Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dereva angekuwepo uchunguzi ungeendeleaKwa hiyo ingetokea Lissu amefariki kwenye lile shambulio Tanpol wasingetakiwa kuchunguza na kuwapeleka wahusika mahakamani kwa sababu kusingekuwa na Principal witness???
angekufa asingekuwa na uwezo wa kumficha dereva hivyo shauri lingekuwepoAngekufa kusingekuwa na hilo shauri?
..Good observation.
1.katika hatua ya Uchunguzi, mdau mkuu ni Polisi / Jamhuri, siyo Lissu / victim.
Jeshi la Polisi ndilo lenye mamlaka ya kisheria kuchunguza uhalifu.
2. dereva hajajijificha, inajulikana yuko Belgium.
3. kama taratibu za Interpol sio sahihi kumfikia, Je, kuna taratibu nyingine za kuweza kumfikia?
4. Is Tanpol out of options? Miaka minne tangu uchunguzi uanze wamefanya nini? Hakuna hata suspect.
5. Huenda kwa maoni ya Tanpol dereva sio shahidi muhimu na ndio maana jitihada hazijafanyika kutumia Interpol kumrudisha nchini, au kushirikiana na vyombo vya Ubelgiji kumhoji.
6. Huenda pia Lissu si shahidi muhimu ktk hatua ya uchunguzi kwasababu angekuwa muhimu Polisi wangemhoji alipokuwa Nairobi, au alipokuja Tanzania.
Kwani kuna ugumu gani serikali kufanya uchunguzi? Kuacha kufanya uchunguzi wa tukio hilo ndiko kunakoichafua serikali.Nafikiri sasa Rais akaekimya tu aache kujibu maswali kuhusu lisu.
Lisu anapotezea watu mudatu na maneno maneno ya ujuaji mwingi usio na maana.
Anapenda kuji kweza sana.
Serikali makini hulinda na kutetea raia wake, hili la Lissu ilipaswa haraka Sana baada ya tukio kuanza kufanya uchunguzi kinyume chake Wana visingizio visivyo na mashiko huku kukiwa na hisia kubwa za watawala kuwa na mkono wao katika tukio hilo. Sasa hapo unataka Lissu ashitaki wapi? Au Kwa watuhumiwa haohao?Kama Lissu ana ushahidi wa hizi tuhuma nzito anazozitoa, ameshindwaje kuchukua hatua za kisheria?
Sasa Si aweke jina la mmoja wao tuUsiulize aliambiwa na nani? Uliza,"Aliambiwa na nani na nani na nani?"
Akasema,"Nataka kuapishwa kesho,or else....'
S
Serikali makini hulinda na kutetea raia wake, hili la Lissu ilipaswa haraka Sana baada ya tukio kuanza kufanya uchunguzi kinyume chake Wana visingizio visivyo na mashiko huku nikiwa na hisia kubwa za watawala kuwa na mkono wao katika tukio hilo. Sasa hapo unataka Lissu ashitaki wapi? Au Kwa watuhumiwa haohao?
Labda ujifanye umesahau. Wakati Lissu akiwa Nairobi na akawa ameanza kufanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari IGP Sirro alitamka kuwa atapeleka vijana wake Nairobi kwenda kumhoji ili shauri liweze kuendelea. Wa kwanza ku-react alikuwa mgonjwa Lissu akidai kuwa polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kumhoji akiwa Kenys labda wapate kibali cha mwanasheria mkuu wa Kenya. Sasa kwa nini Lissu afikiri kuwa IGP wa Tanzania hafahamu taratibu??? Cha kushangaza zaidi ni kuwa baada ya hili tamko la IGP Sirro, ilichukua muda mfupi sana Lissu na dereva wake wakahamia Ubeljiji. Inabidi ujivue ufahamu sana ili uone kuwa matukio hayo ya Lissu ni ya kawaida. Dereva aliyekuwa anatibiwa kisaikolojia Nairobi mara anahamishwa ghafla na mgonjwa Lissu kwenda Ubeljiji!!!!
UKAKASI MKUBWA SANA !!!!!!Huyu bwana alishambuliwa kwa nia ya kumwua.
Kwa hakika angeweza kuuwawa.
Kauli kuwa upelelezi hauwezi kukamilika bila yeye kuwapo hazina ukakasi?
..kwenye tukio lile Polisi ndio wenye mamlaka ya kufungua mashtaka, sio Lissu.
Kesi za mauaji siku hizi zimegeuka kuwa za wahanga na sio za Jamuhuri?
Au hujui kutofautusha kati ya kesi za madai na jinai?
S
Serikali makini hulinda na kutetea raia wake, hili la Lissu ilipaswa haraka Sana baada ya tukio kuanza kufanya uchunguzi kinyume chake Wana visingizio visivyo na mashiko huku kukiwa na hisia kubwa za watawala kuwa na mkono wao katika tukio hilo. Sasa hapo unataka Lissu ashitaki wapi? Au Kwa watuhumiwa haohao?
Acha ujinga wewe hujui pesa za wahisani zilikuwa zinamkosa mwendazake?Ohooo! kusha kucha huku
Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi
Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Labda ujifanye umesahau. Wakati Lissu akiwa Nairobi na akawa ameanza kufanya mahojiano na vyombo mbali mbali vya habari IGP Sirro alitamka kuwa atapeleka vijana wake Nairobi kwenda kumhoji ili shauri liweze kuendelea. Wa kwanza ku-react alikuwa mgonjwa Lissu akidai kuwa polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kumhoji akiwa Kenys labda wapate kibali cha mwanasheria mkuu wa Kenya. Sasa kwa nini Lissu afikiri kuwa IGP wa Tanzania hafahamu taratibu??? Cha kushangaza zaidi ni kuwa baada ya hili tamko la IGP Sirro, ilichukua muda mfupi sana Lissu na dereva wake wakahamia Ubeljiji. Inabidi ujivue ufahamu sana ili uone kuwa matukio hayo ya Lissu ni ya kawaida. Dereva aliyekuwa anatibiwa kisaikolojia Nairobi mara anahamishwa ghafla na mgonjwa Lissu kwenda Ubeljiji!!!!
Hata raia wa kawaida anao uwezo wa kuendesha private prosecution, kama kuna ushahidi wa criminal act lakini DPP ameamua kupotezea. Huu utaratibu upo hata katika nchi zingine, zikiwemo zilizoendelea!