Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Kwakweli hadi leo yale mauaji ya mkuranga na kibiti sielewagi shida ilikuwa nini
 
Hivi umeandika ukiwa umelewa?

Unauthibitisho gani Magufuli alitoa maagizo ya kuuwa Tundu Lissu?

Iweje pia wauaji wakashindwa?

Ama karma ndiyo ikapelekea Rais wetu mchapakazi akatangulia yeye?

Hebu iweke sawa hii mkuu.
Kuna kitabu kinaitwa,THE LIST. Cha Brad Thor,,kitafute ukisome
 
Hivi umeandika ukiwa umelewa?

Unauthibitisho gani Magufuli alitoa maagizo ya kuuwa Tundu Lissu?

Iweje pia wauaji wakashindwa?

Ama karma ndiyo ikapelekea Rais wetu mchapakazi akatangulia yeye?

Hebu iweke sawa hii mkuu.
What if waliotaka kumuua Lissu walitaka kujipendekeza?

Not every evil is sanctioned by the head of state
 
..maana yangu ni kwamba kulikuwa na fursa / opportunity ya kumhoji lakini Polisi hawakuitumia.
Mara nyingi kila kesi inashikwa na askari tofauti. Sio kwamba ukienda polisi basi utamkuta Askari A anayeshughulikia Kesi yako nyingine. Labda wamzuie kumsubiri askari A mwenye jalada lako lingine
 
Rais Samia aliambiwa aiache hii kazi aende akapike.(akakataa)
Sasa mtu kaua watu 400,si bora apumzishwe kazi?
 
Kwa hiyo atakaa uhamishoni mpaka lini? Na bado mtu anadai eti mbona shauri halikupelekwa mahakamani wakati principal witness wewe unayedai shauri lipelekwe mahakamani umeamua kumficha. Na kuna watu waliojitoa ufahamu wanakusapoti kwamba shauri lipelekwe mahakamani hivyo hiyo bila principal witness.
Kwa hiyo ingetokea Lissu amefariki kwenye lile shambulio Tanpol wasingetakiwa kuchunguza na kuwapeleka wahusika mahakamani kwa sababu kusingekuwa na Principal witness???
 
Hiyo ni kweli kabisa ndio maana hakuna aliyekamatwa hadi leo, ukiona wanaopinga ni watu wa ccm ambao wanaona walikuwa wakinufaika na udhalimu uliokuwa ukifanywa na Magufuli na wapambe wake. Period.
 
Ni jambo la kawaida kwa kila raia mwenye mashaka na usalama wake kutoa taarifa na kuhakikishiwa ulinzi kwa mujibu wa sheria.

Kuna ugumu gani kwa Mama Samia kama mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kumhakikishia mhanga huyu usalama wake kwa mujibu wa sheria?
Yeye aliishaambiwa TZ ni salama kurudi. Sasa yeye anachotaka, eti raiosi atangazie ulimwengu amhakikishie usalama. Hii ni kujaribu kumdhalalisha raisi. Raisi amemwambia yeye anahakikishia usalama kama Watanzania wengine. Kwa nini anataka tangaze? Yeye naona aendelea kuwa Ubelgiji na kupewa pesa, ili hii kuendelea anatoa maombi ambayo hayatejekezeki. N8ilisikia anadai pesa ya matibabu waklati alisema alilipiwa na wahisani. Sasa hiyo pesa aNADAI AWARUDISHIE wahisani?
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

@yoga View attachment 2164444View attachment 2164446View attachment 2164448View attachment 2164445View attachment 2164447View attachment 2164449View attachment 2164450View attachment 2164451
Screenshot_2022-03-25_141827.jpg
Screenshot_2022-03-25_141832.jpg
Screenshot_2022-03-25_141838.jpg
 
Mara nyingi kila kesi inashikwa na askari tofauti. Sio kwamba ukienda polisi basi utamkuta Askari A anayeshughulikia Kesi yako nyingine. Labda wamzuie kumsubiri askari A mwenye jalada lako lingine

..point yako ni nzuri sana na inaelekea una experience na masuala ya uchunguzi wa polisi.

..Lissu alikuwa Nairobi kwa miezi minne, hivyo wachunguzi wetu walikuwa na uwezo wa kwenda kumhoji.

..Lissu pia alikuwepo Tanzania kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2020, hivyo wachunguzi walikuwa na nafasi ya kumhoji.

..kwa msingi huo, nashawishika kuamini kwamb, Lissu sio shahidi muhimu ktk hatua ya uchunguzi, ndio maana Polisi hawakumhoji akiwa Nairobi, na alipokuwa hapa Tanzania.
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Kama Lissu ana ushahidi wa hizi tuhuma nzito anazozitoa, ameshindwaje kuchukua hatua za kisheria?
 
Yeye aliishaambiwa TZ ni salama kurudi. Sasa yeye anachotaka, eti raiosi atangazie ulimwengu amhakikishie usalama. Hii ni kujaribu kumdhalalisha raisi. Raisi amemwambia yeye anahakikishia usalama kama Watanzania wengine. Kwa nini anataka tangaze? Yeye naona aendelea kuwa Ubelgiji na kupewa pesa, ili hii kuendelea anatoa maombi ambayo hayatejekezeki. N8ilisikia anadai pesa ya matibabu waklati alisema alilipiwa na wahisani. Sasa hiyo pesa aNADAI AWARUDISHIE wahisani?
Kajifunze kuandika
 
..point yako ni nzuri sana na inaelekea una experience na masuala ya uchunguzi wa polisi.

