ka kuwa Mungu ni Ba mkubwa ako sio!Kama anayoyasema lisu ni ya uongo basi afe na kama wewe unamdhihaki tu kwa hila basi utakufa soon .
Kwa hiyo kukaa kimya na kutosema lolote kwa wahuni waliotaka kukupiga risasi ndio busara unaona,haki haipatikani ukiwa muoga acha Lisu aongeeIla Tundu Lissu sijui lini atajifunza kuwa na busara za ku act kama kiongozi, yes tunajua serikali imempa ulemavu, but na yeye kama kiongozi anatakiwa kudhibiti hisia zake.
Uropokaji wake unafanya watu washindwe kumtofautisha na mzee Magufuli.
📌📌📌kama ni kweli, case closed,,amiri jeshi was nchi yeyote Dunia,ananguvu sana,
cheki Trump alitoa amri TU,watu wakapotea,,
huu ukweli watu wanajifanya hawautambui,,bush aliamuru jeshi liingie iraq ,matokeo take watu milioni kadhaa walikufa,,,
mfalme Daud,aliaamuru kamanda wake mkuu auWe ili tu yeye arithi Mke,,
kama anavyodai ni kweli Lisu awe mpole tu,hakuna kitu sisi tutaweza msaidia
Unaongea tuu na unaweka chama mbele kuliko haki za raia, ngoja siku yakukute ndio utatia akiliLisu leo asingekuwa hata mzima na kuchechemea bila Kipilimba ashukuru bado yuko hai anachechemea
Kipilimba. Ange a sign sharp shooters serious Lisu angekuwa alishazikwa Siku nyingi na kaoa
Sio sahihi Lisu kumshambulia mlokole mchungaji Kipilimba aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa
Hili nimekuelewaaa.....tutakuja kupata waasi huko mbeleni kama TISS watazembea huu ushauri wako......tuwe vyama mbadala kwa kweliKati ya jambo la hovyo Sana ambalo the state wamefanya hadi leo ni kuruhusu nchi itawaliwe na chama kimoja KWA MUDA mrefu Sana!!!Tusimlaumu jpm !jpm alipewa jukumu la kulinda chama ambacho kilishapoteza mvuto ndio màana ilikuwa ni lazima atumie nyenzo haramu kama POLISI na Tiss kwenye siasa za kibabe!!!chanzo chake ndio hayo mauaji hayo na marisasi!!!!The state ingejiandaa KWA KUANDAA chama mbadala tangu mwaka 2010 Baada ya uchaguzi wa kikwete ule!!hata kama si Chadema Basi hata NCCR MAGEUZI TU!!HATA TLP AU CUF Wangeandaa mtu mzalendo hata huyo jpm akagombee HUKO na kushinda asingeua wala kutwaa Sana Sana angepambana na mafisadi tu!!!MIMI NITAENDELEA KUWALAUMU THE STATE KWA UZEMBE WAO NA KUKOSA MAONO YA KESHO!!!MARAISI WA CCM WANATUMIA NGUVU NYINGI KUPAMBANA NA UPINZANI ILI KULINDA CHAMA KULIKO KUPAMBANA NA MAENDELEO!!!NA HII ITAKUJA KULETA MACHAFUKO HUKO MBELENI NA TAIFA LITAPATA WAASI NA TUTAGAWANYIKA KWA UZEMBE WETU SISI WENYEWE!!
Very poor mindset. Grow up.Wewe Acha ushamba. Rais ampe Lissu guarantee kama nani na Unajua adui yake? Kikulacho kinguoni mwako? Kama hajauliwa mpaka Sasa anataka nini. Mchezo wa Siasa Ni mchafu sana na hauwagi kwenye njia ilinyooka. Usipende kuargue mambo magumu kwa maswali ya darasa la chekechea.
Kuna mahali nimeitaja CCM? kuna mahali nimesema Lissu hatokufa? sometimes acheni mambo ya partisan politics na mjadili common sense.Kwa hizi hoja mnazokunya humu, siku yoyote ile Lissu akifa basi atakuwa ameuliwa na CCM.
Mnataka apewe guarantee ya kutokufa??😂
Hakuna lolote ni watu kama wewe tuu, Maraisi wahuni na wauaji ndio mnawaona wana nguvu lakini mara nyingi wanaondoka kwa aibu tuu au kuishia kuuliwa na waokama ni kweli, case closed,,amiri jeshi was nchi yeyote Dunia,ananguvu sana,
cheki Trump alitoa amri TU,watu wakapotea,,
huu ukweli watu wanajifanya hawautambui,,bush aliamuru jeshi liingie iraq ,matokeo take watu milioni kadhaa walikufa,,,
mfalme Daud,aliaamuru kamanda wake mkuu auWe ili tu yeye arithi Mke,,
kama anavyodai ni kweli Lisu awe mpole tu,hakuna kitu sisi tutaweza msaidia
Amekufa sasa huyo mr belgiji anahofia nini kurudi?Tulikuwa na kiongozi muovu, fedhuli asiye mjua mungu. Bora amekufa
KILA MTU ATAKUFA TUMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Utawala wa yule jamaa ulikuwa na laanaMh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Sasa ahakikishiwe nini?Kuna mahali nimeitaja CCM? kuna mahali nimesema Lissu hatokufa? sometimes acheni mambo ya partisan politics na mjadili common sense.
Kipilimba sio Mungu.aliyemlinda TL ni Mungu tuu, tunayemwabudu.yehove yire.aliyemtwaa jpm.Mungu fundiiiiiiLisu leo asingekuwa hata mzima na kuchechemea bila Kipilimba ashukuru bado yuko hai anachechemea
Kipilimba. Ange a sign sharp shooters serious Lisu angekuwa alishazikwa Siku nyingi na kaoa
Sio sahihi Lisu kumshambulia mlokole mchungaji Kipilimba aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji15]Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Kwani wewe ulikuwa una-argue nn mkuu kama hujui hoja yake ?Sasa ahakikishiwe nini?
Harudi tena Nyumbani huyu!
Kumbe na wewe umeliona...Naona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.