Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Nafikiri sasa Rais akaekimya tu aache kujibu maswali kuhusu lisu.

Lisu anapotezea watu mudatu na maneno maneno ya ujuaji mwingi usio na maana.
Anapenda kuji kweza sana.
 

Labda ujifanye umesahau. Wakati Lissu akiwa Nairobi na akawa ameanza kufanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari IGP Sirro alitamka kuwa atapeleka vijana wake Nairobi kwenda kumhoji ili shauri liweze kuendelea. Wa kwanza ku-react alikuwa mgonjwa Lissu akidai kuwa polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kumhoji akiwa Kenys labda wapate kibali cha mwanasheria mkuu wa Kenya. Sasa kwa nini Lissu afikiri kuwa IGP wa Tanzania hafahamu taratibu??? Cha kushangaza zaidi ni kuwa baada ya hili tamko la IGP Sirro, ilichukua muda mfupi sana Lissu na dereva wake wakahamia Ubeljiji. Inabidi ujivue ufahamu sana ili uone kuwa matukio hayo ya Lissu ni ya kawaida. Dereva aliyekuwa anatibiwa kisaikolojia Nairobi mara anahamishwa ghafla na mgonjwa Lissu kwenda Ubeljiji!!!!
 
Nafikiri sasa Rais akaekimya tu aache kujibu maswali kuhusu lisu.

Lisu anapotezea watu mudatu na maneno maneno ya ujuaji mwingi usio na maana.
Anapenda kuji kweza sana.
Kwani kuna ugumu gani serikali kufanya uchunguzi? Kuacha kufanya uchunguzi wa tukio hilo ndiko kunakoichafua serikali.

Serikali iache kutoa majibu ya kitoto ambayo kwa sasa yamepitwa na wakati maana Wananchi wa sasa wanauwezo japo wa kulinganisha na kutofautisha.

Kwamba "hawawezi kuchunguza hadi Lissu arudi" watu wanajiuliza kama angekufa wasingechunguza? Lakini pia wananchi wameshaona mara nyingi serikali hii hii ukichunguza hata pale ambapo mhanga ameuliwa.

Wananchi wanajiuliza iweje serikali iwe na visingizio katika suala hili la Lissu ambalo wanaliona kuwa uchunguzi wake ni rahisi kuliko ule wa kamanda Baro, askofu zanzibar, kijana wa Mtwara nk ambao serikali umeifanya, na ikumbukwe kwa Lissu kulikuwa na cctv.

Hayo Ndiyo yanayo wafanya watu kuona kuwa huenda kulikuwa na mkono wa watawala.
 
S
Kama Lissu ana ushahidi wa hizi tuhuma nzito anazozitoa, ameshindwaje kuchukua hatua za kisheria?
Serikali makini hulinda na kutetea raia wake, hili la Lissu ilipaswa haraka Sana baada ya tukio kuanza kufanya uchunguzi kinyume chake Wana visingizio visivyo na mashiko huku kukiwa na hisia kubwa za watawala kuwa na mkono wao katika tukio hilo. Sasa hapo unataka Lissu ashitaki wapi? Au Kwa watuhumiwa haohao?
 

Huku Zanzibar ndio wimbo wao kuuwa watu toka 1964 , CCM ni muumiani
 

Wacha ya Lissu hata kwenye uchaguzi waliuliwa Na kupigwa watu wengi Na vyombo vya dola . Kuna uchunguzi huru ulifanyika ?
 
Nimepitia comments nyingi sana nimepata majibu kua MCC itatawala miak 50 mbele.. tutanyooka asee
 
Hii nchi watu wameumia sana sana kwa kipindi cha Miaka 5 , sipati picha tungekwenda miaka 10+
Binasfi naona Rais Samia na kundi lake wanajaribu sana kuweka mambo sawa kwa aibu aibu maana wengi wao wameshiriki sana kuumiza watu ndani na nje ya chama chao.
 
..kwenye tukio lile Polisi ndio wenye mamlaka ya kufungua mashtaka, sio Lissu.

Hata raia wa kawaida anao uwezo wa kuendesha private prosecution, kama kuna ushahidi wa criminal act lakini DPP ameamua kupotezea. Huu utaratibu upo hata katika nchi zingine, zikiwemo zilizoendelea!
 
Kesi za mauaji siku hizi zimegeuka kuwa za wahanga na sio za Jamuhuri?

Au hujui kutofautusha kati ya kesi za madai na jinai?

Hayo ndiyo matatizo ya kukariri. Kisheria, hata wewe (kama raia wa kawaida) unaweza kufungua kesi ya jinai dhidi ya mtuhumiwa wa uhalifu kama Serikali haitaki kufanya hivyo. Kitu muhimu ni kuwa na ushahidi wa kutosha kwamba mtuhumiwa alitenda hiyo jinai.

Huu utaratibu upo hata kwenye nchi zilizoendelea!
 

Kama Serikali haitaki kuchukua hatua na yeye ana ushahidi kwamba mtu fulani katenda jinai, that isn’t the end of the world. Kuna private prosecution avenue. Hata nchi zilizoendelea zinao huu utaratibu!
 

Hizi comedy za hivi elezaneni na kina Phillipo Bukililo huko
 
Ni ajabu kulazimisha kile unachoami kuwa ni sahihi Kwa kutokufikira Kwa kina HOJA za anayefikira tofauti na wewe.
Pande zote MNA haki ya kusikilizwa HOJA zenu na hatimaye HOJA yenye nguvu itapita.

Hakuna ubishi kwamba kesi zote za jinai mlalamikaji ni Jamuhuri ya MUUNGANO wa Tanzania maana yake itakuwa ni JAMHURI dhidi ya MAKONDA (REPUBLIC VS MAKONDA).
Public Prosecutor au Private Prosecutor ni muendesha Mashtaka yeye pamoja na mawakili wa utetezi kama watakuwepo KAZI Yao ni kuisaidia mahakama ili ifikie mahamuzi ya haki Kwa mujibu wa sheria Kwa kuzingatia ushahidi utakao tolewa bila kuacha Shaka yoyote.
Mlalamikaji siku zote ndiye mwenye uamuzi wa kuendelea na kesi au KINYUME chake.
 
Hata raia wa kawaida anao uwezo wa kuendesha private prosecution, kama kuna ushahidi wa criminal act lakini DPP ameamua kupotezea. Huu utaratibu upo hata katika nchi zingine, zikiwemo zilizoendelea!

Hivi kumhusu Makonda na Kubenea, DPP na DCI wanasema je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…