..Lissu alikuwa Nairobi kwa miezi minne, hivyo wachunguzi wetu walikuwa na uwezo wa kwenda kumhoji.

..Lissu pia alikuwepo Tanzania kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2020, hivyo wachunguzi walikuwa na nafasi ya kumhoji.

..kwa msingi huo, nashawishika kuamini kwamb, Lissu sio shahidi muhimu ktk hatua ya uchunguzi, ndio maana Polisi hawakumhoji akiwa Nairobi, na alipokuwa hapa Tanzania.
Akiwa Nairobi hospitali Polisi walituma ASKARI 2 kumhoji Lissu aligoma akidai sheria za kimataifa zinataka ahojiwe na POLISI WA KENYA. au wapate kibali cha kufanya kwzi Kenya
Aliporudi kwa Ajili ya uchaguzi alikwenda polisi kudai gari yake ilihusika na tukio Polisi ealimjibu kwamba hawezi kupata mpaka afanye mahojiano. Aliondoka bila mahojiano nafikri mpaka leo gari ile iko polisi bado
Inakuwa kama vile yeye ndio hataki kuhojiwa.
Kumbuka hata Dereva kafichwa mpaka leo. Kisingizio cha kwanza ilisemwa ameathirika kisaaikolojia kwa kushuhudia tukio kwa hiyo hayuko sawa. Na hii ilikuja baada ya Polisi kupeleka taarifa rasmi Chadema kama mwajiri wa DEREVA wa Lissu.
Screenshot_20220320-192858.png
 
..Lissu alikuwa anaelezea tu utaratibu wa kumhoji akiwa Kenya ukoje.

..Hakuna mahali au wakati wowote ule ambapo Lissu alisema hataki kuhojiwa na polisi.

..Ni kweli Lissu alikwenda kwa RPC wa Dodoma kuomba gari yake ambayo polisi wamekuwa nayo tangu ashambuliwe.

..Majibu ya RPC yalikuwa watamuita kwa mahojiano halafu gari itatoka. RPC hakumuita kwa mahojiano mpaka Lissu anaondoka.

..Baada ya uchaguzi Lissu alikamatwa akiwa nje ya ubalozi wa Ujerumani, na alipelekwa Central Police lakini hakuhojiwa kuhusu tukio la kushambuliwa.

..Dereva hajafichwa inajulikana kwamba yuko Ubelgiji. Na hata alipokuwa Nairobi Polisi walikuwa wanajua.

..IGP aliwahi kusema kuwa dereva akiwa Nairobi alikuwa "amenawiri", hivyo jeshi la polisi wakati wote limekuwa linajua dereva yuko wapi.

..Inaelekea Polisi hawana nia ya kumhoji Lissu wala dereva kwasababu kama wangekuwa wanawahitaji wangetumia taratibu rasmi za kuwafikia na sio kuzua visingizio na kupotosha ktk vyombo vya habari.
 
Kama Lissu ana ushahidi wa hizi tuhuma nzito anazozitoa, ameshindwaje kuchukua hatua za kisheria?
Kesi za mauaji siku hizi zimegeuka kuwa za wahanga na sio za Jamuhuri?

Au hujui kutofautusha kati ya kesi za madai na jinai?
 
Yeye aliishaambiwa TZ ni salama kurudi. Sasa yeye anachotaka, eti raiosi atangazie ulimwengu amhakikishie usalama. Hii ni kujaribu kumdhalalisha raisi. Raisi amemwambia yeye anahakikishia usalama kama Watanzania wengine. Kwa nini anataka tangaze? Yeye naona aendelea kuwa Ubelgiji na kupewa pesa, ili hii kuendelea anatoa maombi ambayo hayatejekezeki. N8ilisikia anadai pesa ya matibabu waklati alisema alilipiwa na wahisani. Sasa hiyo pesa aNADAI AWARUDISHIE wahisani?

Umeandika kama ambavyo waliomfyatulia risasi wangeandika:

1. Huyu bwana serikali ilipanga kumwua.
2. Kwamba hakufa ni kudra za Mola tu.
3. Amri ya kumwua ilikuwa imetolewa.
4. Utekelezaji ukafanyika.

Swali la msingi - je amri hiyo ya kumwua imekwisha ondolewa? Hiyo ndiyo iliyo hoja kuu ya Mh. Lissu.

Wewe uko kwenye nafasi ya kumhakishia hilo?

Kwa kiwango alichojeruhiwa huyu bwana ni mburula peke yao watakao dogosha mahitaji ya huyu bwana kurejea hospitali kwa ajili ya ufuatiliaji wa afya yake, bila shaka maisha yake yote.

Kwa mujibu wa sheria alipaswa kulipwa stahiki zake zote ikiwamo hata fidia kwa madhara mliyomfanyia.

Au nyie mnahesabu kuwa mlimpa zawadi?

Kwa hiyo hamtaki kumlipa? Kwani hizo pesa mlikwisha zigawana?
 
Back
Top Bottom