HKBW
JF-Expert Member
- Aug 4, 2009
- 468
- 345
Ungekuwa unefanyiwa wewe na hakuna kilichofanyika hadi sasa ungesema hivyo!?Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa unefanyiwa wewe na hakuna kilichofanyika hadi sasa ungesema hivyo!?Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Kwani uongo!?Yale yale,huyu jamaa anachosha kweli.
Hata akibanwa nya atasema siendi nilipigwa risasi.
hivi cc watz wengine hatujahakikishiwa usalama wetu?!?. inawezekana mimi sielewi kuhakikishiwa usalama ni kupi huko??!!??,Rais kutoa tamko tu kwamba utakuwa salama!???!, au ni kupewa ulinzi wa jeshi lenye silaha 24/7?!? au ni kupi huko?!?. Kama TL anatumia p/port ya Tanzania huko aliko asome ndani huko kuna sehemu Rais wa nchi anatamka kuhusu usalama wa raia wake!! kwani hilo si hakikisho?!? TL wewe rudi home bwaana, yalishaipita hayo ya visasi ukishindwa kumwamini hata mama aliyekusalimia wakati uko mahututi nairobi, kaja ubelgiji kama Rais akaomba muonane bado hujamkubali tu??!!?. Nahisi ma cake na machopstick ya ulaya yanakulemaza au POSHO za ukimbizi hupendi kuziacha. Home tupo salama NJOOO!!!
Habari ya mjini kwa sasa ni Mbowe,Lisu atulie tu hukohuko Ubelgiji ale maisha,kwanza wabongo wenyewe anaowatetea wala awajielewi,alitaka kufa kwa kuwapambania mazuzu yasiyojua nini maana ya kupambana kutafuta haki.Waswahili husema, mzigo wa mwenzio kwako ni kama furushi la sufi.
Au hili ndiyo lile gunia la chumvi sasa wanaoliongelea waswahili ambako kwako ni furushi la sufi tu ndugu?
Hahahaaaa! Lisu anatafuta kiki tu!
Samahani lakini makamanda.
Utakuwa mmojawapo wa kikosi kazi cha mwendazakeAtakuwa anatafuta yafuatayo
1. Kisingizio ili kuongeza mda aendelee kuhudumiwa km mkimbizi. Watoto wamalize shule na wapate kazi kwa njia ya huruma
2. Anatafuta kiki baada ya luna mwenzake mbowe anataka kumpiku
Yale yale,huyu jamaa anachosha kweli.
Hata akibanwa nya atasema siendi nilipigwa risasi.
Jinga kabisa mtu huyu wakala wa mabeberu alizunguka nchi nzima akipiga kampeni leo unasema alitaka kuuawa tena? Alikuja kufanya kampeni kutega ili kuiweka serkali katika mazingira ya kukosolewa kama ingetokea akashambuliwa tena akachemka ikabidi arudi kwa waume zake.Pumbavu kabisa.Wanaumkebehi Lissu ni wendawazimu...huyu mtu alitaka kuuliwa na mwili wake umeumizwa. Amekuja kushiriki uchaguzi kila chombo cha habari kilipigwa marufuku kutangaza habari zake. Alitaka kuuliwa akakimbilia ubalozi wa Ujerumani ameondoka chini ya usimamizi wa mataifa ya nje, sasa hapa analalamika kuhusu hao watu waliotaka kumdhuru kuna mbuzi mawe humu zinakebehi. Huyo Mama Samia mwenyewe pamoja na kwenda kumtembelea Nairobi mbona alishindwa kusimamia alivyotaka kuuliwa tena. Magufuli alikuwa na kikosi katili sana.
hivi cc watz wengine hatujahakikishiwa usalama wetu?!?. inawezekana mimi sielewi kuhakikishiwa usalama ni kupi huko??!!??,Rais kutoa tamko tu kwamba utakuwa salama!???!, au ni kupewa ulinzi wa jeshi lenye silaha 24/7?!? au ni kupi huko?!?. Kama TL anatumia p/port ya Tanzania huko aliko asome ndani huko kuna sehemu Rais wa nchi anatamka kuhusu usalama wa raia wake!! kwani hilo si hakikisho?!? TL wewe rudi home bwaana, yalishaipita hayo ya visasi ukishindwa kumwamini hata mama aliyekusalimia wakati uko mahututi nairobi, kaja ubelgiji kama Rais akaomba muonane bado hujamkubali tu??!!?. Nahisi ma cake na machopstick ya ulaya yanakulemaza au POSHO za ukimbizi hupendi kuziacha. Home tupo salama NJOOO!!!
Kikosikazi members tunawajua humu taratiibu!!!Habari ya mjini kwa sasa ni Mbowe,Lisu atulie tu hukohuko Ubelgiji ale maisha,kwanza wabongo wenyewe anaowatetea wala awajielewi,alitaka kufa kwa kuwapambania mazuzu yasiyojua nini maana ya kupambana kutafuta haki.
Mlelewa Ubelgiji anatafuta kila mbinu ili aendelee kupewa hela na Amsterdam
Awe kunguru au Sungura.. ni kwamba ni kweli amepigwa risasi kadhaa MWILINI na ni kweli Rufiji watu waliuwawa, na ni kweli Beach kuna watu walikutwa wakiwa wamekufa... THINK OF THAT..Tundu ni kunguru,hafugiki
Habari ya mjini kwa sasa ni Mbowe,Lisu atulie tu hukohuko Ubelgiji ale maisha,kwanza wabongo wenyewe anaowatetea wala awajielewi,alitaka kufa kwa kuwapambania mazuzu yasiyojua nini maana ya kupambana kutafuta haki.
Hajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.
Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
Ndio maana nikauliza anaomba usalama upi?!? alindwe na jeshi lenye silaha 24/7?!? au tamko tu la Mhe.Rais?!?Usalama upi unaongelea. Mbona Polisi wanaua watu kila siku?.
Lissu alinusurika kuuwawa na waliomshambulia bado wapo. Ndio maana anaombwa usalama Ili wasije kumdhuru.
Ulishachomwa hata na msumari ww. Huyu mtu ni kiboko cha marehemu wenu.Jinga kabisa mtu huyu wakala wa mabeberu alizunguka nchi nzima akipiga kampeni leo unasema alitaka kuuawa tena? Alikuja kufanya kampeni kutega ili kuiweka serkali katika mazingira ya kukosolewa kama ingetokea akashambuliwa tena akachemka ikabidi arudi kwa waume zake.Pumbavu kabisa.
Mjinga huyu kwani hajui maana ya dola. Wanaoletea nchi hatari ya kupotea amani kama wale magaidi kibiti alifikiri wanashughulikiwa na kitu gani kama sio kikosi maaluum? Aliona wapi adui wa vita akiletwa mahakamani kama sio kumalizwa. Anafikiri nchi hii amani na usalama upo kwa siasa za kiliberali wanazojaribu kutulisha kwa niaba ya mabeberu wa magharibi?Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.