Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Atakuwa anatafuta yafuatayo

1. Kisingizio ili kuongeza mda aendelee kuhudumiwa km mkimbizi. Watoto wamalize shule na wapate kazi kwa njia ya huruma
2. Anatafuta kiki baada ya luna mwenzake mbowe anataka kumpiku
 
Usalama upi unaongelea. Mbona Polisi wanaua watu kila siku?.

Lissu alinusurika kuuwawa na waliomshambulia bado wapo. Ndio maana anaombwa usalama Ili wasije kumdhuru.
 
Waswahili husema, mzigo wa mwenzio kwako ni kama furushi la sufi.

Au hili ndiyo lile gunia la chumvi sasa wanaoliongelea waswahili ambako kwako ni furushi la sufi tu ndugu?
Habari ya mjini kwa sasa ni Mbowe,Lisu atulie tu hukohuko Ubelgiji ale maisha,kwanza wabongo wenyewe anaowatetea wala awajielewi,alitaka kufa kwa kuwapambania mazuzu yasiyojua nini maana ya kupambana kutafuta haki.
 
Atakuwa anatafuta yafuatayo

1. Kisingizio ili kuongeza mda aendelee kuhudumiwa km mkimbizi. Watoto wamalize shule na wapate kazi kwa njia ya huruma
2. Anatafuta kiki baada ya luna mwenzake mbowe anataka kumpiku
Utakuwa mmojawapo wa kikosi kazi cha mwendazake
 
Jinga kabisa mtu huyu wakala wa mabeberu alizunguka nchi nzima akipiga kampeni leo unasema alitaka kuuawa tena? Alikuja kufanya kampeni kutega ili kuiweka serkali katika mazingira ya kukosolewa kama ingetokea akashambuliwa tena akachemka ikabidi arudi kwa waume zake.Pumbavu kabisa.
 
Kuna tofauti mjomba.

Ukihisi uko hatarini ni wajibu wako kutoa taarifa. Hujakwenda kutoa taarifa kwa sababu yumkini unajihisi uko salama.

Kumbuka Ben na hata Lissu walitoa taarifa hizo polisi kunako husika walipojihisi kutishiwa maisha lakini katika mazingira yasiyofahamika hakuna hatua zilizochukuliwa.

Kwa hali hii labda kama wewe ungependa warudi kwa Sirro huyu huyu aliye wapuuzia kwenye taarifa za siku hizo za yalikowakuta?
 
Habari ya mjini kwa sasa ni Mbowe,Lisu atulie tu hukohuko Ubelgiji ale maisha,kwanza wabongo wenyewe anaowatetea wala awajielewi,alitaka kufa kwa kuwapambania mazuzu yasiyojua nini maana ya kupambana kutafuta haki.
Kikosikazi members tunawajua humu taratiibu!!!
 
Mlelewa Ubelgiji anatafuta kila mbinu ili aendelee kupewa hela na Amsterdam

Ametoa ushahidi mnalalamika Tena. Kila siku polisi wanadai wanasubiri ili awape taarifa. Sasa katoa taarifa bado mnamkebehi.

Halafu, kumbuka Tundu Lissu alikuwa na taarifa zote za Hali ya Magufuri na tulimbeza hivyo hivyo mpaka alipofariki tukaanza kujiliza kinafiki.
 
Habari ya mjini kwa sasa ni Mbowe,Lisu atulie tu hukohuko Ubelgiji ale maisha,kwanza wabongo wenyewe anaowatetea wala awajielewi,alitaka kufa kwa kuwapambania mazuzu yasiyojua nini maana ya kupambana kutafuta haki.

Habari ya mjini ni katiba mpya:

Your browser is not able to display this video.

Lissu, Mbowe, Chadema, NCCR na wazalendo wote kwenye hilo ni mtu yule yule.
 
Mpaka Leo upelelezi wa kesi wa Lissu haujaanza, wanasubiri Lissu awape taarifa. Sasa kawapa taarifa mnaanza kuipiiza na upelelzi hamtaki kufanya. Wakati wa ugonjwa wa Magufuri mlimbeza hivihivi, mwishowe mkaanza kujiliza kana kwamba taarifa mlikuwa hampewi.
 
Ulishachomwa hata na msumari ww. Huyu mtu ni kiboko cha marehemu wenu.
 
Mjinga huyu kwani hajui maana ya dola. Wanaoletea nchi hatari ya kupotea amani kama wale magaidi kibiti alifikiri wanashughulikiwa na kitu gani kama sio kikosi maaluum? Aliona wapi adui wa vita akiletwa mahakamani kama sio kumalizwa. Anafikiri nchi hii amani na usalama upo kwa siasa za kiliberali wanazojaribu kutulisha kwa niaba ya mabeberu wa magharibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…