Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Wanaumkebehi Lissu ni wendawazimu...huyu mtu alitaka kuuliwa na mwili wake umeumizwa. Amekuja kushiriki uchaguzi kila chombo cha habari kilipigwa marufuku kutangaza habari zake. Alitaka kuuliwa akakimbilia ubalozi wa Ujerumani ameondoka chini ya usimamizi wa mataifa ya nje, sasa hapa analalamika kuhusu hao watu waliotaka kumdhuru kuna mbuzi mawe humu zinakebehi. Huyo Mama Samia mwenyewe pamoja na kwenda kumtembelea Nairobi mbona alishindwa kusimamia alivyotaka kuuliwa tena. Magufuli alikuwa na kikosi katili sana.
 
Kati ya jambo la hovyo Sana ambalo the state wamefanya hadi leo ni kuruhusu nchi itawaliwe na chama kimoja KWA MUDA mrefu Sana!!!Tusimlaumu jpm !jpm alipewa jukumu la kulinda chama ambacho kilishapoteza mvuto ndio mΓ ana ilikuwa ni lazima atumie nyenzo haramu kama POLISI na Tiss kwenye siasa za kibabe!!!chanzo chake ndio hayo mauaji hayo na marisasi!!!!The state ingejiandaa KWA KUANDAA chama mbadala tangu mwaka 2010 Baada ya uchaguzi wa kikwete ule!!hata kama si Chadema Basi hata NCCR MAGEUZI TU!!HATA TLP AU CUF Wangeandaa mtu mzalendo hata huyo jpm akagombee HUKO na kushinda asingeua wala kutwaa Sana Sana angepambana na mafisadi tu!!!MIMI NITAENDELEA KUWALAUMU THE STATE KWA UZEMBE WAO NA KUKOSA MAONO YA KESHO!!!MARAISI WA CCM WANATUMIA NGUVU NYINGI KUPAMBANA NA UPINZANI ILI KULINDA CHAMA KULIKO KUPAMBANA NA MAENDELEO!!!NA HII ITAKUJA KULETA MACHAFUKO HUKO MBELENI NA TAIFA LITAPATA WAASI NA TUTAGAWANYIKA KWA UZEMBE WETU SISI WENYEWE!!
 
Kipilimba "Mchungaji" wa kondoo!

Huyo jamaa alivyokaa kaa kimwonekano, haishangazi kama aliyasimamia haya.

Taratibu yote yataeleweka, na inafaa wahusika wafikishwe mbele ya sheria.
 
Kutaja mfumo wa utendaji juu ya tukio lile ni ushujaa wa Hali ya juu.Lisu ni raia Mwaminifu kwa nchi yake.Mpaka yanamfika yale hakufikia hata robo ya kuwa mtu aliyekua anahatarisha amani ya nchi..kwanini watu washindwe kusmamia ukweli? MAMLAKA ilifeli totali kulinda hyu Mtu na hichi ndicho ameamua kukifanya leo, ataje angalau liwe findisho kwa Mamlaka na watu fulani.
Rais wa nchi huapa kulinda Raia wa nchi yake na hili ndilo jukumu kuu.Sasa kwanini tukio lile Serikali haikuwahi kustushwa kabsaa.Sasa leo kawapa pa kuanzia. WAFANYE UCHUNGUZI ili YEYOTE ALIEHUSIKA awajibishwe ili Mamlaka iwe safi.Siasa ni nguvu ya hoja si upanga wala bunduki.
 
Magufuli alikuwa muovu sana
 
Mpaka hapa harudi tena tanzania maana vita ndio kaitangaza upya
 
Serikali imeshindwa kuwakamata hao wahuni waliotaka kuvuruga nchi mpaka Lissu arudi nchini sio?!
 
Sasa wewe nawe unalalamikia nini; ulishapigwa risasi hata moja ukabaki salama ili utueleze ulijisikiaje?
 
Ohooo! kusha kucha huku

Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi

Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Ukisikiliza clip, anasema baadaye walimfuata ili wamuue. Noma sana
 
Ohooo! kusha kucha huku

Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi

Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Jamaa wanasema alilindwa na akina khalfan bwire na akina adamoo makomandoo wa mbowe
 
Miunguni wao ni wewe kwenye kikosi kazi hicho hebu tuuleze mlitaka kutoa lisu ili faida yake nini .komenti sana ujinga na roho mbaya yako ipo siku yaja
 
Anata apate kauli thabiti kwamba atakuwa salama akirejea nchini.

Atafute huo uhakika kwa Mungu aliye muokoa mara ya kwanza. Huyu TL anamjua Mungu kweli na ni dini gani? Pamoja na ule muujiza Mkuu ulioponya maisha yake bado anatafuta uhakika wa uhai na usalama wake kwa wanadamu? Labda nina wasiwasi jamaa ni muunini wa dini ya stanisim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…