misahafu inasema heri ya mbwa anayeishi kuliko Simba aliyekufa. Unadhani walikosea?
 
Tuna serikali ya hovyo sana,hasa kwa baadhi ya wakuu wa taasisi ikiwa ya jeshi la polisi.

Kuna yule kamanda wa Mwanza aliuawa kwa kupigwa risasi. (Liberatus) kama sijakosea

Kwa jeshi letu ukute waliongea na marehemu akawasaidia upelelezi na kuwatia nguvuni walio husika.

Kwa tukio la Tundu lisu, hata mgambo wa jiji wangeweza litolea majibu ya waharifu.
Huyu bwana alishambuliwa kwa nia ya kumwua.

Kwa hakika angeweza kuuwawa.

Kauli kuwa upelelezi hauwezi kukamilika bila yeye kuwapo hazina ukakasi?
 
Msitutake kumuonea huruma special Lisu nyie ndo lile kundi mlishangilia kifo cha Magufuli! Pambane na Lisu wenu nawaambia huwezi kupanda mahindi ukavuna choroko huyo anaishi matokeo ya maisha yake ya dharau na ujuaji!
Msihangaike na mtu ambaye ana kiburi na maneno ya kejeri kwa viongozi wamamlaka hasa alipodiriki kumpa kashfa Mwl Nyerere nikaona huyu mpuuzi anajiona yeye anajua sana! Haya sasa apambane na hali yake! Dunia mwana haramu!

Nani anaweza kumtaka mwuaji au mshirika wake kumwonea nani huruma?

Ninakazia, Mhubiri 9:4 inasema: "ni heri mbwa anayeishi kuliko Simba aliyekufa."

Na huo ndiyo ulio ukweri!
 
Siulisema Makonda alikuwepo mara Kapilimba mbona hatukuelewi wewe

Kuwepo Kipilimba kunamzuia nani kutokuwepo? Au kuwepo konda boy kunamzuia pia nani mwingine kuwapo.

Ungekuwa na hoja kama labda ungemtoa Lissu makosa kwa kuwataja sasa wenzio mliokuwa nao?
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Lisu mjinga mchungaji Kipilimba mlokole alikataa kumwaga damu ya Lisu Magufuli akampiga chini na kumpa ubalozi Namibia akamtoa usalama wa taifa baada ya kugoma Kuua Lisu

Waliopewa mission ya Kuua Lisu ikawa unsuccessfully sababu ya maombi ya mchungaji Kipilimba

Lisu awe na shukrani hakufa mpuuzi mkubwa
 
Back
Top Bottom