Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Umekuwa msemaji wa Kipilimba Si aeleze mwenyewe hizi tuhuma
 

Kwa hiyo kumbe mwuaji alikuwa Magufuli siyo Mchungaji Kipilimba?
 
Hapo ndio tunapokosea mkuu upuuzi wake ni upi.kulalamika kuuwawa au ni mpuuzi kwa lipi ni vizuri ukatufahamisha upuuzi wake aliofanya akatakiwa kuuwawa.
 
Halafu kapilimba akijifanya eti mchungaji huwezi ukamtumikia shetani huku ukijifanya upo kwa Mungu utaumbuka tu.
Ndiyo akina Marehemu Sheikh Yahya Hussein muuza kahawa barabarani
 
Ohooo! kusha kucha huku

Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi

Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Ila Tundu Lissu sijui lini atajifunza kuwa na busara za ku act kama kiongozi, yes tunajua serikali imempa ulemavu, but na yeye kama kiongozi anatakiwa kudhibiti hisia zake.

Uropokaji wake unafanya watu washindwe kumtofautisha na mzee Magufuli.
 
Taifa lenye kujielewa haliwekezi kuua Raia wake, bali huwalinda kwa kila namna pasipo kujali tofauti zao.

Sasa Rais kinachomfanya ashindwe kumpa guarantee ya usalama wake ni nini kama kweli hawana nia ovu?

Wewe Acha ushamba. Rais ampe Lissu guarantee kama nani na Unajua adui yake? Kikulacho kinguoni mwako? Kama hajauliwa mpaka Sasa anataka nini. Mchezo wa Siasa Ni mchafu sana na hauwagi kwenye njia ilinyooka. Usipende kuargue mambo magumu kwa maswali ya darasa la chekechea.
 
Ila Tundu Lissu sijui lini atajifunza kuwa na busara za ku act kama kiongozi, yes tunajua serikali imempa ulemavu, but na yeye kama kiongozi anatakiwa kudhibiti hisia zake.

Uropokaji wake unafanya watu washindwe kumtofautisha na mzee Magufuli.
Kwako unaona kutamka hayo karopokwa Si waambie waliohusika wajisafishe kama wanaweza
 
Yes kipilimba ndio alikuwa mpange magenge ya mauwaji.

Kuhusu kibiti walikuwa jwtz peke Yao na Ile ilikuwa operation kama operation zingine
Magufuli na vijana wake walifanya operation ya kijeshi ndani ya taifa lao kama Putin na jeshi lake dhidi ya Ukraine
 
Hakuna ops youote inayoweza kuwajumuisha polisi na JWTz
 
Itakuwa hujamsikiliza Lisu umekuja Na jaziba
 
Ila Tundu Lissu sijui lini atajifunza kuwa na busara za ku act kama kiongozi, yes tunajua serikali imempa ulemavu, but na yeye kama kiongozi anatakiwa kudhibiti hisia zake.

Uropokaji wake unafanya watu washindwe kumtofautisha na mzee Magufuli.
Lisu leo asingekuwa hata mzima na kuchechemea bila Kipilimba ashukuru bado yuko hai anachechemea

Kipilimba. Ange a sign sharp shooters serious Lisu angekuwa alishazikwa Siku nyingi na kaoa

Sio sahihi Lisu kumshambulia mlokole mchungaji Kipilimba aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa
 
Kwani akipokuja akawa anazunguka kariako alihakikishiwa usalama na nani?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hukuona ulinzi aliokua nao na hata alivyoondoka?Lissu ndiyomaana alipigwa risasi,huwezi kujua kwanini alipigwa kama huwazi kwa mawanda mapana.
 
Tiss Na ulokole hahahaha
 
Tiss Na ulokole hahahaha
Usalama wa taifa ni wa kila mtanzania awe shekhe, mchungaji,padre au kardinali au mpiga deba daladala au muuza genge au kiongozi wa upinzani
 
kama ni kweli, case closed,,amiri jeshi was nchi yeyote Dunia,ananguvu sana,
cheki Trump alitoa amri TU,watu wakapotea,,
huu ukweli watu wanajifanya hawautambui,,bush aliamuru jeshi liingie iraq ,matokeo take watu milioni kadhaa walikufa,,,
mfalme Daud,aliaamuru kamanda wake mkuu auWe ili tu yeye arithi Mke,,
kama anavyodai ni kweli Lisu awe mpole tu,hakuna kitu sisi tutaweza msaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…