Kuna kitabu kinaitwa,THE LIST. Cha Brad Thor,,kitafute ukisomeHivi umeandika ukiwa umelewa?
Unauthibitisho gani Magufuli alitoa maagizo ya kuuwa Tundu Lissu?
Iweje pia wauaji wakashindwa?
Ama karma ndiyo ikapelekea Rais wetu mchapakazi akatangulia yeye?
Hebu iweke sawa hii mkuu.
What if waliotaka kumuua Lissu walitaka kujipendekeza?Hivi umeandika ukiwa umelewa?
Unauthibitisho gani Magufuli alitoa maagizo ya kuuwa Tundu Lissu?
Iweje pia wauaji wakashindwa?
Ama karma ndiyo ikapelekea Rais wetu mchapakazi akatangulia yeye?
Hebu iweke sawa hii mkuu.
Mara nyingi kila kesi inashikwa na askari tofauti. Sio kwamba ukienda polisi basi utamkuta Askari A anayeshughulikia Kesi yako nyingine. Labda wamzuie kumsubiri askari A mwenye jalada lako lingine..maana yangu ni kwamba kulikuwa na fursa / opportunity ya kumhoji lakini Polisi hawakuitumia.
Kwa hiyo ingetokea Lissu amefariki kwenye lile shambulio Tanpol wasingetakiwa kuchunguza na kuwapeleka wahusika mahakamani kwa sababu kusingekuwa na Principal witness???Kwa hiyo atakaa uhamishoni mpaka lini? Na bado mtu anadai eti mbona shauri halikupelekwa mahakamani wakati principal witness wewe unayedai shauri lipelekwe mahakamani umeamua kumficha. Na kuna watu waliojitoa ufahamu wanakusapoti kwamba shauri lipelekwe mahakamani hivyo hiyo bila principal witness.
Aliambiwa Na nani?Rais Samia aliambiwa aiache hii kazi aende akapike.(akakataa)
Sasa mtu kaua watu 400,si bora apumzishwe kazi?
Yeye aliishaambiwa TZ ni salama kurudi. Sasa yeye anachotaka, eti raiosi atangazie ulimwengu amhakikishie usalama. Hii ni kujaribu kumdhalalisha raisi. Raisi amemwambia yeye anahakikishia usalama kama Watanzania wengine. Kwa nini anataka tangaze? Yeye naona aendelea kuwa Ubelgiji na kupewa pesa, ili hii kuendelea anatoa maombi ambayo hayatejekezeki. N8ilisikia anadai pesa ya matibabu waklati alisema alilipiwa na wahisani. Sasa hiyo pesa aNADAI AWARUDISHIE wahisani?Ni jambo la kawaida kwa kila raia mwenye mashaka na usalama wake kutoa taarifa na kuhakikishiwa ulinzi kwa mujibu wa sheria.
Kuna ugumu gani kwa Mama Samia kama mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kumhakikishia mhanga huyu usalama wake kwa mujibu wa sheria?
@yoga View attachment 2164444View attachment 2164446View attachment 2164448View attachment 2164445View attachment 2164447View attachment 2164449View attachment 2164450View attachment 2164451Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Mara nyingi kila kesi inashikwa na askari tofauti. Sio kwamba ukienda polisi basi utamkuta Askari A anayeshughulikia Kesi yako nyingine. Labda wamzuie kumsubiri askari A mwenye jalada lako lingine
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Kajifunze kuandikaYeye aliishaambiwa TZ ni salama kurudi. Sasa yeye anachotaka, eti raiosi atangazie ulimwengu amhakikishie usalama. Hii ni kujaribu kumdhalalisha raisi. Raisi amemwambia yeye anahakikishia usalama kama Watanzania wengine. Kwa nini anataka tangaze? Yeye naona aendelea kuwa Ubelgiji na kupewa pesa, ili hii kuendelea anatoa maombi ambayo hayatejekezeki. N8ilisikia anadai pesa ya matibabu waklati alisema alilipiwa na wahisani. Sasa hiyo pesa aNADAI AWARUDISHIE wahisani?
Akiwa Nairobi hospitali Polisi walituma ASKARI 2 kumhoji Lissu aligoma akidai sheria za kimataifa zinataka ahojiwe na POLISI WA KENYA. au wapate kibali cha kufanya kwzi Kenya..point yako ni nzuri sana na inaelekea una experience na masuala ya uchunguzi wa polisi.
..Lissu alikuwa Nairobi kwa miezi minne, hivyo wachunguzi wetu walikuwa na uwezo wa kwenda kumhoji.
..Lissu pia alikuwepo Tanzania kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2020, hivyo wachunguzi walikuwa na nafasi ya kumhoji.
..kwa msingi huo, nashawishika kuamini kwamb, Lissu sio shahidi muhimu ktk hatua ya uchunguzi, ndio maana Polisi hawakumhoji akiwa Nairobi, na alipokuwa hapa Tanzania.
Akiwa Nairobi hospitali Polisi walituma ASKARI 2 kumhoji Lissu aligoma akidai sheria za kimataifa zinataka ahojiwe na POLISI WA KENYA. au wapate kibali cha kufanya kwzi Kenya
Aliporudi kwa Ajili ya uchaguzi alikwenda polisi kudai gari yake ilihusika na tukio Polisi ealimjibu kwamba hawezi kupata mpaka afanye mahojiano. Aliondoka bila mahojiano nafikri mpaka leo gari ile iko polisi bado
Inakuwa kama vile yeye ndio hataki kuhojiwa.
Kumbuka hata Dereva kafichwa mpaka leo. Kisingizio cha kwanza ilisemwa ameathirika kisaaikolojia kwa kushuhudia tukio kwa hiyo hayuko sawa. Na hii ilikuja baada ya Polisi kupeleka taarifa rasmi Chadema kama mwajiri wa DEREVA wa Lissu.
Kama Lissu ana ushahidi wa hizi tuhuma nzito anazozitoa, ameshindwaje kuchukua hatua za kisheria?
Kesi za mauaji siku hizi zimegeuka kuwa za wahanga na sio za Jamuhuri?Kama Lissu ana ushahidi wa hizi tuhuma nzito anazozitoa, ameshindwaje kuchukua hatua za kisheria?
Usiulize aliambiwa na nani? Uliza,"Aliambiwa na nani na nani na nani?"Aliambiwa Na nani?
Yeye aliishaambiwa TZ ni salama kurudi. Sasa yeye anachotaka, eti raiosi atangazie ulimwengu amhakikishie usalama. Hii ni kujaribu kumdhalalisha raisi. Raisi amemwambia yeye anahakikishia usalama kama Watanzania wengine. Kwa nini anataka tangaze? Yeye naona aendelea kuwa Ubelgiji na kupewa pesa, ili hii kuendelea anatoa maombi ambayo hayatejekezeki. N8ilisikia anadai pesa ya matibabu waklati alisema alilipiwa na wahisani. Sasa hiyo pesa aNADAI AWARUDISHIE wahisani?